Monday, 8 December 2014

Re: [wanabidii] CHENGE ACHANGIA MILIONI 174.06 HARAMBEE UJENZI WA MAABARA BARIADI

Lesian,
Hamna mtu wa kuwaambia warejeshe. Wewe subiri uone.
em

2014-12-08 9:17 GMT-05:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
atakomaje, hizo hela zoote wanatakiwa wazirejeshe shauri yake wanatakiwa warejeshe fedha zoote, kuna mmoja wa waliotajwa juzi nilipita mtaani kwake pale makongo nikaona kajenga bonge la ghorofa la maaana.....sasa sijui itakuaje watakapoambiwa warejeshe

From: Kilasara Fratern <kilasara.fratern@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 8, 2014 4:56 PM
Subject: Re: [wanabidii] CHENGE ACHANGIA MILIONI 174.06 HARAMBEE UJENZI WA MAABARA BARIADI

Angelichangia nusu ya mgao aliopata, tungelimuona ana uchungu na nchi hii au na watu wake, lakini bado...1.6b bado nyingi. Angelitoa hiyo 400m au 350, watu wote wangelimuona wa maana, kuwa alichukua kwa niaba yetu, lakini bado, ni kwa ajili yake. Yaani, chenu chako, chetu chako.... hapana, haiwezekani, bado, ataendelea kuwa tumbili tumbo asiyekuwa na uchungu na nchi na wala watu wake na si vinginevyo.

2014-12-08 16:14 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:

Kwa mantiki hii Tanzania itaendelea kutawaliwa na majizi tu.
em

2014-12-08 7:09 GMT-05:00 Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>:

Kweli. Ni kama yule jamaa mwingine mwenye nyingi naona naye kawekeza kwao. 

2014-12-08 14:30 GMT+03:00 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>:
Hii nzuri, ameanza kuwa mwizi/kibaka mzuri anayewekeza kwao

2014-12-08 9:36 GMT+03:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:
Ni kama ameanza kurudisha Shilingi Bilioni 1.6 fedha alizopewa kama mgao zilizochotwa katika kaunti ya Tegeta Esrow Mbunge wa Bariadi Magharibi Edrue Chenge jana ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa maabara katika halmashauri ya Mji wa Bariadi, ambapo alichangia kiasi cha shilingi Milioni 116 kati ya shilingi Milioni 174.06 zilizopatikana katika harambee hiyo.
  
Mbunge huyo ambaye alitajwa kupewa fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 katika kashfa ya uchotwaji wa fedha akaunti ya Tegeta Esrow, alichangia kiasi hicho huku akikwepa kuongelea kashfa hiyo inayomkabili.

Arambee hiyo ambayo ilikuwa imeandaliwa na Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ilikuwa na lengo la kukusanya fedha kiasi cha shilingi Milioni 400, fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa maabara wilayani hapa.

Hata hivyo mbunge huyo alisema kuwa katika mchango wake, Milioni 115 zitatumika kununua bati 500 ambazo alisema ameamua kuezeka maabara zote ambazo zimekamilika ujenzi wake na ambazo hazijakamilika kwa wilaya nzima.

Kuhusu kupokea fedha Bilioni 1.6, kutoka katika akaunti ya tegeta Esrow, mbunge huyo hakuweza kuzumgumzia kashfa hiyo na kubaki akitoa misemo kwa lugha ya kisukuma.

"…suala la Escrow tuachane nalo kuna sehemu husika katika majukwaa nitaliongelea na wananchi wangu…hapa tuzumgumzie elimu na arambee hiii…hilo tuliache uko Dodoma na siyo la hapa Bariadi" Alisema Chenge

Akiongea alisema "tuache hayo ya Dodoma mimi ndiye nyoka mwenye makengeza" neno aliloliongea kwa lugha ya kisukuma "Nene Nale nzoka ihenge" na kuongezeka kuwa yeye ni tumbili " Nene nale nhombele.

Baadhi ya washiriki katika arambee hiyo walieleza kuwa mbunge huyo alikuwa akimaanisha kuwa yeye anajua mengi sana kuliko wengine wanavyodhani na amepata bahati ambayo wengine hawawezi kuipata.

Wengine walieleza kuwa maneno ya mbunge huyo yalikuwa na maana kubwa, ambapo walibainisha kuwa alieleza kuwa kuna watu wengine wanajifanya wao wanafahamu kila kitu hapa nchini, wakiwa hawajui kuwa kuna watu waliwatangulia kujua.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

-----------------------
Fratern Kilasara
,

P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment