Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Reuben au Mpombe

Dunia ya leo ukimwambia Mtanzania kuwa fulani kapewa bil. 5 au zaidi atahitaji kuona hiyo pesa imelipwaje. Sio rahisi mtu kuwa na cash ya kiasi hicho bali hapo lazima kuwe na bank transactions zinazoonyesha malipo hayo. Kama walivyotuthibitishia walivyochota Escrow na wao watuonyeshe hizo bank transaction za Mbowe na Mtey kupewa pesa hizo
Kama ushahidi huo haupo basi hizi ni propaganda za kuchafuana wakati wa Kampeni maana kama haujui uchungu wake kamuulize Dr. Salim Ahmed Salim

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 29 Sep 2015 09:56:20 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Hizi mambo kama ni kweli;
Kuna mambo mengi ya kujiuliza;
1. Hii fedha toka imeanza kugawiwa toka mwanzo huko thithiemu ni nyingi mno, huyu ndugu katoa wapi na alikuwa mtumishi wa umma kwa muda wote?
2. kwa nini anahitaji Upresdoo kwa gharama kubwa hivyo?
3. Kama Upresdoo ni utumishi wa umma na mzigo mkubwa wa matatizo ya watu kwa Presdoo mwenyewe,inakuwaje mtu anatafuta kubeba hayo matatizo/mzigo kwa gharama hivi?
4. Huyo ni Mbowe na Mtei wamelamba 5b,je kina Mollel, Nkya n.k wamekulapo ngapi?
Mana hiyo bado sio takwimu halisi (net figure),inaweza kufika 20b+.
Nasisitiza kwamba, hizi ni hisia zangu tu.
 
Reuben




On Tuesday, September 29, 2015 2:29 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment