Tuesday 29 September 2015

Re: [wanabidii] YAHUSU : DR KIGWANGALA SAIDIA KUWAAMBIA CHAMA CHAKO

Salha,

Unaposema CCM haijafanya kitu katika miaka 53, kama hivyo ndivyo unamaanisha na miaka 23 ya TANU chini ya Mwalimu Nyerere (tokea July 1954 ilipoanzishwa) ama siyo? Unamaanisha baba wa Taifa did nothing siyo? Ama unazungumzia miaka 38 toka ianzishwe mwaka 1977? Unamaanisha Mwalimu did nothing as president toka mwaka 1977 mpaka November 1985 alipong'atuka? Na unamaanisha na ile miaka mitano aliyoendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM, mpaka mwaka 1990, alipoamua kuondoka jumla na kwenye uongozi wa  CCM? Ama 'kitu hakikufanyika' toka 1990 (ambapo itakuwa ni hii 25) wakati mwalimu akiwa ameondoka kwenye uongozi wa Chama na Serikali? 

Kwa maana hiyo unaunganisha na miaka 8 ya mwalimu Nyerere aliyoongoza kama Rais na Mwenyekiti wa CCM (yaani 1977 mpaka 1985)? Mwalimu hakufanya kitu? Hivi kuna chama ambacho hakijinasibu kwa heshima na umahiri wa Serikali ya Mwalimu Nyerere? Ni chama gani kisichonukuu kauli zake, ama kujisifia kuwa Tanzania ya Mwalimu Nyerere ilikuwa nzuri, ya viwanda, ya mapinduzi? 

Ama unamaanisha na ile miaka 10 ya Uwaziri Mkuu wa Sumaye, ama na ile miaka 3 ya Uwaziri Mkuu wa Lowassa? Ama unamaanisha nini? Maana Lowassa anajigamba kuwa alisimamia kwa nguvu na kwa mafanikio makubwa sana ujenzi wa shule za Sekondari akiwa Waziri Mkuu? Maana pia Lowassa anajigamba siku zote kuwa alisimamia kuleta maji ya Ziwa Nyanza mpaka Kahama, siyo? Alifanya haya akiwa chini ya Serikali ya Chama gani? CHADEMA ama CUF?

Unaposema miaka 53 CCM haijafanya kitu, unamaanisha nini labda bro? Hebu weka wazi nikuelewe basi.

Wakatabahu,
HK.

2015-09-29 20:54 GMT+03:00 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>:
Atupe namba ya simu ya diwani tuzungumze naye...

2015-09-29 13:12 GMT+03:00 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>:

Bakari pole sana diwani wako nani?

On Sep 29, 2015 9:01 AM, "'salhabakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Salama Dr!!
Katika Mkutano uliokuwepo, kama kati ya wana jopo pale Tabora, mlitangaza kuwa kuna watu ni wagonjwa.Je, au sikuona na kusikia vema?, Ila kwa zahanati.  Hapo umenichekesha! Mfano mmoja tu. Njoo kata ya Lupeta, wilaya ya Mpwapwa, wanawake wajawazito wanapimiwa ndani ya ofisi ya mtendaji, , watoto wakipata huduma chini ya mti. Tunaning'iniza watoto juu ya mti kama maembe ili kuwapima.Huu ni udhalilishaji wa kijinsi na kijinsia. Hata ITV hivi karibuni walikuja kutuona  hapo. Ni miaka 53 hiyo!

Kama Sisi watanzania, na lugha yetu ni kiswahili, kwa nini mnapenda kusalimia kwa lugha ambazo hammalizi makabila yote takribani 120 ya watu wanaokuwepo kwenye mikutano yenu? Huo si ubaguzi? Na kuna lugha mnasalimia mkikosea, inaelekea kutukana kabisaa. Ni shidaaaaaaaaa.

SB

On Sep 16, 2015 3:11 PM, "Dr. Hamisi A. Kigwangalla" <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
Salha salaams,

Nakushukuru kwa ujumbe uliouelekeza kwangu.

1. Ujumbe wako haueleweki vizuri, ntajaribu kujibu kidogo tu kwa yale niliyookoteza kwenye mail yako.

2. Ni Dr gani katoa siri ya mgonjwa gani? Hiyo katika code of conducts zetu ni jambo lisilobadilika. Kamwe hatutoi siri za wagonjwa wetu, hata kama ni mafua, na hata kwa mumewe/mkewe....ama mama yake, hatutoi bila idhini yake. 

3. Wapi tumeongea ukabila? Kama ni CCM hii ambayo mimi ni mwanachama, kwa hakika haina ukabila, udini, urangi wala ujinsia. Ni chama cha wote, na cha kipekee kwa sasa nchini, ambacho kimekuwa kinaendesha vita ya kudumu, kwa vitendo kabisa, dhidi ya ubaguzi wa kidini, kikabila, kikanda, kiuchumi, kijinsia na hata kidemografia. Kama haujavaa miwani ya mbao hili utaliona vizuri kabisa bila shida.

4. Haujasikia sera zetu kuhusu zahanati kila kijiji, shule maalum kila mkoa, flyover Dar es salaam, hamsini elfu kila kijiji? 

Wakatabahu,
HK.

2015-09-14 16:36 GMT+03:00 'Salha Bakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nakuona hapo kwenye mkutano wa kampeni za CCM - Tabora.
Wewe ni Daktari.

1.Mmeanza lini Ma Dr, kutoa siri za wagonjwa, tuweke wazi, kisha sisi wagonjwa hasa wa UKIMWI, tuajua ninikifanyike, kwa kuwa hata sheria iliyopo, imepitishwa huko huko Bungeni.
2.Ingefaa sana, muache mambo ya ukabila, kwa sababu kuna watanzania hatuna makabila, kutokana na udugu uliokithiri, hasa wa kuoleana
2.Mbona hamsemi sera , mnaelezea watu tuuuuu

SB

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

For more options, visit http

0 comments:

Post a Comment