Monday 29 December 2014

Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA

Comrade Magwayega;
Mi nazani shida hapa hakuna moderators,hata majukwaa mengine yana wendawazimu pia lakini wahusika wapo macho kuangalia nini kinaingia Public.
Hapa milango,dirisha,vents zote ziko wazi kuingiza kila kitu. Japo ni uhuru wa mawazo lakini lazima kuwe na kiasi au uthibiti wa wapotoshaji.
 
Reuben

On Monday, December 29, 2014 10:34 AM, 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Noted.
 
From: 'elias mhegera' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 29, 2014 9:26 PM
Subject: Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA

nimekupata sana Jabir!
 
Elias Mhegera
Pan African Human Rights Defender
Director of Research and Investigations 
Tanzania Journalists for Human Rights Association (Journorights)
Journalist and Counselor
Tel: 255-0754-826272
        255-0715-076272
Email: mhegeraelias@yahoo.com 
             mhegera@gmail.com 
The only thing we have to fear is fear itself

From: 'jabir yunus' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 29, 2014 9:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA

 Mhegera hayo sawasawa.

SasaKatabazi angeanza yeye kwa kutambua kuwa anajua mengi na ana uwezo wa kiasi chake, bali wapo wanaojua zaidi na wenye uwezo mkubwa kumshinda hata kama hawasomi sheria. waweza kuwa wao ni walimu, wahandisi, madaktari.

Lazima afute utaratibu wa kudhani humu jukwaani kuna mashindano ya kutoa hoja. Mimi sidhani hivo. Humu kuna kubadilishana mawazo, na muhimu zaidi ni mtu kutoa hoja yake kwa uhuru, na kwa mantiki, wala siyo kulazimisha hoja ikubalike. Kwa kweli mtu anapokuja na maelezo kwa nia ya "kushindana" na kuonesha yeye anajua kila kitu, atakonda.

Wala Katabazi asidhani anasakamwa, isipokuwa anapaswa kutambua udhaifu wake katika kujenga hoja, kuwasilisha hoja na ktk kuandika kwa ufasaha. Hivi ni kwanini hafikirii ni MUHIMU kuhariri tena na tena kazi yake ndipo atume?

Yule anayetamba kuwa ni muandishi, anadhihirisha ujinga wake tu iwapo hawezi hata kuhariri kazi yake mwenyewe kabla ya kuipeleka kwa mtu wa pili. Kazi iliyofujwa, hata siku moja haiwezi kuvutia mtu kusoma.

Mwisho, napenda kumsihi mdogo wangu sana Katabazi, si vema kuzoea kutumia lugha ya kuudhi ikiandamana na matusi. Hawezi kupata sifa kwa kutumia matusi. Huko ni kushupaa ambako hakuna maana.

Jabir+

From: 'elias mhegera' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 29, 2014 8:49 PM
Subject: Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA

Kwa heshima niliyokuwa nayo kwa mdogo wangu Happiness Katabazi sikutaka kuchangia mada yake ya 'kasinge' lakini binafsi sidhani kama ni sahihi sana kumuita tabula rasa yaani 'empty minded' na kwa Kiswahili chepesi 'debe-shinda!' binafsi nimemfahamu binti huyu miaka mingi toka alipokuwa mwanafunzi wa sekondari tukiwa majirani Sinza Mugabe. Kisha akajiunga Habari Corporation kabla ya kwenda katika gazeti la Tanzania Daima akaandika mambo mengi mazuri nakumbuka niliusoma wasifu ulioandikwa na binti huyo baada ya kifo cha Prof Chachage niliupenda sana kwa sasa yeye ni muajiriwa katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB).  Siamini chuo kikuu chochote chenye vigezo kinaweza kuajiri 'tabula rasa'. Niweke wazi kwamba kuna exaggeration katika hukumu inayotolewa kwake. Kinyume chake mimi nadhani binti huyu amekuwa 'victim of circumstances' baada ya kusoma sheria na akili yake ikamtuma kwamba mtu ukijua sheria basi ndiyo umejua kila kitu! Toka Happiness asome sheria 'logical sequence' yake imekuwa 'very poor' na anahitaji msaada.  siamini  kama kweli Tanzania inaongozwa na sheria kwa kiwango kinachotakiwa, na hii ni kwa sababu tupo chini ya mfumo wa 'kutwaa' yaani 'authoritarianism' kiasi kwamba hata majaji wan-succumb  kwa immoral and unethical politicians
no wonder judiciary imekuwa contaminated na escrow scandal, achana na mtangulizi wake EPA, nadhani hiyo itifungue macho tuone tatizo lipo wapi badala ya kutumia risasi (submachne gun) kumuua sungura! Hapiness ni kiwakilishi cha fikra za baadhi ya Watanzania na wala si kwamba yeye ni a separate individual 'it is a chain of thinking!' lipo tatizo kubwa kwenye mfumo wa siasa za nchi kiasi kwamba nchi hii inapenda sana wanafiki 'hypocrites' kulikoni watu wanaosema ukweli. Tumsadie binti yetu kwa sababu tayari kaonesha ujasiri isipokuwa tunahitaji kuutumia katika dira chanya kulikoni huko anakoelekea sasa, naomba kuwasilisha...
 
Elias Mhegera
Pan African Human Rights Defender
Director of Research and Investigations 
Tanzania Journalists for Human Rights Association (Journorights)
Journalist and Counselor
Tel: 255-0754-826272
        255-0715-076272
Email: mhegeraelias@yahoo.com 
             mhegera@gmail.com 
The only thing we have to fear is fear itself

From: 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 29, 2014 4:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA

Of course Mr.Allan we have a duty to educate that young lady on how to address this network as we think it is high time for us to discuss serious matters like that of ESCROW a/c seriously and vehemently not like the so said Happiness Katabazi does. It is the time which we need critical thinkers who can come up with critical discussions through this network in order that we at least assist the Nation to move positively from where we are currently. If we stick to ideas of people like Happiness Katabazi we shall bury the Nation which in my considered opinion is at ICU. Let every critical thinker play his/her positive role to stop the rotten acts like that of escrow so that we can at least save something little left for our children and the future generation.
I believe that together we can bring positive changes for the benefit of our poorest people who can not afford even a single meal per day while very few people have accumulated a very huge amount of all possible resources for their own benefits and their so called blessed generation. I wish you all a happy new year 2015.
adios, it's I,
Leonard Elias Advocate, ESQ.

On Monday, December 22, 2014 11:25 AM, "'allanlawa@yahoo.co.uk' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hon. Magweyaga lets keep on knocking sense into her head one day she will realize.

From: 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] 'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA TIBAIJUKA
Sent: Mon, Dec 22, 2014 6:35:23 AM

Katabazi, Happiness ni tabularasa msimsikilize. She has no brain in her head. She is an empty headed, so for us who went to school perfectly we should not waste our time to discuss the business of a tabularasa woman.
Advocate Leonard Elias Magwayega-ESQUIRE.

On Friday, December 19, 2014 10:03 AM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

'KASINGE MNO 'PROFESA ANNA  TIBAIJUKA
Na Happiness Katabazi
KASINGE ni neno linalotumiwa watu wa Kabila la Wahaya wanaotokea Bukoba Mjini,Bukoba Vijijini na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera ambapo,Mwanamke wa Shoka ,msomi wa Kiwango Cha Juu wa ngazi ya Kimataifa amabye ni Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni Mhaya.

Neno  Kasinge hutumika kumwambia mtu aliyefanya jambo fulani ambalo wewe umeliona jambo Hilo ni Zuri hivyo umshukuru  kwa kumwambia Kasinge.

Leo namwambia Nshomile, Profesa Tibaijuka ambaye ni Mwasisi wa Baraza la Wanawake (BAWATA) ambalo lilitikisa nchini enzi zile za Utawala wa serikali awamu ya Tatu hadi kufikia Mwanasheria Mkuu wa serikali kulipinga mahakamani, kwa msimamo wake aliouonyesha jana katika Mkutano wake na waandishi wa habari na alisema;

' Yeye msomi mwenzake Profesa Sospeter Muhongo ni majembe ya Baraza la mawaziri na ajihudhuru ng'o Kwani Haoni Sababu ya kufanya hivyo.Minamuunga mkono Kwani Hana kosa alilolitenda na msimamo wangu ndiyo huo siku zote.

Tena ' Nshomile' Tibaijuka umenikosha Katika Moja ya sentensi yako ambayo umesema hata Mungu aliwapa nafasi ya kujieleza Adamu na Eva Katika Bustani ya Edeni walipotuhumiwa. 

Nasema umenikosha Kwani Katika makala yangu ya wiki iliyopita nilitaka  watuhumiwa wa Escrow Wapewe haki Yao ya Msingi ya kusikilzwa Kwani hata Mungu alimpatia Eva na Adamu haki hiyo ambayo sisi wasomi wa Sheria tunaiita ' Right to be heard'.

Makala yangu hiyo ilikuwa na kichwa Cha Habari kisemacho: KIKWETE USIWASIKILIZE ' BUSH LAWYER KATIKA ESCROW'.

Nshomile m Tibaijuka ,kwa maelezo yako ya Jana naimani hata wale mabongolala wa Sakata la Akaunti ya Escrow watakuwa wameanza kukueleza.Maana nchi hii kuna baadhi ya watu yaani ni mabongolala wanajadili mambo wasiyoyajua uhalisia wake na wanawahukumu watu bila hatia.

Nshomile Tibaijuka, achana na mabongolala yaani watu wasiyo na akili na wana ajenda zao chafu za siyo tu za Kukupaka matope  pia Profesa Muhongo na serikali pia isitawalike kwa Amani.

Songa Mbele ,na minaamini muda Si mrefu mabongolala ,wazandiki ,wazushi na Wapika majungu kuhusu Akaunti ya Escrow wataumbuliwa hadharani.Imefika zamu Yao kuvuliwa nguo hadharani. Kasinge mno Nshomilie Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, Omukama akubele.

Chanzo: Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
Disemba 19 Mwaka 2014.

Sent from my iPad

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment