Elisa,
Kama unachosema ni kweli basi Nyerere alikuwa mzalendo hasa hasa. Hapa Marekani wanasayansi wote waliobuni bomu la atomic nao walifungiwa mahali ili kuiwezesha nchi kuwa na silaha hiyo. Ukisoma Azimio la Arusha ambalo Mwinyi na wenzake walilishit utakubali kuwa Nyerere alikuwa mzalendo kutumia akili za mmoja wetu kutupa ubunifu original. Matumaini yangu ni kwamba hiyo jamaa alikuwa compensated na state kwa mchango wake. Nitakuwa huko July. Tuanze na Kigoma.
em
Sent from my iPad
> On May 24, 2016, at 2:41 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Emmnuel.
> Nakumbuka kukuahidi kukupeleka Ujiji utembelee eneo la Livingstone.
> Sasa nakuahidi kingine: Ukija Tz fika Bukoba nitakupeleka kwa mtu aliyebuni Azimio la Arusha. Nyerere alichofanya alimficha Ikulu hadi alipostaafu na ofisi yake ikafungwa. Anaitwa Leonard Rwizandekwe. Baada ya nyerere kumgundua kuwa ana mawazo ya kushangaza wakati huo akisoma sheria Uingereza Nyerere alimshauri aachane na sheria ya kawaida asomee African Customary law. Ukikiangalia kitendo hicho unaweza kumtafsiri Nyerere kuwa hakupenda kuwa na mtu aliye na mawazo mapana kumzidi. kama ukweli ukiwa hivyo basi alianza kumtafuta mrithi wake alipokaribia kustaafu. Magufuli ameanza anapoanza urais. katika hilo Magufuli amemzidi Nyerere uzalendo.
> --------------------------------------------
> On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, May 24, 2016, 6:11 PM
>
> Elisa,Hatujawahi kuwa na rais mzuri, makini,
> mzalendo kama Julius Nyerere. Lakini hata kabla hajaodoka
> wenzake, kuanzia Mwinyi walihakikisha Unyerere unafutwa
> nakushindwa. Ndivyo hivyo itakavyokuwa na
> Magufuli. Sidhani kila mtu ndani ya CCM anashabikia
> anachofanya mheshimiwa. Hence my conclusion kwamba
> utashindwa.Nyerere alituwekea misingi kwa miaka
> 23 lakini katika kipindi cha miaka miwili tu Mwinyi alianza
> kuifuta akaja kumalizia Mkapa. Tuombe Mungu tuwepo halafu
> tuje tupimemaneno yako na ya
> kwangu.em
> 2016-05-24 7:10 GMT-04:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Afadhali
> ungesema Umagufuli ''unaweza kushindwa''
> kuliko kusema ''utashindwa'. Ninatamani tuwepo
> wote wakati huo tukumbushane. Umagufuli unaweza kuendelea
> mpaka rais wa tatu kutoka kwake. Kuna sababu nyingi: Watu
> walichoka na kuonewa na watu waliokuwa ndani ya CCM.
> Wakafikia kuichukua CCM. CCM imenusulika kwa sababu ya
> kusambaratika upinzani. Baada ya hapo CCM kumpata Magufuli
> akainusulu. Asipopepesuka ataendelea kuishi baada yake.
> Kingine ni hiki cha kutafuta watu na kuanza kuwalea.
> Sikumuongeza Makonda kwenye orodha ya wanaolelewa makusudi.
> Magufuli akilenga kumuweka mrithi na akatumia njia
> zinazotajwa humu, basi umagufuli utaishi baada yake.
>
> --------------------------------------------
>
> On Tue, 5/24/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] POMBE MAGUFULI: Rais wa kwanza
> Tanzania kurithiwa na chaguo lake?
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Tuesday, May 24, 2016, 1:20 AM
>
>
>
> Ndani ya
>
> CCM hakuna linaloweza kutabirika. Unyerere ulishindwa
>
> kuendelea, Umwinyi ulishindwa na vile vile Umkapa na
>
> Ukikwete.Hata Umagufuli utashindwa
>
> tu.em
>
> 2016-05-23 16:30 GMT-04:00
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> Kumbukumbu zizizo rasmi na zilizo
>
> rasmi Tanzania zinaonyesha marais wote waliotangulia
>
> walishindwa kuwaweka watu watakaorithi nafasi zao mara
> baada
>
> yao kumaliza vipindi vyao.
>
>
>
> Mwalimu Nyerere inasemekana alishindwa kuhakikisha
> chaguo
>
> lake linapita na badala yake Ndugu Ali Hasan Mwinyi
>
> akaichukua nafasi hiyo. Inasemekana chaguo la Mwalimu
>
> alikuwa Ndugu Salim Ahmed Salim.
>
>
>
> Ndugu Ali Hasan Mwinyi angalau huyo tunafahamu hakuwa
> na
>
> chaguo. Ushawishi wake uliporomoka sana na karibu
> Mwalimu
>
> Nyerere alikuwa strongman. Hotuba zake zinazotoka kila
> mara
>
> kwenye luninga zinajieleza. Mwalimu Nyerere alifanikiwa
>
> kumpigia chepuo Ndugu Mkapa kwa hiyo Mwinyi
> hakufanikiwa
>
> kumpachika chaguo lake.
>
>
>
> Wakati wa Benjamin Mkapa kung'atuka ilionekana alikuwa
> na
>
> chaguo lake japo kwa umahili wake haikuwa rais kumjua.
>
> Lakini kuna dalili kuwa Jakaya Kikwete hakuwa chaguo
> lake.
>
> Wakati wa mkutano mkuu wa CCM kuteua mgombea Mkapa
> alitoa
>
> hotuba iliyoashilia anammaanisha JK, lakini bado hakuwa
>
> chaguo lake.
>
>
>
> Ndugu JK ameng'atuka. Alijitahidi kwa uwazi tena bila
>
> kificho kutaka kurithiwa na chaguo lake. Sitakuwa
> nimekosea
>
> nikiongeza kuwa kwa matamshi ya wanafamilia chaguo hilo
>
> halikuwa la JK peke yake bali lilikuwa la familia yake.
>
> Pamoja na makeke yote hayo mwisho wake JK hakurithiwa
> na
>
> chaguo lake. Kuna hisia kuwa ni Mkapa aliyefanikiwa
>
> kushawishi chaguo. Kama kuna ukweli ndani yake basi
> Magufuli
>
> alipita kwa uwezo wake na ushawishi wa Mkapa.
>
>
>
> Dr. Magufuli ndiyo anaaza. Ana myaka minne iliyosalia
> lakini
>
> aweza kuendelea mpaka myaka kumi.
>
>
>
> Dr Magufuli anaonyesha anaweza kurithiwa na chaguo lako
> kwa
>
> sababu kadhaa, zikiwamo zifuatazo:
>
>
>
> 1) Mtangulizi wake (JK) kama ilivyokuwa kwa
> Mwinyi
>
> haonekani kuwa anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kuliko
>
> Magufuli wakati ukifika. Badala yake Magufuli anaweza
> kuwa
>
> na ushawishi mkubwa kiasi cha watu hata kutamani
> kubadili
>
> katiba ili aendelee japo hawezi kukubali. Hii inampa
> nafasi
>
> ya kuwapendekezea watanzania nani awe mrithi wake.
>
>
>
>
>
>
>
> 2) Mwendo wa Dr. Magufuli ana uwezekano wa kuwa
> na
>
> idadi ya watu ambao yeyote kati yao akichaguliwa
> atakuwa
>
> mteule wake. Mfano: (1) Jinsi ambavyo Naibu Speaker
>
> alivyoingizwa, sitashangaa kama 2025 atajitokeza
> kugombea.
>
> Akigombea baada ya kulelewa enzi hizi ngumu kutokuwa
> chaguo
>
> lake. (2) Tunamuona Naibu Waziri wa Tamisemi Suleiman
> Daffo.
>
> Ukimuangalia sana, hatofautiani na Magufuli katika
> mambo
>
> Fulani. Matamshi yake hayaonyeshi ubandia au uigizaji
>
> wowote. Huyu namtilia shaka kuwa yuko analelewa. (3)
> Wakati
>
> watu waliposema Humphrey Polepole anapigania ukuu wa
> Wilaya
>
> niliwashangaa. Na naamini Polepole hakuwa na haraka ya
>
> kuupata Ukuu wa Wilaya. Kama angependa kupigania
> angeutafuta
>
> uwaziri. Kitendo cha kumteua kwa nafasi ambayo
> kimuonekano
>
> ni ya chini kwake sitafanya kosa nikisema amepelekwa
> kwenye
>
> nafasi hiyo ya chini ili apande polepole na kufikia
> 2025
>
> atakuwa ameupata uzoefu ambao kwa sasa unaonekana hana
> na
>
> labda watanzania watakuwa wamemjua zaidi. (4) Kwa mwendo
> huu
>
> Magufuli anaweza kuweka chaguo lake hata chama cha
> upinzani
>
> ili mradi kufika siku zile atakayepita awe mmoja kati
> ya
>
> walengwa wake.
>
>
>
> Kama huu nio mkakati wake basi Baada ya Magufuli
> umagufuli
>
> utaendelea. Kama hakuwa amekusudia hivyo nitashangaa
> sana
>
> kama hataanza.
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
>
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya
>
>
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
>
> responsibility
>
>
>
> for any legal consequences of his or her postings,
> and
>
> hence
>
>
>
> statements and facts must be presented responsibly.
>
> Your
>
>
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
>
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
> ---
>
>
>
>
>
>
>
> You received this message because you are subscribed
> to
>
> the
>
>
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
>
> emails
>
>
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment