Ninapitapita ninajaili maswala na naona watu wanafanya maamuzi tofauti. Kwa hiyo walioamua na hawawezi kubadili si wote.
Kama kuna mtu ameichoka CCM kwa maana Neno CCM huyo ana matatizo. Watu wengi wamechoka matendo ya CCM. Watu wamechoka kwa viongozi wa CCM kutoona kuwa inaweza kutolewa. Watu hao wakiiona CCM inayoendelea kuwa ile ile watapiga kura kuiondoa madarakani. Pale waatakapoona CCM inao watu wanaoona ukweli na ulazima wa kubadilika wanaweza kuamua kuirudisha. Watu wakiona hakuna chama kinachoongozwa na watu safi, au chama kilichotegemewa kimewaingiza waliovuruga CCM watairudia CCM na watafanya hivyo si kwa kuipenda CCM bali wameona upya ndani ya CCM.
--------------------------------------------
On Tue, 9/1/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi mkuu 2015: sidhani kuwa baada ya Slaa kuna anayeweza kujaribu kujifanya haelewi.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 1, 2015, 10:27 PM
Nadhani
kwa sasa majority wameshaamua watampigia kura nani. Wale
watakaompigia Magufuli itakuwa vigumu kuwashawishi wageuke
na kadhalika walewaliokwishaamua kupigia kura
Lowassa/Ukawa nao wameshaamua. Waliokuwa hawajafanya uamuzi
hao ndio wanaweza kushawishika au kumpigia Magufuli
nakuendelea na CCM au kuitosa CCM kwa sababu
imechokwa regardless mgombea wa UKAWA ana madoa
gani.em
2015-09-01 14:41 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Watanzania tumo katika mchakato wa
kuchagua viongozi wa taifa hili kwa myaka mitano kuanzia
mwaka huu.
Kuna mambo mapya katika siasa zetu mojawapo ni wanasiasa
wenye ushawishi kuhama kutoka chama tawala. Mtu akisema
uchaguzi wa mwaka huu ni tofauti sana na chaguzi zilizopita
hajakosea.
Kwa wazi inajitokeza katika kampeni watu kujitokeza kwa
uwazi kushabikia mambo isivyotarajiwa. Kwa mfano:
1) Kuna watu wanashabikia ueneo (Ukanda). Mtu anapindisha
hoja ili mradi kuhakikisha uoza wa mtu hauonekani ili aungwe
mkono.
2) Kuna watu wanashabikia mtu bila sababu na unafikia mahala
unawaza huyu ana nini. Hoja inaletwa na mtu anasema
'mimi huyu tu'. Kuna mambo yamelitesa taifa hili na
hayo yanaunda agenda kuu. lakini mwingine anashindwa kwenda
na hoja na kuamua kuunga mko0no mtu bila kutaka
kumjadili.
3) kuna wale wanaojadili hoja na wako tayari kusema
'huyu niliyedhani anafaa kumbe hafai'.
Kama kuna jambo linasumbua watu ni uadilifu wa wagombea.
Tumefika mahala tunashindwa kujikumbusha tuliyowahi
kuyasikia.
Leo1 September 2015 Dr Slaa amejitokeza na kueleza sababu
zake kujiweka pembeni mwa siasa za vyama. Ameanika nyaraka
zinazodhibitisha uharibifu wa watu ambao kwa sababu hiyo kwa
machungu au kwa amani tutakubaliana na kwa sababu watu
wazima kama tulifikiri fulani anatufaa basi tunarudi kuona
kati ya waliobaki nani afadhali.
Mwalimu Nyerere alisema Watanzania wanataka mabadiliko.
wakiyakosa CCM watayapata nje ya CCM. Kumbe yanaweza
kupatikana ndani ya CCM. Tuichunguze mwendendo wake wasasa.
Tukiyaona tuyafuate tuyapate.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754
834152Skype.nanyaro.ephata
"truth shall set you
free"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment