Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] SIJAKUELEWA DADA ANANILEA NKYA

Kwa halo ilivyo sasa, Watanzania tumegawanyika makundi zaidi ya 3;

1. Wajinga - Hawaelewi kinachoendelea, wanaendeshwa na akili za wengine. If they play good or bad its only because "someone said it"
Hawa utasikia wakiongelea kile kilichosemwa na wanasiasa majukwaani, wanaamini media tu.
They know nothing honestly, feel sorry for them as they don't think, wanategemeaga wengine tu

2. Walafi - Wanatumiana kwa lengo la kufaidi nchi kwa sababu ya mitizamo hasi mbali mbali, kama undugu na flani, urafiki,  hata ukaribu wa kikazi, all about self interest e.t.c. Huyu anaongelea mambo kwa akili ya zamani. Ataongelea meengi kuongelea hoja 1 tu. Ukisoma kwa makini you will find the topic is not variable of variables!!! 
Anafikiria kupokea na maisha yake ni ya kusukumwa sukumwa tuu.

3. Wenye nchi - Atasimamia ukweli na hali halisi iliyopo, bila kujali ni wa chama chake, ndugu yake, rafiki, work-mate e.t.c. hana mipaka. Huyu huongelea sana suluhu na wengi zaidi tatizo na suluhu yake. What, How and Why.
By contrast ni wachoyo na ma-dictator!, But they are good for the sake of the society!!!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment