Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Reuben

Kama ni wakweli na wanataka kuweka mambo yote hadharani sioni sababu ya kuficha vingine hadi waulizwe. Tungefurahi sana kama kila kitu kikawekwa wazi ili kwa vile tunayo maamuzi sasa hivi. Ni wachache sana watakaotaka kwenda mbele kuulizia huo ushahidi lakini kama utawekwa wazi sasa wengi tutaelimika na kuchukua maamuzi sahihi. Binafsi hizi propaganda za kuuza vyama hazinishughulishi hadi nitakapoona hao viongozi walivyolipwa

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 29 Sep 2015 13:07:36 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Magobe & Fatma;
Kama ni magirini tujajua tu as time goes.
Binafsi sijaamini hizi taarifa KWA 100% pamoja na kwamba zipo PUBLIC kiasi hicho,ndio maana nikasema kama ni taarifa za kweli kuna mambo mengi ya kujiuliza.
Hizi sio taarifa za mitandaoni au vijiweni vya urojo, ni taarifa za Gazeti ambalo linasomwa na kila mtu, inamaana walioziweka hadharani wanaweza kuzithibitisha wakihitajika kufanya hivyo.
 
Reuben

On Tuesday, September 29, 2015 4:00 PM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Watz ni wapenda umbeya sana! Nimeamua kuamini kitu kinachojitosheleza/kilichothibitishwa (wazi) tu! Haya mambo mengine ya "mwizi...mwizi...mwizi huyo..." halafu tunapiga mawe na kuua (on the basis of mwizi... mwizi... mwizi...) sitaki tena!

2015-09-29 15:36 GMT+03:00 fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Reuben au Mpombe

Dunia ya leo ukimwambia Mtanzania kuwa fulani kapewa bil. 5 au zaidi atahitaji kuona hiyo pesa imelipwaje. Sio rahisi mtu kuwa na cash ya kiasi hicho bali hapo lazima kuwe na bank transactions zinazoonyesha malipo hayo. Kama walivyotuthibitishia walivyochota Escrow na wao watuonyeshe hizo bank transaction za Mbowe na Mtey kupewa pesa hizo
Kama ushahidi huo haupo basi hizi ni propaganda za kuchafuana wakati wa Kampeni maana kama haujui uchungu wake kamuulize Dr. Salim Ahmed Salim

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tue, 29 Sep 2015 09:56:20 +0000 (UTC)
Subject: Re: [wanabidii] Tuhuma za kuuzwa Chadema. Mbowe Mtei walamba 5bn/-

Hizi mambo kama ni kweli;
Kuna mambo mengi ya kujiuliza;
1. Hii fedha toka imeanza kugawiwa toka mwanzo huko thithiemu ni nyingi mno, huyu ndugu katoa wapi na alikuwa mtumishi wa umma kwa muda wote?
2. kwa nini anahitaji Upresdoo kwa gharama kubwa hivyo?
3. Kama Upresdoo ni utumishi wa umma na mzigo mkubwa wa matatizo ya watu kwa Presdoo mwenyewe,inakuwaje mtu anatafuta kubeba hayo matatizo/mzigo kwa gharama hivi?
4. Huyo ni Mbowe na Mtei wamelamba 5b,je kina Mollel, Nkya n.k wamekulapo ngapi?
Mana hiyo bado sio takwimu halisi (net figure),inaweza kufika 20b+.
Nasisitiza kwamba, hizi ni hisia zangu tu.
 
Reuben

On Tuesday, September 29, 2015 2:29 AM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment