Tuesday 29 March 2016

RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Bi Kiwasila kwa uvivu wetu ngumu kuyapenda maandiko yako, bahati mbaya  hatupendi kuishi kwa historia ndo maana kila siku tunakurupuka na vipya bila kuangalia vilivyopita vilikwamia wapi.
Kuhusu dikitetA labda japo bado mfumo unampa madaraka makubwa aliepo akitaka kifanyike kitu kinafanyika tumeona katika maamuzi mabaya iweje ishindikane kwa mazuri?

On Mar 29, 2016 16:08, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mwenye umri wa 60 years+ atakumbuka Motto wa JK nyerere wa Kata Mti-Panda Mti; Mtu ni Kazi, Kazi ni Uhai, Mtu ni Afya. Miradi ya majiko bora na sanifu ya kutumia kuni ndogo na kutoa moshi nje kuokoa afya ya wapishi-akina mama ilifanyika TZ nzima miaka ile. Mpaka kukaunda TaTeDO ipo Dar ofisi near Chuo cha ustawi Bamaga na near LHRC. Wamefundisha mafundi wa majiko sanifu nchi nzima na watakupa simu zao walipo kwa wilaya uliyopo. Majiko ya nyumbani na ya taasisi. Kuna majiko ya mkaa pia naya kuchoma nyama ambayo ni sanifu. Donors wameendesha miradi hiyo katika maeneo yao ya uhisani. Pamoja na mashirika mengine ya balozi mbalimbali na NGOs kwa mfano TCRS-Singida; World Vision, SNV  etc. Pamoja na juhudi hizo ni agroforestry kupanda miti kama luceanea, mijohoro, miwati, muarobaini, mikaratusi etc. Tatizo ni pale jiko sanifu la kupikia nyumbani litakapobomoka-hatengenezi tena anarudia kuweka tofari au mawe anakula moshi. Kujenga vent pipe ya mawe au tofari za kuchoma anaona tabu ambapo ni kwa afya na usalama wake. Macho mekundu yatokanayo na moshi wa kupika umefanya wanawake lake zone wauwawe kwa kushukiwa kuwa wachawi kumbe ni kemikali zitokazo na moshi.

Maeneo ya kilimo cha mpunga mfano Wilaya ya Kilosa- Kidodi, Ruaha, Kilombero wamewafundisha jinsi ya kutengeneza kupanga tofari na kuchoma tofari kwa kutumia pumba za mpunga na takataka nyingine; kutengeneza mkaa kutokana na taka zizalishwazo nyumbani. Utaona nyumba nyingi za udongo zimebadilika kijiji chote kinakuwa na nyumba za tofari za kuchoma na kuezekwa kwa bati. Hizi juhudi hazijulikani na wengi lakini zipo humu TZ. Kisha kuwasaidia kuwa na mbuzi wa kisasa wa maziwa na nufugaji wa nguruwe kupata maziwa na nyama na kipato.

Nani amfundishe mtanzania kitu aelewe. Ikiwa pamoja na kampeni zote za mtu ni afya, decentralization ya ufagiaji, ukusanyaji taka na uzoaji kupeleka dampo na matokeo ya kipindupindu kinaua hadi leo-bado mtanzania anaunganisha choo chake mtaro wazi na mavi yanatiririka na maji machafu mwaka mzima? Bado pamoja na kampeni za mtu ni afya kuanazia 1974 na kufagia kila jumamosi wakati ule, pipa za taka kila mtaa (baadae wakaanza kuziiba) na assa hii ya Mh Mangufuli kuhusu usafi-bado wanaamka na kutupa malundo ya viroba vya taka usiku katikati ya barabara, vituo vya bus na mitaroni? Anakata miti anauza mbao mke anatembea kutwa kutafuta kuni na kubakwa huko. Anabomoa bomba la maji kuuza chuma chakavu na anajua matatizo atakayoipa familia na hela analewea? Jiko sanifu na udongo wa mfinyanzi kibao na wana TOT vijijini lakini anaona shida kama vile anavyoona shida kuchimba choo na kukijenga chenye hifadhi ila kutwa kijiweni au kilabuni? Umfanye nini mbongo???

Kama mbongo ana akili timamu-anawekaje madawa tena viripukwa undergroung kwenye pharmacy yake-eti alipoulizwa-hakujua madhara yake! Cheti cha kuanzisha duka la dawa kakipataje? Mbona na dawa zenyewe zimeandika uhifadhi wake kwa joto la kiasi gani. Ana vyeti feki huyo na akiporwa dawa anaona kaonewa. Vivyo hivyo dawa za shamba zipo kwenye underground storage facility na hakuna ventilation! Ni hivyo akili za pumba-kuna bar wanachoma nyama, hapo kando yake kuna duka la mitungi ya gas, jirani kuna duka la dawa za binadamu au dawa za mifugo na kilimo. Mbele kidogo kuna mashine ya kusaga au duka la chakula cha ,mifugo kumejaa pumba na nyingine zimeanikwa nje na jirani kuna saluni ya akina dada/kaka na kemikali zake. Halafu wamebananisha njia zote  mpaka feeder roads. Niambie-wanaona moto ukiunguza nyumba na bado wanafanya hivi. Pembeni kuna garage na wanafanya welding na mbele yake au carpentry workshop ambako wanapaka rangi na mafuta mengine kwenye mbao yanayotoa hewa kali na mbaya ya kuleta kifafa kwa binadamu ambao nao hufanyakazi bila ya protective gear. Jirani  au nyuma ya karakana na saluni hizo kuna nyumba ya kulala binadamu. Ongea nao, waelimishe na kuwaelekeza-wanabinua midomo! Moto utawaka watapata loss, moto ukishakuzimwa-wanabananisha majengo hivyo hivyo hawajifunzi kitu kutokana na hasara na madhara waliyopata. Wakibomolewa kwa nguvu-wanaonewa. Haki za binadamu, vyama vya siasa na walafi wengine maelezo mengi magazetini naktk TV. Bongoland hiyo!!

Urban planning imefanyika DSM. Walianza na squatter demolition, wakaja na squatter upgrading, wakaingia na  Sites and Services surveyed plots (Sinza, Tegeta yote kuanzia tangibovu, Kiwalani, Kipawa, Tabata etc), wakaja na Strategic Urban Development Planning Framework (SUDPF), ikaingia Community Infrastructural Updrading Programme (CIUP) au kurasimisha makazi kwa mbinu shirikishi. Miradi ya vyoo bora na mikopo ya vyoo na mafundi vyoo waliopata mafunzo yaliyotolewa na DSD na DSSD wakishirikiana na mashirika ya nje ya UK na Holland. Mpaka magari maalum na vitoroli vya kupakulia kinyesi wanaopakua kwa mkono-yote haya yalifanywa na serikali hii ya TZ. Wakaunda NEMC kuangalia  na kusimamia mmazingira yasichafuliwe na wana makazi na viwanda. Wakaunda NIMR kuangalia masuala ya tafiti za maradhi kimaadili etc, etc. Hebu fanya Outcome evaluation ya initiatives zote uone matokeo yake miaka 20+ baada ya utekelezaji ukipita miji na mikoa yote kisha boresha kwa mbinu endelevu nyingine. Angalia kuanzia strategies zote mpaka hiyo urban planning na kuwa na surveyed plots makazi ya kima cha chini-Low income areas! sasa ni makorokoro, majengo ya gjhorofa ktk makazi hayo kuzibana hewa safi nao kuhamia mashimoni. Ukiwavunjia-wanahamia na familia zao kulala na kuoga ktk rapid bus transport stands!!

 TZ-Kichwa cha mwendawazimu!! Hiyo Kinondoni Mkwajuni-Hannanasif ni mradi wa kuboresha chini ya SUDPF-wameuza baada ya kuboresha shirikishi-wamehamia kinyesini, wameuza mabwe pande-Kabang-kinyesini tena. Kigogo ni CIUP-kaangalie mpaka dampo la kigogo. Rudi Singida kaangalie majiko sanifu na mashine za TCRS za kukamulia Alizeti zimefikia wapi?!

Wacha nimalizie hapa kabla sijaudhi watu. Kichefu chefu. Tunahitaji Dictator!!

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Tue, 29/3/16, haha12@poczta.fm <haha12@poczta.fm> wrote:

 Subject: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Tuesday, 29 March, 2016, 14:40

 Maendeleo yataweza kupatikana iwapo tutafata
 mbinu wanazofanya mataifa mengi ya nchi zilizoendelea na
 zinazoendelea sio kiuchumi tu, bali hata kisiasa. Nilazima
 vizazi vya sasa vi- sacrifice kwa vizazi vinavyokuja. Miundo
 ya maisha lazima tuyabadilishe kidogo kidogo. Kwa mfano:
 Tanzania hivi sasa inasemekana kuwa na gas nyingi sana,
 lakini still tunaendelea kupika kutumia kuni au mikaa bila
 kujua kuwa tunaathiri mazingara yetu kwa regular cutting of
 trees. Nani wa kulaumiwa, ni serikali kwani hakuna mwamko
 wowote katika masuala yanayotukabili ya kesho na keshokutwa.
 Yanayotatuliwa ni hayo tunayoyaona leo. Raia wa kawaida hana
 uwezo wa kutumia gas kwani hana uwezo wa kununuwa gas cooker
 na hata nyumba tunazozijenga nyingi zao hazikutayarishwa
 kuwa na vifaa hivyo kana kwamba hakuna urban planning
 kabisa.Watu wanajijengea tu wanavyotaka. We don't think
 of tomorrow. Ndio maana nasema iwapo hatuto waige watu wa
 nchi zinzoendelea au zilizoendelea tutabaki kulaumiana tu.
 Ukweli ni kwamba matatizo ni mengi sana katika nchi za
 ulimwengu wa tatu na ni sisi wenyewe tunapaswa tuyatatue,BUT
 we need good reletionship with the developed world to tackle
 most of those problems. Let's take them as our mentors
 but the final decisions should be retained in our hands.

 Mtanganyika

 Od: "Atu Mwangomale"
 <acanemwango@gmail.com>
 Do: wanabidii@googlegroups.com;
 Wysłane: 5:55 Wtorek 2016-03-29
 Temat: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI
 WA TANZANIA?Irenei
 ni kweli kabisa vyama vya siasa hatuwezi
 kutuletea maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya nje
 hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu zetu. 
 lakini tumefikaje huku, wameingiaje hawa? ni kwa sababu
 tumeonyesha kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa tukiwafuata
 na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa hatujiwezi
 tunaomba tafadhali.  Tumewaita km consultants watuandikie
 proposals nzuri maana sisi hatuwezi.. tumeshindwa.

 lakini hela ikija inaenda mifukoni mwa wachache..
 tumeshindwa.

 Juzi wananchi wa Musoma  waliripoti kuwa
 wanakunywa unreated water.  dawa inagharimu 1. 7m per
 month.  Idara inakusanya 20m za bills za maji per month. 
 Usishangae  kuomba msaada wa kuzuia kipindupindu.
 Jana Rais kupokea repoti za CAG.  tega sikio
 kakaangu usikie  mambo ya hovyo
 On 29 Mar 2016 00:02,
 "Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
 wrote:

 Mbegu.

 Sisi tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
 boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or whoever we
 speak our minds.  Magufuli Sio Mungu but let's be
 realistic that American principle won't get us anywhere!
 I know you guys okays everything American as they have been
 your godfather funding and financing your political
 interests.

 As said earlier Americans work for their interests not from
 humanity point of view.

 Wewe ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
 mindset onto others. America is not a solution to global
 problems. Isn't a solution to our matters as well!
 That Mbowe, Lowassa or Magufuli favours America doesn't
 take away our own decisions from serving our country. None
 of them think on our behalf.

 Let's do it our own way!From:
 Edgar
 Mbegu
 Sent:
 ‎28/‎03/‎2016
 23:04
 To:
 Wanabidii
 Mawazo
 Subject:
 RE: [wanabidii] MAREKANI INA
 SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

 Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna hiyo,
 anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
 waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM
 walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka.
 Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa
 zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
 tulivyo!
 Date: Mon, 28 Mar 2016 15:19:15 +0300
 Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
 UCHAGUZI WA TANZANIA?
 From: acanemwango@gmail.com
 To: wanabidii@googlegroups.com

 Nakubaliana sana na wewe Dominick. 

 Maendeleo yanaanza na mtu binafsi.  japo baadhi ya sera na
 taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi za
 mtu binafsi.  

 On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick
 Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Bifabusha
 umesema vema.Tujilaumu
 sisi wenyewe kama Tanzania/ Afrika.Tanzania tuna ardhi iliyosheheni kila kitu.
 Hivi kupanda maharage kunahitaji msaada kutoka
 Marekani?Ardhi tunayo ila
 tunaitazamaje kwa macho yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono
 gani kwenye ardhi yetu?Tunachokiona cha kwanza ni kuiuza ardhi ya
 Tanzania.Sisi ni walegevu
 sana, swala la kazi linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi
 peke yake ndiyo itakayoinua taifa.Kwa mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
 chama chako cha siasa lakini hataki kufanya
 kazi?Unaposimama
 kumhutubia mfuasi wako hotuba nzima humhimizi baada ya
 mkutano na maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote
 anayeipenda Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
 maendeleo.Wenzetu
 wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini
 maana ya kazi. 

     On Monday, March
 28, 2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 Tukipata misaada
 tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani
 walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba
 hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu wachache.
 Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs kubwa na
 development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za semina
 zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi walioko
 serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo mamilioni
 ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya kwenda kwenye
 miradi. 
 Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
 sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona humo
 ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi
 kwenye miradi.
 Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe.
 Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na
 kuondokana na utegemezi.

 Sent from Samsung
 Mobile

 -------- Original message --------
 From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

 Date:
 To: wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
 UCHAGUZI WA TANZANIA?

 Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
 yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi
 vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni
 street.
 HK

 --------------------------------------------
 On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
 UCHAGUZI WA TANZANIA?
  To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05

  Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
  pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
  Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
  U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
  wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
  za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
  akili hii tutafika?
  Hivi ni checklist gani ya
  kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua
 kwa
  hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
  kiutamaduni?
  Our
  political, cultural, social and economical values in terms
  of mission and visions should guide of undertakings. We
 are
  in a very different environment in any of the above; how
  come their missions and visions guide our strategies? Hapa
  kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake
 inaweza
  kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo
 na
  nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
  hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo
 yetu?
  Can't we learn from others in the Eastern world?
  Can't we come up with something African and
 particularly
  Tanzanian to guide of move?
  Or simply because bwana mkubwa Uncle
  Sam (US) is not happy, then we are in a wrong direction?
  Because we not dancing in his tune? Yes it's time to
 say
  no!
  For how long
  should WE keep on licking their feet, kissing their ass to
  please them love us? South Africa, North Korea, Iran,
 Libya,
  were all sanctioned and denied the foreign aid few years
  ago; you all know what they did out of dependence to
 change
  their status.With exceptional of Libya where
  these western thugs intervened, we are well informed of
 the
  situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a mess.
 US
  and her western allies are there at large controlling oil
  reserves! Similarly they intervened Libya government as
  undemocratic, supported few individuals who took refuge in
  UK and US, formed political movements, ousted Gadhafi;
 those
  individuals as they were not united previously, started
  fighting for power distribution; the West have failed and
 a
  situation in not manageable right now; gone beyond
 control;
  some groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
  and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians
 are
  hailing US as the remedy for our situation; come on guys;
 be
  serious and think ahead.
  Ndugu zangu wengine najua
  mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
  kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
  doesn't need you anymore; km uko US; you better come
  back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe
 badala
  ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will never
 make
  it under US missions and visions to determine our fate as
 a
  country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively
 sisi
  wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
  it.
  Just my
  take!

  Omukunirwa
  Ireneus 

  2016-03-27 12:56 GMT+03:00
  'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Kama demokrasia ya
  chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
  chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini
 basi
  mh.magufuli mpaka 2050!

  Sent
  from Yahoo Mail on Android 
 From:"'mashakamakana'
  via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
  Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

   Tunalo
  jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
  Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera
 wanyarwanda
  mh. kagame mpaka 1937

  'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:

  Mapenzi ni
  chongo.From:
  'ELISA MUHINGO' via
  Wanabidii
  Sent:
  ‎27/‎03/‎2016
  00:52
  To:
 wanabidii@googlegroups.com
  Subject:
  Re: [wanabidii] MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

  Unazungumzia Marekani
  ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola  angola
  isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
  inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama?
 Unaongelea
  marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata
 demokrasia?
  Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
  --------------------------------------------
  On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:

   Subject: Re:
  [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
  TANZANIA?
   To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
   Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
  
   Marekani

  ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
  Kutofuatwa
   kwa misingi ya kidemokrasia
  ikiwa ni pamoja na
   kuwa na Tume
   huru ya Uchaguzi ndiyo
  tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
   iliyoundwa
  naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
   useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
  wa CCM (Rais)
   ndiye huyo huyo anayeelekeza
  majeshi ya ulinzi na usalama
   yawanyanyase
  wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
   kutakuwa na uchaguzi hapo?

  CCM
   inajua wazi kwamba haipendwi na
  wananchi ndiyo maana
   inang'ang'ania
  Katiba iliyopo inayompa madaraka
   makubwa
  Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
   masilahi yake madarakani.

  Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
   ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
  
      On Thursday, March
   24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
  Wanabidii
   <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
    
    Mara
   baada ya uchaguzi mkuu
  October 2015 na yaliyotokea Marekani

  ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
   Sababu
   mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
  Uchaguzi wa Zanzibar na
   2) Kutaka kujua
  kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya

  kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
   uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
  dola.
  
   Majuzi baada ya
  uchaguzi
   Zanzibar Marekani ililalamika kwa
  uchaguzi kufanyika bila
   waliogoma
  kushirikishwa.
  
   Marekani
  inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
   salama
  na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
   uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
    Send
   Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
  
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
   Utapata Email ya
   
  kudhibitisha ukishatuma
   
  Disclaimer:
   
   Everyone posting to this Forum bears the
  sole
   responsibility
    for
  any legal consequences

   of his or her postings, and hence
  
   statements and facts must be presented
  responsibly. Your
    continued membership
  signifies that you agree
   to this
    disclaimer and pledge to abide by
   our Rules and Guidelines.
   
   ---
   
    You received this

  message because you are subscribed to the

   Google Groups "Wanabidii"
  group.
  
    To unsubscribe from this group and stop
   receiving emails
    from it,
  send an email to
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
   
    For more options,
  visit
   https://groups.google.com/d/optout.
  
   --
   Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
  
   Kujiondoa Tuma Email
  kwenda
  
   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
  
   Disclaimer:

  Everyone posting to
   this Forum bears the
  sole responsibility for any legal

  consequences of his or
   her postings, and hence statements
   and
  facts must be presented responsi

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the
  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 ---
 You received this message because you are subscribed to the

 [The entire original message is not
 included.]

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment