Sunday 31 August 2014

Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa

Mi nafikiri mnaobishana na Mollel mnapoteza muda wenu bure. Maana wanaCHADEMA wanamtaka Mbowe sasa kama yeye hamtaki haikumhusu.

Watu nafuu ni ghali sana kwa taifa letu.

Sent from Yahoo Mail on Android

From:"'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Fri, 29 Aug, 2014 at 19:12
Subject:Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa

no friend, we need new blood with new vision bhaas

On Friday, August 29, 2014 3:12 AM, mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:

Mollel Nafikiri kila chama kina katiba yake, binafsi sioni tatizo mtu kuendelea kuwa kiongozi katika ngazi fulani kama uwezo wa kiakili na nguvu vinamruhusu. Mbona hamjahoji swala la wabunge wa BMK kukataa maoni yetu ya ukomo wa vipindi vitatu vya ubunge?  Mwenyekiti wa CCM analazimika kukaa miaka 10 kwa sababu taratibu zao (CCM) zinamtaka rais ndo awe mwenyekiti na hivyo urais ukikoma na uenyekiti unakomea hapo hapo. Mtu kama huyo huwezi kumuita muungwana kwa kukaa kwenye kiti hicho miaka 10. Anakuwa amekaa si kwa sababu ya mapenzi yake bali taratibu za chama chake. Malalamiko juu ya viongozi kama hawa akina Mbowe yatakuwa wazi ndani ya  CCM pale CCM itakaposhindwa kupata rais.

2014-08-29 12:29 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
franco so bila mbowe na slaa no CDM ndio unataka kutuaminisha, shida wameshakaa ten years ina maana hakuna mwingine aneweza kuifanya chadema better than walipoifikisha the two guys? Chama cha cadema basi kiko sawa na CUF tu na NCCR mageuz, ubora wa ccm kuna utaratibu wa kubadilkishana uongozi hata kama mtu ni bora lakini kipind chake cha ten years kikiisha bhaaas, Kikwete mfano ni mzur tu angepewa another 5 years angefanya makubwa sana lakini utaratibu wao hauruhusu, why dont CDM have the same type of leaders wanaopenda kuserve kwa muda the wapishe wengineeeee? Demokrasia gani hii sasa? Ndio maaana vijana kama kina kabwe, waitara sasa na wengine wanaaandamwa simply bse ya kutaka kuvaa viatu vya hawa wazeeee, hakuna cha mti wenye matunda hapo franco, sku zote tunazungumzia wtu wawe na limit /ukomo wa uongozi au hata ajira si suala la kuzeeekea madarakani kama mzee mugabe banaaa, so binafsi nampongeza slaa na mbowe walipoifikisha chama, lakini sasa watulie wawaaachie wengine......ha,ha ha......huuu ujinga ujinga kila siku wa kutudanganya uishe, mbowe na slaa hawana mpya, wawapishe vijana , na kiukweli serikali za mitaa mtaona wataambilia zero sehem kibao simply bse of bad leadership ....na sio threat tena kwa ccm hawa jamaa maana mbinu zao ni zile zile

On Friday, August 29, 2014 12:07 AM, mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:

Ni mti wenye matunda mazuri unaopigwa mawe. Binafsi huwa najiuliza hivi inawekana vipi chama chochote cha upinzani ambacho hakikusanyi kodi na wala hakijajimilikisha mali nyingi kama SISIEMU ilivyojimilikisha maeneo kibao vikiwemo viwanja vya mipira na maeneo ya wazi kijiendeshe kama hakina uongozi dhabiti? Inawezekana Mbowe si kiongozi maarufu lakini uwezo wa kuongoza anao, kama asingekuwa na uwezo huo basi wala SISIEMU isingekuwa inatapatapa na kuhangaika na hawa viongozi wa Chadema kiasi hicho.

Chadema ni chama imara chini ya uongozi wa mwenyekiti Mbowe na katibu Dr. Slaa na uimara wao (mti wenye matunda) ndiyo unaowafanya kupigwa mawe kila kukicha. Sisiemu angahikeni sana kuiua chadema lakini mjue misingi yao (chadema) iko ndani ya maisha halisi ya watanzania. Bila kubadili maisha yetu kwa kutumia rasilimali tulizonazo kwa usawa na kuacha wizi wa mali zetu basi muelewe munafukia moto kwa majivu.

Hata hao akina Mbowe na Slaa wakiacha siasa bado mutajikuta mko kwenye matatizo yale yale na pengine hasira za walalahoi zinaweza kuwa na madhara makubwa kuliko munavyofikiri kwa sasa. Watanzania wa leo wanaona, wanasikia na wanaelewa  kuliko wakati wowote. Kuhangaika na akina Mbowe badala ya kushugulikia uboreshaji wa maisha ya wananchi ni sawa na kumpigia mbuzi jitaa acheze. Pole sana sisiemu kwa kutumia fedha na nguvu nyingi kwa mambo ambayo hayatafanikiwa.

2014-08-29 9:17 GMT+03:00 'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Jamani naona watu wanaongea siasa za kuibeza au kupropagete nia ovu dhidi ya CDM. Nyerere mnamtumia vibaya sana kana kwamba yeye ndiye standard zaidi yake hakuna hiyo si sahihi japo mzee wetu huyo ameacha historia yake njema. Mbona Yona hasemi Nyerere alikaa Ikulu miaka 24 ndipo alipo achia ngazi?? au unataka kuniambia Tanganyika haikua na msomi hata mmoja zaidi ya Julius??

Pia CDM mbona wamekua wakipokezana uongozi mbona historia inaonesha? lakini pia haikua na wanachama wengi kama ilivyo sasa wenye mawazo tofauti. Sasa wanachama wanasema huyu tunataka aongoze tena NYIE AKINA YONA mnasema udikteta nk sijui mnataka matakwa ya wanachama walio wengi yafuatwe au maoni yenu NYIE msio wana CDM??

Mi naona hoja zenu hazina mashiko, na hakuna jipya ktk hoja hizo. mbaya zaidi mnawabeza viongozi wenye historia nzuri katika uongozi wako walau chama chao kimekua kinafahamika hadi vijijini watu wanafahamu ukisema CDM ni nini.

Naamini kuna hoja zitokazo lumumba zinaletwa humu ila ndo hazijaja kwa ramani nzuri.
Mimi nafikiri akina Yona, Mollel na sisi wote kama kweli tunaipenda nchi yetu tuwe wazalendo wa kweli si VIBARAKA. CDM kama ilivyo CCM na vyama vingine vyote si malaika wanaweza wakaanza vema wakamaliza vibaya kama CCM wafanyavyo vibaya sana. Sisi vijana tuwe wazalendo tukiitanguliza nchi yetu kwanza. Tukiunga mkono mabadiliko ya mifumo kimkakati sio ilimradi tu.

Hakuna maana ya mtu kuwa msomi halafu unayofanya au kusema haudhihirishi elimu yako hiyo ni aibu

On Friday, August 29, 2014 8:20 AM, Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Wakati wa nyerere hakukuwa na vyama vingi na ilikuwa hivyo kwa sababu maalum , lakini alingatuka mwenyewe kisha akamwachia mwinyi , vyama vingi vikaanzishwa , tutambue huu ni wakati mpya na mambo mapya .

On Friday, August 29, 2014 2:19:02 AM UTC+3, De Kleinson Kim wrote:
Kaka Bariki.
umeweka mambo. what i think kwa sasa haijalishi mtu apatikanaje au afanyaje. kinachotakiwa ni muadilifu na mzalendo tu! anatakiwa mtu wa kutuletea maendeleo. mengineyo ni agenda za kujadiliwa vikao vijavyo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment