Wednesday 30 March 2016

Re: [wanabidii] Karata Pekee Kwa CHADEMA Kwa Sasa!

Niulize  swali tafadhali. Hivi Lowassa peke yake ndiye alikuwa fisadi ndani ya CCM? Hayo majipu anayotumbua Magufuli yanatoka vyama vya upinzani?
Kusema kuwa ajenda ya ufisadi ni ajenda peke yake ndani ya Chadema ni upofu. Kajipangeni upya.
em

2016-03-30 14:02 GMT-04:00 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Baada ya kuizika rasmi Ajenda/karata ya ufisadi hasa pale walipomsafisha na kumkumbatia  Edward Lowassa karata pekee iliyobaki ni ku-sympathise na Wazanzibari hasa kuhusu suala la Muungano!

CUF ni wapinzani wakuu wa Muungano, kwa hiyo wamepata mwenza huku Bara!
CHADEMA hawana mpango na kutawala nchi kwa sasa kwa kuwa wana lengo la kugawa nchi! Kazi yao ni kushangilia failures huku kukiwa na success wako kimya kama wamemwagiwa maji.

Anayofanya Magufuli mazuri wako kimya, limekuja la MCC eti ndo wanatoa tamko!
Kama upinzani ni kupinga tu basi watabaki wapinzani milele! Endeleeni na kick yenu ya kuwapa joto Wazenj!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment