Juzi tuliwaona wanaojiita Wanawake wa Chadema wakimpeleka fomu Halima Mdee wa kutoka mkoa wa KILIMANJARO wakimwomba agombee uenyekiti wa Taifa wa BAWACHA hadi akaamua kulia machozi.
Jana tukawaona wanaojiita wazee wa Chadema wakimpelekea fomuvya kugombea uenyekiti Freeman Mbowe wa kutoka kulekule mkoani KILIMANJARO.
Huu ni usanii na ubaguzi wa hali ya juu!!
Hapa najiuliza inawezekana vp watu kutoka Kilimanjaro tu ndio wanaobembelezwa kugombea nafasi za juu ndani ya chadema?
Wenye haki ya kugombea nafasi za juu za kiuongozi ndani ya Chadema ni lazima watoke mkoa wa kilimanjaro au kanda ya kaskazini? Watu wa kutoka kanda nyinginezo hawafai kuiongoza chadema nafasi za juu?
Tukisema chadema kinawabagua na kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kikabila na kikanda tutakuwa tumekosea?
On Friday, August 29, 2014 4:47:46 PM UTC+3, jabir yunus wrote:Watu - Wanachama - wanamtaka, ni kwanini iwe shida kuachiwa wakamchagua kiongozi wao? Kwani wengine hasa wasiokuwa wanachama wa CDM wanaumia nini kuona Umma wa chama hicho unamlilia lazima agombee? Jamani mambo ya ngoswe, si aachiwe ngoswe mwenyewe?
Wengine wachafuzi tu humu wa siasa za upinzani.
Bwana, CCM wanavyofanya, kama wakishajua wamechagua mtu asiyetakiwa wanasema "hata kama jiwe lipigie tu kura maana ndio mgombea wa chama chako. Kwa CDM, hali haiko hivyo. Wanapimna upepo na sasa tunaona Wanachama wenyewe wanahangaika kuhakikisha Mhe Mbowe anaendelea kuwaongoza. Hapa tunaona hakuwekwa na viongozi, bali ni wanachama ndio wanamtaka, sasa iweje tatizo? Waachiwe wanachama wa Chadema, waamue hatima ya chama chao.
JABIR+
--------------------------------------------On Fri, 8/29/14, 'Eber Manya' via Wanabidii <wana...@googlegroups.com> wrote:To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasaDate: Friday, August 29, 2014, 4:36 PMWanabidii <wana...@googlegroups.com>;
Huna
jipya..
Sent
from Yahoo Mail on Androidy
From:
'lesian mollel' via
To:
wana...@googlegroups.com
<wana...@googlegroups.com>;Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>:
Subject:
Re: [wanabidii] Kwa
CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa
Sent:
Thu, Aug 28, 2014 7:28:46 PM
ina maaana hakuna
mwingine anaeweza kuvaa viatu hivyo, miaka yake ishaisha,
kwanini mnakomaa na mbowe tuuuu, mnadhani ana jipya, hana
jipya sana anakimbiza wananchama
CDM
udikiteta mtupuu, ina maaana si mtu akae na awapishe wengine
au nae anataka kufanya kama wale wazee wa CUF mzee Lipumba
na Seif? binafsi sijaipenda hy na kwa namna hiyo wanaoua
chadema na hawa wapenda madaraka mbowe na slaa, watazeeka
hapooo
On Thursday, August
28, 2014 12:13 PM, Emmanuel Muganda
TAMKO
LA VIJANA NCHINI KUMSIHI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE AGOMBEE
TENA NAFASI HII YA UENYEKITI WA CHAMA CHETU.
Tamko
hili ni la vijana wote wa CHADEMA nchi nzima. Linasomwa hapa
mbele ya hadhara hii kwa niaba ya vijana hao ambao wanayo
hamu kubwa ya kumuona Mwenyekiti Freeman Mbowe akiwania tena
nafasi hiyo ili akiongoze chama kwa miaka mingine
mitano.
Vijana
wa CHADEMA kwa moyo mmoja, kwa ari kubwa na dhamira njema
kabisa ikichochewa na mapenzi makubwa kwa chama chetu
kinachobeba matumaini ya Watanzania, tumeamua kuwaunga mkono
Wazee wa Kigoma ambao walituwahi katika kumchukulia fomu
Mwenyekiti Mbowe ili kumshawishi na kumuomba agombee
tena.
Kama
vijana bado tunaona haja ya kumtaka Mh Freemani Aikael Mbowe
kuendelea kukilea chama na kukiongoza hadi tutakapo fikia
malengo ya kushika dola kwani msukumo wetu ni uhalali wake
kuongoza lakini pia mafanikio makubwa ambayo yameendelea
kuonekana katika juhudi zake kama mwenyekiti wa CHADEMA hadi
sasa.
Sisi
vijana ndani ya Chama chetu tumekuwa tukitafakari sana
kipindi hiki ambacho chama kinapitia katika wakati mgumu
kutokana na juhudi kubwa za serikali kuhujumu demokrasia na
kujenga hofu kwa wanachadema, pamoja na uwepo wa wengi wenye
nia ya kukiongoza chama bado tunahitaji weledi na ujasiri wa
Mheshimiwa Mbowe kuwa Mwenyekiti wetu hadi hapo
tutakapofikia malengo yetu makubwa ya kushika dola na
kuwakomboa watanzania kutoka katika serikali ya kidhalimu ya
sasa.
Hadi
tunafikia kutoa tamko hili tunatambua Uongozi ni utumwa
lakini pia tunatambua sana Mheshimiwa Freeman Mbowe amekuwa
akifanya kazi za chama kwa kujituma na hivyo ni haki yake
kuhitaji msaada kwa sasa ili pia apate fursa ya kupumzika,
lakini kama vijana bado tuna uhitaji mkubwa wa kuona chama
kinazidi kung'ara hadi kufikia malengo ya kuwakomboa
watanzania, hivyo tumefikiri kwa kina kama vijana na kuona
kuna haja ya kutoa wito kwa Mwenyekiti wetu wa Chama
Mheshimiwa Freeman Mbowe kuona umuhimu wake kwa sasa katika
kipindi hiki ambacho chama kinapita katika misukosuko ya
kushambuliwa na watawala kwa visa vya kutaka waendelee
kubaki madarakani, pamoja na
kutambua haki yake ya kutokugombea nafasi hiyo, lakini kama
vijana ambao tumekuwa inspired na kuingia katika harakati
hizi za siasa na tumejikuta tukishiriki katika kutetea
maslahi ya umma, tunaona ni sahihi kabisa kwa mheshimiwa
Mbowe kusikia kilio chetu na kuweza kukubali kuingia katika
kinyang'anyiro cha kugombea nafasi hiyo ya uenyekiti wa
chama ili aweze kuifikisha chadema tunaponuia ifike kwa
maana ya kushika dola.
Sisi
vijana tunarejea rekodi kubwa ambayo mwenyekiti wa chama
chetu ameivunja katika utendaji wake uliotukuka ndani ya
CHADEMA hususani mafanikio makubwa tuliyonayo sasa kwa chama
kusambaa nchini kote, ongezeko la wabunge na madiwani,
katika chaguzi za mwaka 2005 na 2010 lakini pia ustahimilivu
wa chama kama taasisi ya kisiasa pamoja na mafanikio haya
ndio msukumo wetu kuhitaji uwepo wake kama mwenyekiti wetu
kwani pamoja na kelele za watawala kudai CHADEMA kitakufa
ifikapo 2015 lakini aliendelea kuwa kiongozi imara huku
chama kikizidi kuimarika kila kona ya nchi.
Tunatoa
wito kwa vijana wote kote nchini wenye nia na mapenzi ya
dhati watafakari yote yaliyofanywa kwenye uongozi wa
mwenyekiti Mbowe na wapime kwa busara iliyojaa hekima kwa
mustakabali wa chama chetu.
Vijana
wa CHADEMA kwa sasa tunasema "kwa
CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa"
Emmanuel
Masonga,
Mwenyekiti
wa Vijana Mkoa wa Njombe.
Kny;
Vijana wa CHADEMA nchi nzima.
--
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumafrom it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email yakudhibitisha ukishatumafrom it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment