Monday, 1 September 2014

Re:[wanabidii] Re: Ukawa,TCD watoka kama walivyoingia kwa jk

Ivi miruko unaelewa kinachoonglewa hapa au una ushabiki zaidi? Uwaziri na bunge maalum la katiba lina uhusiano gani?

Rgrds
Magora

On Sep 1, 2014 10:37 AM, "Miruko" <rsmiruko@gmail.com> wrote:
Kwani rais anapowaondoa mawaziri aliowateua anapata wapi nguvu?

MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:

Re: Ukawa,TCD watoka kama walivyoingia kwa jk
Wakuu tumefanikiwa kujua kwa kifupi yaliyofikiwa katika kikao cha pamoja baina ya Rais kikwete na wajumbe wa tcd,imebainika kuwa wajumbe wa tcd kama walivyoingia hawajaweza kutoka na jipya la maana badala yake wametoka kama walivyoingia kwenye kikao hicho na imekubalika kuwa kikao hicho kifanyike tena tarehe nane mwezi huu ili kutoa fursa ya kila mjumbe kutafakari vyema
Lisu aumbuka:Lisu alimtaka Rais kusitisha bunge hilo kwa kwa madai kuwa limepoteza mwelekeo lakini jk alimwambia lisu kuwa akasome sheria waliyoipitisha kwenye bunge la jamhuri kama inampa rais mamlaka ya kuvunja bunge hilo la katiba.
Jk alienda mbali zaidi akamwambie lisu nanukuu,wewe lisu ndiye uliyependekeza kuwa Rais mamlaka yake yaishie kuteua wajumbe tu asiwe na mamlaka ya kuingilia bunge kwa namna yoyote ile na nyote kwa pamoja bunge zima la jamhuri mlikubaliana hivyo leo unataka kuniambia nifanye kazi ya kuvunja bunge natumia sheria gani wakati wewe ndiyo uliyependekeza niondolewe hiyo nguvu
kwa mantiki hiyo walikubaliana kuwa wakutane tena tarehe nane ili kila mmoja aangalie sheria gani inamruhusu Rais kuvunja bunge halafu wakikutana kila aje na hilo jibu.
Tungekuwa tuna akili ndogo kama uliyo nayo Taifa letu leo lingekuwa bado liko kwa Mwingereza physically ki utawala.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment