Saturday 30 August 2014

Re: [wanabidii] PICHA ZINATISHA - AJALI YA GARI MBALIZI MKOANI MBEYA

Tena hao watoto TZ ndio wanakuwa wakwanza kuwepo pale ajali ilipotokea, watu wanapopigana wanavuana nguo na pale ambapo akina mama wanacheza mtaani ngoma ya matusi ya nguoni- zamani tukifukuzwa na hata walipokuwa wakiaga maiti hatukuruhusiwa kuona. Siku hizi unaona mtu amesagwa wao wanaangalia; baba kafumaniwa anatolewa uchi wazazi hawajali; chumba kimoja ndio wanalala wazazi na watoto na waliohamia ufukweni ziwani kwenye uvuvi vihema viduchu baba na mama humo humo. Ni vema zisionyeshwe lakini wakati mwingine huyo aliyepata ajali hakuaga kwao au ndugu hawajui kama alisafiri kuelekea huko alikwenda michepuko au kikazi. akionekana nguo au sura watamfuatilia.
Ninaungana nawe kabisa ila tukiona tutajua jinsi ya kuepuka ajali hizo au kukemea madereva wasio waadilifu. Thanks
 
On Saturday, 30 August 2014, 8:08, Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com> wrote:

H.Kiwasila;
Sio kuogopa dada ni kuheshimu binadamu; wewe ungependa kuona picha za mwanao, mume wako, ndugu yako akiwa amekatika kichwa, mguu mmoja huku na kule kwenye mtandao zinasambazwa tuuuu!

Hili ni suala la kimaadili zaidi na heshima kwa binadamu wenzetu. Na kuzionyesha sio deterrence ya ajali!

Kuna aina na mbinu mbali mbali Za kuzuia ajali hii sio mojawapo. Wengi wengi hatuko hivo. 

Kama wewe unaona sawa watoto waonyeshwe picha za watu walosagika vichwa sawa;walokatika miguu, video zinaonyesha watu wanakata roho!  lakini uje wengi wetu hatupendi kuziona.

Hujajiuliza kwanini hatujaona maiti hata moja ya ndege ya Malaysia iliyonguliwa Ukraine? Unadhani watu hawana simu au camera Za kupiga picha Kama sisi?

Mchana Mwema;
LR
 
Sent from my iPhone

On Aug 30, 2014, at 7:16 AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Hivi mtu mzima utaogopa kuona picha za ajali? Hata watoto waonyeshwe ili wajue ubaya wa ajali na ukiukaji wa sheria za matumizi ya barabara. bado tunaona haya lakini kesho dreva aliyeshuhudia haya anaovertake mtelemkoni, kilimani na darajani. Hapo hapo mlipopita na kuona ajali-mtaanza kumfokea maspidi yake na atajibu kunya. Kuona sikubadilika kubadilika ni kutenda mazuri yanayokubalika. Elumu ya mfano inasaidia lakini sio ndio solution ya kutatua tatizo. Solution inakuja pale watendaji wanapozingatia maadili yatakiwayo. Hivyo-weka picha, tazama zikutishe au zisikutishe na kukufundisha kitu-mwisho tija itakuja kama utazingatia na kule kutisha kutakuwa ni kichokoo cha wewe na nduguzo kufanya ipasavyo. Mungu atufunue tuache kujisababishia ajali. Na hapo vibaka wamepora, washirikina kuchukua vipande vya nyama na damu na patakuwa ni eneo la matambi ko ya kupata utajiri, cheo-Kama Kawa.
 
On Friday, 29 August 2014, 23:45, 'Nickson ngajilo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

pole sana wafiwa mungu awape faraja

On Friday, August 29, 2014 2:59 PM, Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com> wrote:

I agree with you Emmanuel!

LRB 

Sent from my iPhone

On Aug 29, 2014, at 2:50 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:

Jamani,
Picha kama hizi hazifai kuwekwa hadharani.
em

On Fri, Aug 29, 2014 at 6:35 AM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
AJALI YA GARI MBALIZI MKOANI MBEYA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment