Wednesday 31 December 2014

Re: [wanabidii] TUTAONDOA ADA YA SEKONDARI IFIKAPO 2016 - JK

Hawa maCCM wanachekesha sana. Katika uchaguzi wa 2010 tuliposema kuwa tutatoa elimu bure ni hawa hawa maCCM yaliyotubeza na kusema serikali haina pesa hizo.
Sasa all of a sudden wameona uchaguzi wa 201r5 unakaribia wameanza kupoka sera zetu. Watanzania hatuna kumbukumbu fupi.
em

2014-12-31 14:11 GMT-05:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:
Jambo jipya sana na la kihistoria katika Sera mpya ya Elimu ni dhamira ya Serikali ya kuondoa ada katika elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2016. Mpaka sasa hatuna ada kwenye shule za msingi, sasa wakati umefika kufanya hivyo pia kwa elimu ya sekondari. Kwa mujibu wa maelezo hayo ya Sera, nimekwishatoa maagizo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Wizara ya Fedha na Tume ya Mipango kuanza kutafakari namna jambo hilo litakavyotekelezwa - Rais Jakaya Kikwete katika Hotuba ya Kuaga Mwaka 2014 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment