Monday 29 December 2014

Re: [wanabidii] NAFASI YA UTABIRI KATIKA SIASA ZA TANZANIA.

Dah yaani nchi hii inaongozwa na utabiri? Mbona kipindi kilichopita walidai akimpinga JK atakufa? Je inauhusiano wowote na vikundi vya mafia vya kuua watu na hivyo kutuandaa kisaikolojia kuwa mtu ambae ni tishio afe? Lamri hizi dah had uchaguzi tu??? Hatuzisikii halhali hewhewauatuambienujuu uchuchumijaajali zarbarabaranaemaendeleo sayansi.na ktkteknolojia my Huawei Mobile

fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Sita nae jeeee?
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 29 Dec 2014 20:53:23 +0300
To: Emmanuel Muganda<emuganda@gmail.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NAFASI YA UTABIRI KATIKA SIASA ZA TANZANIA.

Mbona Membe hajawekwa hapo kwenye list...kwani ana umri gani?

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Oksana,
Kuna kitu inaitwa nguvu ya Mungu. Na nguvu ya Mungu inatutaka tusijizalimishe kwa nguvu ya shetani. Kwa hiyo ushauri wako kwa Dr. Slaa ni batili.
em

2014-12-29 10:05 GMT-05:00 Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com>:

NAFASI YA UTABIRI KATIKA SIASA ZA TANZANIA.

Gazeti la mwananchi leo limetoa utabiri uliotabiriwa na mtoto wa Shekhe Yahya kuhusu mwaka 2015 na katika utabiri wake kazungumzia mambo ya kisiasa na si unajua mwakani tena ni uchaguzi mkuu??

Kaongea mengi ila mimi nimeshtushwa na nafasi ya mgombea uraisi kuwa mgombea mmoja mzee ataanguka jukwaani na atakufa akiwa anapelekwa hospitali. Kun baadhi ya wazee wetu wametangangaza nia ambao ni:

1. Lowassa
2. Slaa
3. Sumaye

Utabiri huu umenilazimisha nianze kutafuta taarifa muhimu za umri za wagombea hawa ili nijue nani anaumri mkubwa zaidi ya mwenzake ikiwezekana tumshauri asigombee ili hili balaa lisimkute matokeo niliyopata ya umri wao ni kama ifuatavyo:-

1.Lowassa ............amezaliwa 1953 kwa hiyo 2015 atakuwa na miaka 62

2.Slaa ...................alizaliwa 1948 kwa hiyo 2015 atakuwa na miaka 67

3.Sumaye .............alizaliwa 1950 kwa hiyo 2015 atakuwa na miaka 65

Kwa maana hiyo kutokana na utabiri huu namshauri Slaa asibishane na hawa wataalamu wa nyota aachane na hiyo plan wanaweza hata mloga ili haya yatimie tu.

Baada ya TWAWEZA sasa wanajimu nao wanamtaka kuachana na haya mambo ya uraisi rudi jimboni kachukue jimbo urudi bungeni kuleta changamoto.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment