Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Kama ulitoa siri ili ulipwe hufai tena hufai kabisa. Unadhani tutaendelea kwa siasa uchwala hivyo mpaka lini? Kwani Edo ana nini mpaka awe mtu hatari hatakiwi upinzani? Kwanini? Upuuzi wenu huo acha. Endelea na CCM yenu acha siasa za kinafiki. Hatuwezi kujifanya tuna akili kuliko wengine. Tafadhali toa tuhuma za kweli. Leo mmesahau fisadi zote za CCM mpaka mnajifanya kuwa na akili sana. CHADEMA will remain as CHADEMA hutaki dondoka  au anzisha CHAMA chako. Tumechoka na upuuzi wenu. Edo amekuwa Edo. Tuna mengi ya kujadili sio upuuzi wenu. Kwani ulitaka nani abebe bendera ya CHAMA? Kama hamna agenda nyamaza


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-


Kumpokea Edo CDM sio shida, ila ameingiaje kubeba bendera ya chama??

Kuna watu wangeingia na kupewa bendera nisingesononeka,
It was the only basket tuliweka matumaini yetu, the one and only!! CDM tu. But wametupoteza vibaya mno. Hii laana haitawaacha.

Wengi imetusononesha sana, kuna watu mpaka walijitoa kafara kuhatarisha kazi zao ili mradi wawape nyaraka za kuudhibitishia umma ujinga unaoendelea CCM na watu wake wakiamini suluhu ipo CDM bandugu!!!!

Hivi leo wale watu waliokuwa wanatoa siri na nyaraka ikatokea wakatajwa na kuuwawa au kufukuzwa kazi na utawala wenye maslahi yao itakuwaje???
Walifanya hayo yoote kwa faida ya nani kama sio akina sie??

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment