Tuesday, 24 May 2016

Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

Elisa, mawazo mgando hayo; unajua kabisa  unachokisema si kweli la sivyo huna uelewa! Sijui umri wako, lakini kama ulimuona Baba wa Taifa tangu miaka ile, basi una matatizo binafsi dhidi yake!!

LKK
 
Lutgard Kokulinda Kagaruki
Executive Director
Tanzania Tobacco Control Forum
Board Member
Tanzania Non-Communicable Diseases Alliance
P. O. Box 33105 
Dar es Salaam, Tanzania
Tel:  +255 754 284528

"Full implementation of the WHO Framework Convention on Tobacco Control would bring the single biggest blow to heart diseases, cancer, diabetes & respiratory disease". - Dr. Margaret Chan, WHO Director-General, NCD Summit, 2011  
                                                                              
On Tuesday, May 24, 2016 9:41 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Emmnuel.
Nakumbuka kukuahidi kukupeleka Ujiji utembelee eneo la Livingstone.
Sasa nakuahidi kingine: Ukija Tz fika Bukoba nitakupeleka kwa mtu aliyebuni Azimio la Arusha. Nyerere alichofanya alimficha Ikulu hadi alipostaafu na ofisi yake ikafungwa. Anaitwa Leonard Rwizandekwe. Baada ya nyerere kumgundua kuwa ana mawazo ya kushangaza wakati huo akisoma sheria Uingereza Nyerere alimshauri aachane na sheria ya kawaida asomee African Customary law. Ukikiangalia kitendo hicho unaweza kumtafsiri Nyerere kuwa hakupenda kuwa na mtu aliye na mawazo mapana kumzidi. kama ukweli ukiwa hivyo basi alianza kumtafuta mrithi wake alipokaribia kustaafu. Magufuli ameanza anapoanza urais. katika hilo Magufuli amemzidi Nyerere uzalendo.
--------------------------------------------
On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, May 24, 2016, 6:11 PM

Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini,
mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia
anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka
23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi alianza
kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
tuje tupimemaneno yako na ya
kwangu.em
2016-05-24 7:10 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Afadhali
ungesema Umagufuli ''unaweza kushindwa''
kuliko kusema ''utashindwa'. Ninatamani tuwepo
wote wakati huo tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea
mpaka rais wa tatu kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu
walichoka na kuonewa na watu waliokuwa ndani ya CCM.
Wakafikia kuichukua CCM. CCM imenusulika kwa sababu ya
kusambaratika upinzani. Baada ya hapo CCM kumpata Magufuli
akainusulu. Asipopepesuka ataendelea kuishi baada yake.
Kingine ni hiki cha kutafuta watu na kuanza kuwalea.
Sikumuongeza Makonda kwenye orodha ya wanaolelewa makusudi.
Magufuli akilenga kumuweka mrithi na akatumia njia
zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi baada yake.

--------------------------------------------

On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
Tanzania kurithiwa na chaguo lake?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM

 Ndani ya

 CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa

 kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na

 Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa

 tu.em

 2016-05-23 16:30 GMT-04:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo

 rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia

 walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara
baada

 yao kumaliza vipindi vyao.

 Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
chaguo

 lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi

 akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu

 alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.

 Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa
na

 chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu
Mwalimu

 Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila
mara

 kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa

 kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
hakufanikiwa

 kumpachika chaguo lake.

 Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa
na

 chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.

 Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
lake.

 Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
alitoa

 hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa

 chaguo lake.

 Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila

 kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
nimekosea

 nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo

 halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.

 Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa
na

 chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa

 kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
Magufuli

 alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.

 Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
lakini

 aweza kuendelea mpaka myaka kumi.

 Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
kwa

 sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:

 1)      Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
Mwinyi

 haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko

 Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
kuwa

 na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
kubadili

 katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
nafasi

 ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.

 2)      Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
na

 idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
atakuwa

 mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker

 alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
kugombea.

 Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa
chaguo

 lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman
Daffo.

 Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika
mambo

 Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji

 wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
Wakati

 watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
Wilaya

 niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya

 kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania
angeutafuta

 uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo
kimuonekano

 ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa
kwenye

 nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia
2025

 atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
na

 labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo
huu

 Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha
upinzani

 ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati
ya

 walengwa wake.

 Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
umagufuli

 utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
sana

 kama hataanza.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment