Monday, 8 December 2014

Re: [wanabidii] MAZIWA HALISI YA AZAM.....

Mbbona mi nakunywa na familia yangu hayatusumbui au kuna mchezo mchafu unafanyika maana jamaa anaogopeka akiingia ktk biashara fulani huteka soko kama alivyoingia kwenye maji miaka ya 2000 hivi majuzi alivyoingia ktk fotball na azam tv

On Dec 7, 2014 10:54 AM, "'Sylvanus Kessy' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Wahusika wafanye unchunguzi. HILO SHAMBA AU RANCH YA MIFUGO YAKE IKO WAPI? Mbona hata mayai tunayo ya  kutengeneza? Watu wanaweza lishwa UTOMVU fulani na kuambiwa ni maziwa halisi ya ng'ombe! Tusishangae magonjwa mengi kama vile Bp, kisukari, vidonda vya tumbo. Kukosa nguvu ZA KIUME, KUZAA nk.

Kunguru huyooooo anaondoka!

--------------------------------------------
On Sat, 12/6/14, Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MAZIWA HALISI YA AZAM.....
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Saturday, December 6, 2014, 11:53 PM

 Ndugu, kumbuka
 usemi wa wahenga wetu kuwa, 'siku zote kizuri cha jiuza
 chenyewe na kibaya cha jitembeza!'

 Ulishasikia
 maziwa ya Tanga Fresh kwa mfano yakitangazwa kwa fujo kama
 haya? Tusipende kuishi kwa matangazo.

 2014-12-04 12:46
 GMT+03:00 Fakhi Karume <fkarume@gmail.com>:
 MAZIWA
 HALISI YA AZAM.....Nilitumia
 maziwa haya wiki moja iliyopita wakati wa mchana maeneo ya
 Kariakoo... Nusu saa baadaye niliomba hifadhi Msikitini ili
 kupata access ya maliwato kwani nilikuwa naendesha kwa fujo
 sana huku tumbo likiunguruma kama katalina.Siku
 ya jana nilibahatika kuagizwa na mama chanja wangu nimletee
 box la maziwa, nilimtajia orodha ya maziwa akasisitiza
 nimletee maziwa ya mzalendo mwenzetu Azam. Yeye alipomaliza
 kunywa glasi ya kwanza alikimbia maliwato kutapika. Ananiambia alipomaliza
 kunywa alipatwa na kichefu chefu kisicho cha
 kawaida....Hapa napenda kufahamu kama
 kunakuwa na ukaguzi wa bidhaa zilizoko sokoni hasa baada ya
 mzalishaji ama msambazaji kupewa cheti cha Ubora (TBS) na
 kile cha TFDA....Inawezekana
 wahanga wapo wengi ila hawajajitokeza
 kusema...

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --
 -----------------------
 Fratern Kilasara,
 P. O. Box - (Home): 62810; or
 (Office): 65300
 Dar es Salaam - Tanzania.
 Mobile (Personal): +255
 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
 Emails: kilasara.fratern@gmail.com
 or kilasara.fratern@yahoo.com

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment