Thursday, 3 September 2015

Re: [wanabidii] DR SLAA KAJICHAFUA

Dada Nkya naomba uniwekee ilani ya UKAWA hapa nami nijisomee na kuidadavua. Nimeisaka kila kona siioni. Nitashukuru sana. 

Kwa taarifa yako ACT-Wazalendo imeweka ajenda ya KATIBA na tumesema tutaanzia alipoishia Warioba. Wenzetu UKAWA wameshaikimbia Rasimu ya Warioba kisa mzee huyu kapigia kampeni Magufuli na ukweli kwamba Lowassa haungi mkono dhana ya serikali ya tatu. 

Kitila

2015-09-03 19:12 GMT+03:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:

Muganda,

Hii team tuliiamini!!! jamani! tukajua malengo yetu ndio yao!! wakatuaminisha katika maongezi yao bungeni!!
Kumbuka ni hawa wakatetea mrejesho wa tume ya Mwakyembe!! tukausimamia!! tukauliza maswali yakawa hayana majibu!! tukasimama Mwembeyanga na kuwatangaza tukidai anaebisha aende mahakamani!! hawakwenda (labda walijua hawatoshinda, mie sijui) tukasukuma gurudumu weeeeee, serikali yao ikawanyamazia kimya!! anayepiga kelele akamwagiwa tindikali!! akateswa!!

Mwisho, hatujalelezwa lolote, na mpaka leo hatuwezi kuuliza lolote, tunashauriwa tuamini maneno yao bila reasoning wala facts, lakini ni sie tulioamini ya nyuma kwa reasoning na facts!!

Inakuwaje tumenye ndizi maganda halafu leo darasani tukatae ndizi hazina maganda??
There we are brothers!!!!!!!!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment