Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] WATU WASIOJUA TULIKOTOKA WANAJUA WANAKOTUPELEKA?

Jovias

Ni sawa mchezaji mbaya anabadilishwa na kocha ila sio pale mchezaji mbaya anapong'ang'ania kuwa kocha, unategemea hiyo timu iishie wapi? Kwenye hili nachelea kusema kuwa mchezaji mwenyewe ndio ameng'ang'ania kuibeba timu! nipe picha!

Omukunirwa Ireneus 

2015-09-29 15:13 GMT+03:00 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mchezaji akitoka timu moja kwenda nyingine yenye kocha mwenye program nzuri atacheza vizuri zaidi ya alipo.

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
Date:
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] WATU WASIOJUA TULIKOTOKA WANAJUA WANAKOTUPELEKA?

Ndugu zanguni,

Kwanza napinga kabisa kusema CCM imekuwa madarakani kwa miaka 54.. sio kweli. CCM imeendeleza kazi za awali za TANU na ASP zilizotuletea Uhuru.

Linapokuja suala la kuwa serikali iliyopo na awamu zilizotangulia hazijafanya vya kutosha kutuondolea umaskini na hali isiyoridhisha kimaendeleo kama taifa nakubaliana ila mzigo huu ni shared responsibility!

Hii inawahusu wale wote viongozi waandamizi wa serikali tangu uhuru hadi sasa wanajukumu la kubeba lawama kwa hali hii. Kwa kauli hii na mtazamo huu ninasema kuwa yeyote aliyekuwa katika utumishi kwa wadhifa wa Urais, Uwaziri Mkuu, Mawaziri na Manaibu wao, Makatibu wakuu wote wanahusika moja kwa moja na hali hii.  

Sasa kinachotokea ni kwamba mtu aliyelikoroga huko nyuma akiwa sehemu ya utawala tena mwandamizi, eti kwa vile kakimbia na kabadilisha chama/jezi/rangi/timu, anajiweka pembeni kama eti yeye sio sehemu ya tatizo, shame on you!

Hivi kesho JK au Mkapa akihamia upinzani ama Magufuli akihamia upinzani ndio mnamuondolea dhamana ya matatizo yaliyojitokeza akiwa kwenye mfumo huo? Nawashangaa hawa ex - premiers eti wanakaa pembeni wanavunga kushangaa eti CCM haijafanya chochote kwa miaka 50, are they part of this irresponsibility or not? Sijui tumelogwa, watu wanawasupport tu, hawana hata gut ya kuwauliza (ili baadaye wasionekane watukutu, wakakosa vyeo in case jamaa wakipita); n

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment