Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Binafsi huwa nashangaa hicho kijigazeti cha Rai nani hasa mmliki wake? Je wanawaandishi wa habari waliob, au ndiyo kukusanya habari za kijiweni na kuzifanya ziwe za kweli? Fatma umeuliza swali sahihi kabisa, pesa hizo lazima iwe transaction ya kibenki, nani ana data hizo na peszimeingia benki gani.
Ndiyo mtu anaweza asitumie ake akumia jina la mwingine, hebu basi habari hizo zianikwe!
 Wanaozua habari za uongo hawajui haribia hao wanaodhani wanawasaidia, siku nyingine hata habari ikiwa ya ukweli watu hawataiamini.


On Tuesday, 29 September 2015, 16:51, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:


FATMA,
Huwez kusubiria kitu kama hicho. Ni kitu ambacho huwez kukipata within this time. Means What, utakipata baadae na hakitakusaidia tena!!!
Ni wewe kuizungusha akili yako tu na mazingira.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment