Thursday, 28 August 2014

[wanabidii] TUJENGE MAZINGIRA YA KUWA KARIBU NA WATOTO WETU

Wapendwa bado nipo kwenye malezi ya wanetu 
Mama unapojifungua mtoto hongera nyingi wazazi furaha inatawala ndàni na hasa akiwa wakiume kwa baadhi ya kabila.
wazazi mnajitahidi malezi bora ikiwemo elimu mnajitahidi kwa kila hali mtoto apate elimu bora.
katika suala la uchunga wazazi wengi tunamchunga mtoto wa kike asibebe mimba akaharibu ndoto zake akaiabisha family n.k
Sasa geukieni upande wa pili kwa watoto wetu wa kiume jamani limekuwa janga mzazi unashtukia mtoto anakurembulia ndani Mungu wangu wengine wanajificha wazazi msijue laana anayoifanya.
Niwaambie wazazi wenzangu watoto wengi wanaharibiwa wakiwa wadogo sema huja kudhihirika wakikua.
na wengi hushindwa kusema kutokana na sie kuwa wakali kwa watoto wetu.
hebu tujenge mazingira ya kuwa karibu na wanetu pia tuwaangalie afya zao mara kwa mara.
na nyie wanaume mnaofanya laana hii hivi wangekuwa wanenu je?
Jueni mnawaponza watoto wenu watakuja fanyiwa hata kwa lazima.
ZINAA DENI 
ALLAH atunusuru na watoto wetu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment