Wednesday 30 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Mimi naza kitenga no 2 na 1.
Hatukufanya madudu katika maeneo yote mawili.
Kwa manufaa ya traifa letu tusingeweza kuzuia uchaguzi Zanzibar kurudiwa. hapo hatuhitaji marekani kututafsiriwa.
Kuhusu sheriaq ya mtandao ni kama ambavyo FBI wanagombana na Apple.
Wao kutunyima msaada inahitaji kuhakikisha kama hawakuwa nyuma ya mambo hayo tunayoyakimbia. Inahitaji kuwa na miwani ya mbao kutoyaona haya na kuendelea kuwatetea wamarekani.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 7:28 PM

Mimi nadhani ni lazima
tutofautishe:
1. Kunyimwa misaada
2. Aina ya madudu yaliyofanya tunyimwe
misaada
3. Tunapojadili 1 hatuwezi
kukwepa 2
4. Kudhani kwamba tumenyimwa
misaada kwa sababu tunaweza kujitegemea ni kujidanganya.

2016-03-30 18:46 GMT+03:00
'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
HOFU ni kitu kibaya
sana.Ukikutana na mtu hasa msomi
lakini ana hofu ujue huyo ni sehemu ya tatizo maana pamoja
na elimu,ujuzi na maarifa alivyo navyo hofu/woga vitamzuia
kufikiri hata kama ana jawabu la tatizo
lenu.Magufuli kama Daudi
na Marekani kama Goliati, vyovyote marekani ilivyo lazima
isalimu amri.Hofu inaleta
ulegvu wa mikono. Hofu inaleta maswali ya ovyo, sasa mimi
nitafanyaje? Hofu huleta miguu kupoteza uwezo wake wa
kusimama. Hofu husababisha kinywa kuchemka kwa kuona
haiwezekani na kuona hakuna njia. Hofu huleta kifo cha moyo.
Hofu huendeleza utumwa. Watu wenye hofu kwa wanadamu wenzao
na kujiona wao ni sawasawa na panzi wana akili kidogo hata
kama wamesoma kiasi gani. Marekani hata wakiacha kutoa
misaada yao, hawana uwezo wowote wa kuifuta
TanzaniaHivi Watanzania
wanatishwa na kukosa msaada wa trilioni moja na zaidi
kidogo. Hivi tukiamua wote leo kufanya kazi kwa bidii
inatuchukua muda gani kuziba pengo hili ambalo watu
wanadhani kwa kukosa fedha hizi ni kama tumekataliwa na
MUNGU. TANZANIA tuna nguvu sana bila hofu na tukifanya kazi
kwa bidii.


On Wednesday, March
30, 2016 4:21 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


uo ndio ukweli sa sura ya jamaa hawa.
ndiyo maana wengine tunawaza kuwa extremist Trump akichukua
nchi ulimwengu wote utaungana dhidi ya dude hilo na utakuwa
mwisho wa 'himaya' yao. Wengine hawajui kwa nini
Putin anawakazania wamarekani wamchague jamaa huyo
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Pius Makomelelo' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii]
MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 3:43 PM

Wakiona tumegangamala
zaidi,
hawatasita kuja kutafuta silaha za
maangamizi! Urafiki
mwingine inabidi tuwe
makini sana!
 


    On Wednesday, 30
March 2016, 14:41, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
 

 
Hii
ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri
kidogo, Wakigundua
kuwa Tanzania ya
magufuli imegangamala watatumia njia

nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi
nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na mengine mengi.
Yanatumika
kuingilia mataifa yasiende
yanakotaka.

--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

 
Subject: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  To: wanabidii@googlegroups.com
  Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM
 
  Reaction from Charles
Mwijage:
 
  MCC wamekataa
kutoa pesa
kutokana na jinsi uchaguzi wa

Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio
tu. Hatuwezi
  kuendesha nchi yetu kwa
matakwa yao. Mbona
wanatoa fedha
  Misri na Israel, hizi nchi

hakuna wanaozilalamikia au
 
hazikandamizi
jamii Fulani?
 
  Reaction
on MCC matter.From:
 
Jovias

Mwesiga
  Sent:


‎29/‎03/‎2016
  22:45

To:
 
WANA
  BIDII
  Subject:
  Re: [wanabidii]
MAREKANI
INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
 
  Watanzania
bwana mimi
nafurahia jinsi


tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu
  umetoka wapi?
 
  Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna
ukweli
gani madai
 
yao?
  On Mar 29,
2016
13:30,
  "Emmanuel Muganda"
<emuganda@gmail.com>
 
wrote:
  Dominick,Kati ya watu
hao Kikwete
  anaongoza.em

2016-03-29 7:51
  GMT-04:00 'Dominick

Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
  dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
  wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali
ilivyo haiwezekani
  kwa mtu
ambaye ana elimu
ya msingi kuwa rais wa
Tanzania.
  Kwa hiyo
wapo
wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
  taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani
yao
hawana dhamira
  ya
kujitegemea. Taifa
linaweza kupata kiongozi
ambaye hajui
  ni
kwa nini
yeye ni rais, waziri mkuu, waziri

nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
  kuombaomba
na kurithi.
Akitaka kufanya jambo anataka

aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu
ni aina hii
ya
  fikira za
kuombaomba taifa halitoki.Na
kama taifa
lina raia
  wengi wa aina hii
mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani

wanatumia udhaifu wetu huu
kufanya wapendavyo. Ikiwa
kesho
  Watanzania wote tukiamua kwa pamoja
tunafanya kazi kwa akili
 
zetu za kichwani
na moyoni, mikono yetu,
nguvu zetu, miguu

yetu
hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
  sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
  taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa
hiyo
huyu anataka
 
Marekani walete fedha ili
aibe. Akili zake
za moyoni ni
  kuiba mali ya
nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia

tuendelee. Kupanda mchungwa
si jambo la kungoja jirani
aje
  apande kwako ila ni la kwako mwenyewe
ila kama unataka
  kutukanwa
na watoto wa
jirani yako aliyeamua
kupanda
  michungwa

unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri


yako.Bila kufanya kazi ili kujitegemea

tutakuwa taifa la hovyo
sana. 
 
     On
Tuesday, March 29,

2016
6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
  wrote:
  


 
Irenei
  ni kweli kabisa

vyama vya siasa hatuwezi
  kutuletea
maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya

nje hayawezi kutufaa kwa
maendeleo yetu na ya wajukuu
  zetu. 
lakini tumefikaje huku, wameingiaje
hawa?
ni kwa
  sababu tumeonyesha
kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa

tukiwafuata na bakuli la
kuombea na kuwapigia magoti kuwa
 
hatujiwezi tunaomba tafadhali.  Tumewaita

km
  consultants watuandikie proposals
nzuri
maana sisi
 
hatuwezi.. tumeshindwa.
 
  lakini hela ikija inaenda

mifukoni mwa wachache..
  tumeshindwa.
 
  Juzi wananchi wa
Musoma 
waliripoti kuwa
 
wanakunywa unreated
water.  dawa
inagharimu 1. 7m per
  month. 
Idara inakusanya 20m za bills za maji per

month.  Usishangae  kuomba
msaada wa kuzuia
  kipindupindu.
  Jana Rais
kupokea repoti za
CAG.  tega
  sikio

kakaangu usikie  mambo ya hovyo
  On 29
Mar
2016 00:02, "Ireneus
Mushongi"

<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
  wrote:
 
 
  Mbegu.
 
  Sisi

tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
  boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli
or
whoever we
  speak our
minds.  Magufuli Sio
Mungu but let's
be
  realistic that

American principle won't get us anywhere!
  I know you guys okays everything American
as
they have been
  your
godfather funding and
financing your
political
  interests.
 

  As said earlier Americans
work for their interests not from
  humanity
point of view.
 
  Wewe

ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
  mindset onto others. America is not a
solution
to global
 
problems. Isn't a solution to
our
matters as well!
  That Mbowe, Lowassa
or
Magufuli favours America doesn't
  take
away our own decisions
from serving our country. None
  of them
think on our behalf.


  Let's do it our own way!From:
  Edgar
  Mbegu

Sent:
 
‎28/‎03/‎2016


23:04
  To:
  Wanabidii
  Mawazo
  Subject:
  RE: [wanabidii] MAREKANI INA

SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
 
 
  Bifabusha, mtu akihoji

matumizi ya hovyo namna hiyo,
  anaonekana
si
mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata

waliokuwa wanahoji kupigwa
danadana uchaguzi wa Meya DSM
  walionekana
kuwa ni wachochezi hadi pale JPM

alipotamka.
  Nina Imani kuwa hata hawa
wanaoponda US na sera na siasa
  zake siku
JPM akiziunga
mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
 
tulivyo!
  Date: Mon, 28 Mar
2016 15:19:15 +0300
 
Subject: Re: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA

UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  From: acanemwango@gmail.com
 
To: wanabidii@googlegroups.com
 
  Nakubaliana sana na
wewe
Dominick. 
 
  Maendeleo
yanaanza na mtu
binafsi.  japo baadhi ya sera
  na
taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha

nyumba juhudi
  za mtu binafsi.  
 
 
  On
28 Mar
2016 11:14, "'Dominick

Rukokelwa' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
  Bifabusha umesema
vema.Tujilaumu
sisi wenyewe kama
Tanzania/
  Afrika.Tanzania
tuna ardhi
  iliyosheheni
kila kitu. Hivi
kupanda maharage
kunahitaji
  msaada kutoka

Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho
  yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani
kwenye
ardhi
 
yetu?Tunachokiona cha
  kwanza ni kuiuza
ardhi ya Tanzania.Sisi ni
walegevu sana,
swala la kazi
  linapaswa

kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
  itakayoinua taifa.Kwa
 
mfano
kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
chama chako cha
  siasa lakini hataki
kufanya kazi?Unaposimama
kumhutubia
mfuasi
  wako hotuba nzima
humhimizi baada ya mkutano na
  maandamano
aende akafanye
kazi. Mtu yeyote anayeipenda

Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha

maendeleo.Wenzetu
  wanaitazama ardhi tofauti

na sisi. Wenzetu wanajua nini
  maana ya
kazi. 
 

     On Monday,
March 28,
  2016 9:15 AM,

'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
  
 
  Tukipata misaada
  tukaitumia
kuleta mifumo
bora tutaendelea. Hata Japani

walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni
kutaka kuiba
  hiyo misaada na kutumia
misaada kwa faida ya
watu wachache.
  Msaada unaombwa ukiwa

umebeba administrative costs kubwa na

development budget kidogo pia nazo zinahusu
posho za
semina
 
zinazoendeshwa na walewale
walioandaa
miradi walioko
  serikalini. No
tangible development costs. Kwahiyo
mamilioni
  ya dola yanaishia mifukoni mwa
watu badala ya
kwenda kwenye
  miradi. 


Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye


sector ya kilimo ktk Halmashauri moja
mambo niliyoyaona
humo
 
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta
na
posho. Hatuwekezi
  kwenye miradi.
  Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi
wenyewe.
  Misaada ikitumika
vizuri inaweza
kuleta maendeleo na
  kuondokana na
utegemezi.
 
  Sent from
Samsung
  Mobile
 
 
 
-------- Original message
--------
  From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

  Date: 
  To: wanabidii@googlegroups.com


  Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
INA
SHIDA GANI NA
 
UCHAGUZI WA TANZANIA?
 
 
 
 
  Thanks, Ireneus Kakuru

Mushongi na Elisa Muhingo amehoji

yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi
kutufunua
sisi
  vipofu TZ
tupo wengi wa kufuata
mikumbo na kujali
tumboni
  street.
  HK
 


--------------------------------------------
  On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
  wrote:
 

 
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
INA SHIDA GANI NA
  UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  To:
"wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
 
  Nawaogopa wale
mnaoutukuza umagharibi na na

  pia kupima
mafanikio yenu kwa mizania ya
kimagharibi!
  Angalia China, India, Asian
Tigers,
hawaendekezi
 
U-Magharibi. Wana principles
zao nzuri
wanazitumikia
  wanazifuata. Huku
hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
 
za mafanikia, hadi
tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
 
akili hii tutafika?
  Hivi
ni checklist gani ya
 
kimagharibi
unadhania inatufaa sisi hadi
tuifuate hatua

kwa
  hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa,
kiuchumi au
 
kiutamaduni?
  Our
 
political, cultural,
social and economical
values in terms
  of

mission and visions should guide of undertakings. We
  are
  in a very
different
environment in any of the above;
how
  come
their missions
and visions guide our strategies? Hapa
 
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na

vision yake
  inaweza

 
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa
vizuri kwa vitendo
  na
 
nidhamu ya hali ya juu.
Kwa nini
tunang'ang'ania
  hizi
dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha
mambo
  yetu?
  Can't
we learn
from others in the Eastern
world?
 
Can't we
come up with something African and
 
particularly
  Tanzanian to
guide of move?
  Or simply
because bwana
mkubwa Uncle

  Sam (US) is not happy, then
we are in a
wrong direction?
  Because we
not dancing in his tune? Yes it's time
to
  say
  no!
 
For how long
  should WE keep on licking

their feet, kissing their ass to
 
please
them love us? South Africa, North
Korea, Iran,
  Libya,
 
were all sanctioned
and denied the foreign
aid few years
  ago;
you
all know what they did out of dependence to
  change
  their
status.With
exceptional of Libya where
  these western
thugs
intervened, we are well informed of

the
  situation right now.
Gadhafi is dead
and Libya is a mess.
  US
 
and
her western allies are there at large controlling oil
  reserves! Similarly they intervened
Libya
government as
 
undemocratic, supported few
individuals who
took refuge in
  UK and US,
formed political movements, ousted Gadhafi;

those
 
individuals as they were not united

previously, started
  fighting for
power
distribution; the West have failed
and
  a
  situation in
not manageable right now; gone
beyond
  control;
  some
groups have turned into terrorist groups,
joined ISIS
  and Al-Qaeda; and surprising
enough still
few Tanzanians
  are
 

hailing US as the remedy for our situation; come on guys;
  be
  serious and think
ahead.
  Ndugu zangu wengine
najua
  mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama
kwa kuamua
ama kwa
 
kulazimishwa na mazingira. By the
way
Donald Trump
  doesn't need you
anymore; km uko US; you better come
  back
ili tujenge nchi yetu
kwa kaulimbiu zetu wenyewe
  badala
  ya kuchochea vurugu
na
kulalamika tuuuu! We will never
  make
  it under US missions and visions to
determine our fate as
  a
 
country. Ndiyo changamoto
zipo bado lakini collectively
  sisi
  wenyewe bila
kuingiliwa na
yeyote; we can make
  it.

  Just my
  take!
 
 
 

Omukunirwa
  Ireneus 

 

 

 
 
 

 
  2016-03-27 12:56

GMT+03:00
  'Mashaka Makana'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Kama demokrasia ya
 
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano
wakati
  chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi
na
kuimarisha umasikini
 
basi
  mh.magufuli mpaka 2050!
 

 
Sent
  from Yahoo Mail
on
Android 


From:"'mashakamakana'
 
via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
  Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
 
    Tunalo
  jembe limechongwa usukumani wala hatuna
haja
ya amri zao.
  Dawa
ni kuwapuuza wakileta
yasiyotufaa.
Hongera
  wanyarwanda
 
mh. kagame mpaka 1937
 

 
  'Bernard' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 
  Mapenzi ni
 
chongo.From:
  'ELISA
MUHINGO'
via
 
Wanabidii
  Sent:
 
‎27/‎03/‎2016
 

00:52
  To:
  wanabidii@googlegroups.com

  Subject:
  Re: [wanabidii]
MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA
TANZANIA?
 

 
Unazungumzia
Marekani
  ipi? Iliyomuunga
mkono Savimbi ili Angola  angola
 
isiendelee na kuendeleza
demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
  inatetea
democrasia? Marekani iliyovamia
Panama?
  Unaongelea
 
marekani gani inayoona kuwa Tanzania
haikufuata
  demokrasia?

  Iliyomuunga
Mkono Mobutu kufilisi
Kongo?
 

--------------------------------------------
  On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya'
via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

  Subject: Re:
  [wanabidii] MAREKANI INA

SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
  TANZANIA?
    To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
    Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
   
    Marekani
 
  ina shida na wizi
wa
kura unaoendelea Tanzania.
  Kutofuatwa
    kwa
misingi ya kidemokrasia
  ikiwa ni pamoja
na
    kuwa
na Tume
    huru ya Uchaguzi ndiyo

  tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
   
iliyoundwa
  naMwenyekiti

wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
   
useme
kuta kuwa na uchaguzi hapo.
Mwenyekiti
  wa
CCM
(Rais)
    ndiye huyo huyo
anayeelekeza
  majeshi ya
ulinzi na
usalama
   
yawanyanyase
 
wapinzani
wake ili wasishinde uchaguzi, bado
   
kutakuwa na uchaguzi hapo?
 
  CCM
   

inajua wazi kwamba haipendwi na
 
wananchi
ndiyo maana
   
inang'ang'ania
  Katiba iliyopo
inayompa madaraka
    makubwa
  Rais ambaye ni
Mwenyekiti
wa CCM ili kulinda
    masilahi
yake madarakani.
 
 
Hili halikubaliki na
Marekani na mataifa mengine
    ya Ulaya
yako sawa kabisa kupinga.
   
   
   


   
      On
Thursday,
March
    24,
2016 11:05 PM, 'ELISA
MUHINGO'
via
  Wanabidii
   
<wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
    
   
    Mara
    baada ya uchaguzi mkuu

 
October 2015 na yaliyotokea Marekani
 
  ilisita kuruhusu
msaada kwa serikali ya
Tanzania.
    Sababu
   
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
 
Uchaguzi wa Zanzibar na
    2) Kutaka
kujua
  kama kweli sheria ya mtandao ina
haki ya
 

  kutumika
kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
mtandao kuvuruga
    uchaguzi ambao baadhi
walikuwa mikononi
mwa
 
dola.
   
    Majuzi
baada ya
 
uchaguzi
    Zanzibar Marekani ililalamika
kwa
  uchaguzi kufanyika
bila
    waliogoma
 
kushirikishwa.
   
   
Marekani
  inajiona inakosa nini Tanzania
kuwa
    salama
  na chini
ya viongozi
waliodhibitishwa na tume za
   
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
   
Send
 
  Emails to wanabidii@googlegroups.com

   
     
   
 
   

Kujiondoa Tuma Email kwenda
   
   
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
    Utapata Email ya
 
 
  kudhibitisha ukishatuma
 
 
   
 
   
   
  Disclaimer:
   
   
   

Everyone posting to this Forum bears the

 
sole
   
responsibility
 
 
for
  a
  [The entire
original message is not
 
included.]
 
 
 
  --
 

  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 

Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
  for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence


statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you
agree
to this
  disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
 

---
 
 
You received this
message because you are
subscribed to the

Google
Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
  from it, send an email to

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com


Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

   


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com


 


Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment