Monday, 1 September 2014

Re: [wanabidii] MAKAO MAKUU CHADEMA WAFURAHIA MBOWE KUPINGWA. WAOMBA AANGUSHWE NA MBARUKU . WASEMA NI DIKTETA

Ni kweli kupokezana uOngozi ni jambo jema,lkn Mbaruk?????labda kukiua chama...tazameni aina ya watanzania kisha fanyani projection ya viongoz wanaotakiwa...kuaminika ni jambo la msingi kabisa na udicteta smts ni muhimu kwa siasa kama za kibongo. .ngupula

MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com> wrote:

''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki chama kama chumba chake cha kujisaidia haja kubwa na ndogo, anakifanya anavyotaka, ona alivyojifedhehesha, amemtuma BENSON KIGAILA, akampa Milioni 16 kwenda kigoma kushawishi wazee, badala yake KIGAILA amerudi na wacheza ngoma wa mapigo saba wale. nimefurahi sana MBARUKU KUTANGAZA NIA. tutamsaidia chini chini auangushe huu mbuyu uliooza''.

On Monday, September 1, 2014 11:10:55 AM UTC+3, Emmanuel Muganda wrote:
Magessa,
Wala usipoteze muda wako kujibizana na bubu.
em


2014-09-01 3:16 GMT-04:00 Boniface Magessa <mage...@gmail.com>:

Kavune mawese huko..upate kujitegemea maana ukikaa mjini na huna kitu utauza kila kitu ulichonacho hadi utu..ona sasa ulishanunuliwa, umeuza mpk akili yako, fikra zako na haki yako umeuza. Umekuwa kama Esau kwa Yakobo...unahangaika maskini yarabi..

On 1 Sep 2014 09:56, "MABADILIKO CHADEMA" <mabadili...@gmail.com> wrote:
VIONGOZI NA WATUMISHI  mashuhuri kadhaa ndani ya ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHADEMA, wameonyesha kufurahishwa na kitendo cha Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora kupambana na MBOWE kwenye kugombea uenykiti wa Taifa wa CHADEMA.

wakizungumza na mtandao huu huku  wakiomba kutokutajwa majina yao humu wamesema kwa sasa watapata pa kupumulia ikiwa MBARUKU ATASHINDA.

''unajua Mbowe anatufanya sisi kama watoto wake, amekigeuza hiki chama kama chumba chake cha kujisaidia haja kubwa na ndogo, anakifanya anavyotaka, ona alivyojifedhehesha, amemtuma BENSON KIGAILA, akampa Milioni 16 kwenda kigoma kushawishi wazee, badala yake KIGAILA amerudi na wacheza ngoma wa mapigo saba wale. nimefurahi sana MBARUKU KUTANGAZA NIA. tutamsaidia chini chini auangushe huu mbuyu uliooza''. alisema

naye Afisa mwandamizi MAKAO MAKUU ya CHADEMA kwa sharti lile lile la kutokutajwa jina kwa sasa amesema '' unajua mbowe alitamani kulia aliposikia MBARUKU amechukua fomu, alipiga simu kila sehemu kutukana matusi mazito mazito, eti tumemruhusu vipi kurudisha fomu?, huyu mwenyekiti sasa anaanza kuchuja vibaya.........nakwambia asipojiangalia sawasawa, lazima aangushwe. watu mikoani wanamchukia mno, kwa kweli amekuwa DIKTETA zaidi ya IDDI AMINI. chama hakiwezi kuendeshwa kwa anavyotaka yeye''.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment