Wednesday 30 September 2015

RE: [wanabidii] Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC

Bandundugu,

Sijapata mchango wa haja kuhusu hoja yangu hapo chini.  Au haina mshiko? kwa interest zenu?

Wanabidii,

Ninashangaa sana sana kwa watu wazima wakiwa na akili zao timamu kushangilia kupata msaada.  Wanatusaidia kwa sababu gani? Wana mapenzi na nchi yetu kwa sababu ipi? Ni wajomba zetu, wazazi wetu na wana uchungu na sisi?  Naomba muelewe kuwa "there is no free lunch".  Mgejua gharama ya "msaada" huo mngetokwa na machozi na mungeacha kuomba omba.  Kwa taarifa yenu nchi hii sio ya kuomba kwa mtu yeyote kwani tuna kila kitu.  Kinachotakiwa ni kuwa na uhuru kamili juu ya rasimali zetu kuzitumia kwa ufanisi, kuziongezea thamani, na kushiriki kupanga bei ya kuuza bidhaa zinazotokana na rasimali zetu bila ya kupangiwa bei kwa maufaa yetu na sio huu uhuru wa bendera tulio nao.  Uwezo huo tunao na ni sisi binafsi kuacha kuwa mamluki na kuweka Tanzania mbele badala ya kuweka ubinafsi wetu mbele.

Kwa hiyo tunatakiwa tulie sana na sio kufurahia kupata "msaada" kwani gharama yake ni kubwa mno na badala ya wao kuwa watoa msaada sisi ndio tunaowapa msaada kwani wao wanatuhitaji sisi kuliko tunavyowahitaji.  Tafakari ni nani mwenye rasimali nyingi zaidi hapa duniani kwa wakati huu ambazo bado hazijatumiwa? Kwa nini kila taifa kubwa wako kiguu na njia kuja Tanzania, Congo DRC na Afrika ya Kusini na nchi nyingine za kiafrika?

Watanzania tunatakiwa tuamke kutoka usingizini na ndio maana tunahitaji mabadiliko sio tu kwa CCM ila na kwa upinzani vile vile na mabadiliko endelevu yatatokana na ushirikiano wa kweli kutoka kwa CCM na upinzani kuufumua huu mfumo wa kinyonyaji ya uporaji.  Kumbuka adui yetu mkubwa ni mfumo tuliorithi kutoka kwa wakoloni wa uporaji na unyonyaji  wa rasimali zetu.

Tafakari chukua hatua

From: hmrema11@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC
Date: Mon, 28 Sep 2015 18:02:08 +0000

Herment A. Mrema

Date: Mon, 28 Sep 2015 19:48:24 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC
From: fadhil.fadhil96@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Pia ungeushauri na chadema pia badala ya kwenda ujerumanikuomba ppesa za kujiendesha wangekuwa na nidhamu nzuri ya matumiziya ruzuku .
Tungewaona wamaana sana kuliko mnapinga kuomba halafu mwafanya lile lile au ndio hadithi ya nyani haoni haoni kundule?
On Sep 28, 2015 7:44 PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Mike
Mngekuwa mnayajua hayo msingekuwa mnashabikia kuhusu kunyimwa misaada yaMCC  tulitakiwa kushukuru kwani kunyima misaada ungetufanya tujijenge lakini nyie mliipokea kama agenda ya kuongea majukwaani ajabu leo mnageuka na kuwa ndimi mbili kama nyoka

On Sep 28, 2015 7:39 PM, "'Mike Zunzu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kuna watu mabwege kweli kweli, yaani mtu unashabikia kupewa msaada, kama ni kuendelea kwa hiyo misaada tusingelikuwa hapa tulipo, ukumbuke, siku hizi watoa misaada wameshashituka wanatoa kwa kubana,oni walikuwa wakitoa pesa wakiwa na na matumaini zitaleta matumaini kwenye maendeleo ya watu.

Ninyi mnaoshinda maktaba mkisoma michango ya nzenu, someni pia historia za nchi kama Malysia, Singapore, Korea ya kusini China, India na zingiune nyingi ambazo leo hii ni gumzo dunia jinsi jamii hizo zinavyopiga hatua.

Kwa ujumla misaada haitatukwamua kiuchumi, bali brain ya watu wetuu sisi wenyewe na kutumia mali asili iliyopo kutukwamia. Kama mtu ukosheka moyo kwa kupata misaada huna tofauti na huyo aliyesema bila kufuata misaada nje watanzania wangelikufa njaa. Njaa! Kwa nini hilo litokee miaka hii kumi halikutoka miaka 40 iliyopita?

On Monday, 28 September 2015, 17:14, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Lodivic
Hawa jama huwa wanaugonjwa wa kusahau kama mgombea wao
On Sep 28, 2015 7:10 PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:
Lakini ni juzi tu mlikuwa mnasema tumenyimwa haya mahela.
On Sep 28, 2015 5:30 PM, "'herirashid' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwan kutimiza masharti ni lazima uende Marekani?
Na nchi nyingine anazoenda nn mafanikio yake?

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date: 28/09/2015 16:56 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC

Fadhil,
Acha uongo. MCC imekuwepo tangu enzi za Mkapa. Sijaona nchi kama Botswana rais wake akisafirisafiri lakini nao wamo.
Tafuteni sababu nyingine za safari za mheshimiwa wenu.
em

2015-09-28 9:39 GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Hii ni moja tu ya faida za safari za rais Kikwete nchi za nje
On Sep 28, 2015 2:16 PM, "'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Stop press: Tanzania yapeta tena katika mpango wa kupata mabilioni ya MCC

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Sasa ni Rasmi: Tanzania kupata mabilioni mengine ya MCC

·-Yafaulu mtihani wa kupata bilioni 992.8 za kuboresha sekta ya umeme

·-Yafanikiwa baada ya kutimiza masharti yote likiwemo la kupambana na rushwa

·-Zitaanza kutolewa mwakani baada ya kupigiwa kura na Bodi ya MCC

Tanzania imetimiza masharti yote ya kupatiwa raundi ya pili ya fedha za maendeleo kutoka Shirika la Maendeleo ya Milenia la Millennium Challenge Corporation (MCC) la Marekani na itaanza kupata na kunufaika na mabilioni hayo ya fedha baada ya wajumbe wa Bodi ya MCC kupiga kura ya kuidhinisha kutolewa kwa fedha hizo chini ya Mpango wa MCC-2.

Habari hizo njema zimetangazwa Jumamosi, Septemba 26, 2015, kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, na Mtendaji Mkuu wa MCC, Bi. Dana J. Hyde katika mkutano uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriot Essex House, New York, na kuhudhuriwa na watumishi waandamizi wa MCC akiwamo Bwana Kamran Khan, Makamu wa Rais wa Operesheni za MCC. Rais Kikwete yuko New York kuhudhuria shughuli za mwaka huu za Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

"Hongera Mheshimiwa Rais kwa sababu nchi yako, Tanzania imetimiza masharti yote ya kupata fedha nyingine chini ya mpango wa MCC - 2, ikiwa ni pamoja na uongozi wa MCC kuridhika kuwa Tanzania inachukua hatua za dhati kupambana na rushwa," Bi. Hyde amemwambia Rais Kikwete na viongozi wengine wa Tanzania akiwamo Waziri wa Nchi za Fedha wa Zanzibar, Mheshimiwa Yusuf Omar Mzee.

Bi. Hyde amemwambia Rais Kikwete kuwa Bodi ya MCC, katika mkutano wake wa Septemba 17, mwaka huu na chini ya Mwenyekiti wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bwana John Kerry, imeafiki kuhusu kipengele pekee kilichokuwa kimebakia katika masharti ya kupata fedha za MMC kuwa ni kweli Tanzania inakabiliana ipasavyo na rushwa na kuchukua hatua stahiki kukabiliana na janga hilo la rushwa.

MCC imetoa taarifa ya kuthibitisha kuwa Tanzania imetimiza masharti ya kuiwezesha kufaulu kupata raundi ya pili ya fedha za maendeleo na pia imetoa taarifa ya kuthibitisha kuwa ni kweli Bodi ya MCC imeridhishwa na hatua zinazochukuliwa kukabiliana na rushwa.

Tofauti na fedha nyingi zinazotolewa na wafadhili wengi duniani, fedha za MCC hazitakiwi kurudishwa na nchi inayopewa fedha hizo na pia nchi husika hupewa uhuru wa kuchagua aina ya miradi ya maendeleo ambayo inaitaka igharimiwe na fedha hizo.

Miongoni mwa wajumbe wengine wa Bodi ya MCC ni pamoja na Waziri wa Fedha wa Marekani ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Mwakilishi wa Biashara wa Marekani duniani, Mwendeshaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), nafasi ambayo kwa sasa anaikaimu Bwana Alfonsi Lenhardt, Mtendaji Mkuu wa MCC Bi. Hyde na Rais wa Taasisi ya International Republican Institute (IRI) Balozi Mark Green.

Mabalozi Lenhardt na Green walikuwa mabalozi wa Marekani katika Tanzania wakati wa majadiliano, upitishaji na utekelezaji wa MCC-1.

Bi Hyde amesema sasa linalobakia ni kwa wajumbe wa Bodi kupelekewa muhtasari wa kuidhinisha mabilioni hayo kwa Tanzania ambayo chini ya mpango wa uwekezaji wa MCC-2 yatakwenda katika kuboresha huduma za umeme katika Tanzania ikiwa ni pamoja na kusambaza umeme katika vijiji vingi zaidi nchini. Kiasi cha asilimia 46 ya Watanzania kwa sasa wanapata umeme kutoka asilimia 10 ya mwaka 2005 na sehemu kubwa ya asilimia hiyo imetokana na msaada wa MCC-1.

Chini ya Mpango huo wa pili wa MCC, Tanzania itapatiwa kiasi cha dola za Marekani milioni 472.8 (sawa na sh. bilioni 992.80). Kwa kutilia maanani kiasi cha dola milioni 698 (sawa na sh. trilioni 1.46) ambazo zilitolewa chini ya MCC-1 basi Tanzania itakuwa imepata jumla ya dola za Marekani trilioni 2.45 za maendeleo kutoka Marekani katika kipindi cha miaka 10 tu iliyopita. Fedha za MCC-2 zitaanza kutolewa mwakani, 2016.

Kiasi kilichotolewa kwa Tanzania wakati wa MCC-1 ndicho kilikuwa kiasi kikubwa zaidi ambacho kimepata kutolewa na Marekani chini ya Mpango huo wa Millennium Challenge Corporation na kwa kupita MCC-2 Tanzania itakuwa ni nchi ambayo itakuwa imepata kiasi kubwa cha fedha za maendeleo chini ya MCC duniani.

Fedha zilizotolewa chini ya MCC -1 zilitumika kujenga Barabara za Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro na Namtumbo-Songea-Mbinga.

Aidha, fedha hizo zilitumika kujenga upya mfumo wa huduma za maji kwa ajili ya miji ya Dar es Salaam na Morogoro na zilitumika kusambaza umeme katika vijiji vya mikoa 10 ya Tanzania Bara.

Fedha hizo vile vile zilitumika kutandaza njia ya pili ya kusafirisha umeme chini ya Bahari ya Hindi kati ya Bara na Tanzania Visiwani na pia zilitumika kujenga barabara zote kuu za Kisiwa cha Pemba na baadhi ya barabara za Unguja kwa kiwango cha lami.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

27 Septemba, 2015
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment