Tuesday 29 September 2015

RE: [wanabidii] Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo

Kim upo sahihi na ninashukuru kunielewa.  Unaweza kugoogle jina langu na kuona ninachojitahidi kufanya ili kupambana kubadilisha hali tuliyokuwa nayo iwe bora zaidi sio kwa ajili ya chama chochote ila kwa ajili ya Watanzania.  Mabadiliko tunayotaka ni kwa ajili ya Watanzania wote kwa ujumla

Cheers

Herment A. Mrema


Date: Tue, 29 Sep 2015 17:33:08 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya tembo
From: dekleinson@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Mrema,

Upo sahihi, Atakaepinga hilo kuna mambo 3 nyuma, hajakuelewa, mwongo( ni mbishi pia as always) au kipofu (wa fikra)

HK,

Tunaongelea hali ilivyo sasa! Tunataka mabadiliko (:YES) mtu ana impact gani kwenye team ya mabadiliko inayoweza kuandaliwa sasa? That's the question!!! Usituambie wewe ni msafi tu. Don't tell me How good you are looking, show me!!!

Wazo la Mrema,
Tupange namna ya kubadili mfumo huu uliopo, kwa kufikiria afadhali ya uchaguzi huu ni nini kwanza, iwe njia rahisi kutufikisha tunapopataka. Mabadiliko tunayoyataka kiukweli hayawezi kupatikana kupitia Mojawapo ya timu hizi 2 kubwa. Lazima tukae tuone nani ana afadhali kati ya VIRUS(coz ni infection ndani ya mfumo) hawa. We have to aim higher than hii miaka 10 itakayochukuliwa na yeyote kati ya VULTURES hawa wawili. We have to think by thinking we are not supposed to be here!!!!! Think like you have the aim of changing something in the system. Like you didn't do something worth for your life and only few minutes are there to cover your death, I know you won't think by thinking what can you do! Rather you will do whatever is best to do it before death time.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment