Wednesday 31 December 2014

Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA

Hivi wakati unatoa taarifa huwa unakimbizwa?kwani kiswahili uandikacho
ni vigumu kuelewa,sijui labda kozi yako ilikuwa ya
kizungu?Hatukuchukii ila unaidhalilisha taaluma,hata sisi wakulima
mbona tunaeleweka?Japo nimepata shida kukuelewa ujumbe umefika.

On 12/31/14, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> BREAKING NEWS
> MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA
> Na Happiness Katabazi
> JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu wa Kesi ya dawa za
> kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni, Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya
> Ulinzi wa Askari Magereza ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkazi Kisutu Dar
> es Salaam, asitoroke chini ya Ulinzi baada ya kumtwanga risasi na kumuua
> papo hapo.
>
> Wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi baadhi ya wanausalama waliopangwa
> kulinda Usalama Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa Masharti ya
> kutotajwa Majina Yao kwa Madai wao siyo wasemaji wa majeshi Yao wakisema
> mtuhumiwa ambaye anashitakiwa kwa makosa ya kuingiza nchini dawa za kulevya
> aina ya Heroin Zenye uzito wa Gramu 1229 na zenye thamani ya Zaidi ya
> Sh.Milioni 61 iliyopo mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema alistahili
> kufanyiwa hicho alichofanyiwa.
>
> Walisema Asubuhi marehemu Huyo ambaye ni mahabusu aliletwa na mahabusu
> wenzake na Askari Magereza na Kisha kufikishwa Katika mahabusu ya Mahakama
> hiyo mtuhumiwa aliomba apelekwe chooni kujisadia lakini ghafla mtuhumiwa
> akaanza jaribio la kuparamia ukuta akimbie ndiyo Askari waliokuwa
> akimsikindikiza chooni wakafyatua risasi hewani ili kumtaka aache ili
> jaribio lake lakini Inadaiwa Koroma aliendelea na jaribio lake.
>
> " Ndipo itabidi mmoja wa Askari Magereza 'ameshone risasi' yaani amefyatulie
> risasi Koroma ambayo ilimpata na kumsababishia mauti papo hapo ....na baada
> ya Koroma kupekuliwa wanausalama Hao walipokuwa soski walikuta ndani ya
> soksi alilovaa kuna kikaratasi kilichochorwa ramani na namba za simu za watu
> wa kumpokea haoa Dar es Salaam" kilisema chanzo changu.
>
> Tayari mwili wa Koroma ambaye alikuwa akikabiliwa na Kesi yake P121/2013
> umeishaondolewa Katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu umepelekwa
> kuinadi wa Katika Hospitali ya Taifa ya Mhimbili.
>
> Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
> Disemba 31 Mwaka 2014.
>
>
> Sent from my iPad
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment