Saturday 30 August 2014

Re: [wanabidii] Kwa CHADEMA,Mbowe anatosha kwa sasa

Ireneus,
Succession plan mbona ipo? Angalia Chadema imepitia uongozi wa wangapi tangu inception.
em

2014-08-30 7:20 GMT-04:00 Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>:
So ndani ya Chadema hamna Succession Planning hadi sasa? Hamna hata philosophy ya "what if so and so can/ may happen" so have only these 2 gods basi! Wao Mwanzo, wao Mwisho!! Please confirm.

Ireneus 

Omukunirwa Ireneus 

2014-08-30 9:59 GMT+03:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:

Tatizo wapo wengi hapa wasioitakia mema CDM, wenye chama wameangalia
na kuona anayefaa ni huyo sijui munaomkataa kama ni wanachama wa
ukweli au ndo hivyo ni mamluki tupu. Kazi wanayofanya ni kubwa sana
ila sisi tulio nje hatuwezi kuiona. Kazi ya kupambana na mafisadi
ndani na nje ya chama si nyepesi. Muelewe chadema kuendelea kuwapo
katika uso wa dunia ni mapambano makubwa kuliko tunavyofikiri. Yupo
adui yao mkubwa ambaye kazi yake kubwa ni kuibomoa CDM ili aendelee
kukanyaga vichwa vya sisi walalahoi.Wanayepambana naye anajulikana kwa
kuwa na kila aina ya silaha na hasa hii silaa ya kuwatupia vimfupa
wanachama njaa njaa na kuwapandikiza mamluki baadhi ya watu ndani ya
CDM

On 8/30/14, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Mitandaoni bwana ingekuwa ndiyo yaliyoko kwenye jamii halisi tungefaidika
> On Aug 29, 2014 7:27 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
>
>> What new blood are you talking about? Look at Chadema under Mbowe and
>> Slaa
>> and where it was before they took the reigns of leadership then tell me
>> about new blood. We have Mnyika, Msigwa, Sugu, Lema, Mdee, all these are
>> new bloods, but not everyone can hold top position at the same time.
>> Hiyo new blood ungewaambia CCM ambao walilazimika kumfufua Mangula na
>> Kinana baada ya kuona meli yao inayumba.
>> em
>>
>>
>> 2014-08-29 12:11 GMT-04:00 'lesian mollel' via Wanabidii <
>> wanabidii@googlegroups.com>:
>>
>>> no friend, we need new blood with new vision bhaas
>>>
>>>
>>>   On Friday, August 29, 2014 3:12 AM, mngonge franco <mngonge@gmail.com>
>>> wrote:
>>>
>>>
>>> Mollel Nafikiri kila chama kina katiba yake, binafsi sioni tatizo mtu
>>> kuendelea kuwa kiongozi katika ngazi fulani kama uwezo wa kiakili na
>>> nguvu
>>> vinamruhusu. Mbona hamjahoji swala la wabunge wa BMK kukataa maoni yetu
>>> ya
>>> ukomo wa vipindi vitatu vya ubunge?  Mwenyekiti wa CCM analazimika kukaa
>>> miaka 10 kwa sababu taratibu zao (CCM) zinamtaka rais ndo awe mwenyekiti
>>> na
>>> hivyo urais ukikoma na uenyekiti unakomea hapo hapo. Mtu kama huyo
>>> huwezi
>>> kumuita muungwana kwa kukaa kwenye kiti hicho miaka 10. Anakuwa amekaa
>>> si
>>> kwa sababu ya mapenzi yake bali taratibu za chama chake. Malalamiko juu
>>> ya
>>> viongozi kama hawa akina Mbowe yatakuwa wazi ndani ya  CCM pale CCM
>>> itakaposhindwa kupata rais.
>>>
>>>
>>> 2014-08-29 12:29 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <
>>> wanabidii@googlegroups.com>:
>>>
>>> franco so bila mbowe na slaa no CDM ndio unataka kutuaminisha, shida
>>> wameshakaa ten years ina maana hakuna mwingine aneweza kuifanya chadema
>>> better than walipoifikisha the two guys? Chama cha cadema basi kiko sawa
>>> na
>>> CUF tu na NCCR mageuz, ubora wa ccm kuna utaratibu wa kubadilkishana
>>> uongozi hata kama mtu ni bora lakini kipind chake cha ten years kikiisha
>>> bhaaas, Kikwete mfano ni mzur tu angepewa another 5 years angefanya
>>> makubwa
>>> sana lakini utaratibu wao hauruhusu, why dont CDM have the same type of
>>> leaders wanaopenda kuserve kwa muda the wapishe wengineeeee? Demokrasia
>>> gani hii sasa? Ndio maaana vijana kama kina kabwe, waitara sasa na
>>> wengine
>>> wanaaandamwa simply bse ya kutaka kuvaa viatu vya hawa wazeeee, hakuna
>>> cha
>>> mti wenye matunda hapo franco, sku zote tunazungumzia wtu wawe na limit
>>> /ukomo wa uongozi au hata ajira si suala la kuzeeekea madarakani kama
>>> mzee
>>> mugabe banaaa, so binafsi nampongeza slaa na mbowe walipoifikisha chama,
>>> lakini sasa watulie wawaaachie wengine......ha,ha ha......huuu ujinga
>>> ujinga kila siku wa kutudanganya uishe, mbowe na slaa hawana mpya,
>>> wawapishe vijana , na kiukweli serikali za mitaa mtaona wataambilia zero
>>> sehem kibao simply bse of bad leadership ....na sio threat tena kwa ccm
>>> hawa jamaa maana mbinu zao ni zile zile
>>>
>>>
>>>   On Friday, August 29, 2014 12:07 AM, mngonge franco
>>> <mngonge@gmail.com>
>>> wrote:
>>>
>>>
>>> Ni mti wenye matunda mazuri unaopigwa mawe. Binafsi huwa najiuliza hivi
>>> inawekana vipi chama chochote cha upinzani ambacho hakikusanyi kodi na
>>> wala
>>> hakijajimilikisha mali nyingi kama SISIEMU ilivyojimilikisha maeneo
>>> kibao
>>> vikiwemo viwanja vya mipira na maeneo ya wazi kijiendeshe kama hakina
>>> uongozi dhabiti? Inawezekana Mbowe si kiongozi maarufu lakini uwezo wa
>>> kuongoza anao, kama asingekuwa na uwezo huo basi wala SISIEMU isingekuwa
>>> inatapatapa na kuhangaika na hawa viongozi wa Chadema kiasi hicho.
>>>
>>> Chadema ni chama imara chini ya uongozi wa mwenyekiti Mbowe na katibu
>>> Dr.
>>> Slaa na uimara wao (mti wenye matunda) ndiyo unaowafanya kupigwa mawe
>>> kila
>>> kukicha. Sisiemu angahikeni sana kuiua chadema lakini mjue misingi yao
>>> (chadema) iko ndani ya maisha halisi ya watanzania. Bila kubadili maisha
>>> yetu kwa kutumia rasilimali tulizonazo kwa usawa na kuacha wizi wa mali
>>> zetu basi muelewe munafukia moto kwa majivu.
>>>
>>> Hata hao akina Mbowe na Slaa wakiacha siasa bado mutajikuta mko kwenye
>>> matatizo yale yale na pengine hasira za walalahoi zinaweza kuwa na
>>> madhara
>>> makubwa kuliko munavyofikiri kwa sasa. Watanzania wa leo wanaona,
>>> wanasikia
>>> na wanaelewa  kuliko wakati wowote. Kuhangaika na akina Mbowe badala ya
>>> kushugulikia uboreshaji wa maisha ya wananchi ni sawa na kumpigia mbuzi
>>> jitaa acheze. Pole sana sisiemu kwa kutumia fedha na nguvu nyingi kwa
>>> mambo
>>> ambayo hayatafanikiwa.
>>>
>>>
>>> 2014-08-29 9:17 GMT+03:00 'flano mambo' via Wanabidii <
>>> wanabidii@googlegroups.com>:
>>>
>>> Jamani naona watu wanaongea siasa za kuibeza au kupropagete nia ovu
>>> dhidi
>>> ya CDM. Nyerere mnamtumia vibaya sana kana kwamba yeye ndiye standard
>>> zaidi
>>> yake hakuna hiyo si sahihi japo mzee wetu huyo ameacha historia yake
>>> njema.
>>> Mbona Yona hasemi Nyerere alikaa Ikulu miaka 24 ndipo alipo achia
>>> ngazi??
>>> au unataka kuniambia Tanganyika haikua na msomi hata mmoja zaidi ya
>>> Julius??
>>>
>>>  Pia CDM mbona wamekua wakipokezana uongozi mbona historia inaonesha?
>>> lakini pia haikua na wanachama wengi kama ilivyo sasa wenye mawazo
>>> tofauti.
>>> Sasa wanachama wanasema huyu tunataka aongoze tena NYIE AKINA YONA
>>> mnasema
>>> udikteta nk sijui mnataka matakwa ya wanachama walio wengi yafuatwe au
>>> maoni yenu NYIE msio wana CDM??
>>>
>>>  Mi naona hoja zenu hazina mashiko, na hakuna jipya ktk hoja hizo. mbaya
>>> zaidi mnawabeza viongozi wenye historia nzuri katika uongozi wako walau
>>> chama chao kimekua kinafahamika hadi vijijini watu wanafahamu ukisema
>>> CDM
>>> ni nini.
>>>
>>> Naamini kuna hoja zitokazo lumumba zinaletwa humu ila ndo hazijaja kwa
>>> ramani nzuri.
>>> Mimi nafikiri akina Yona, Mollel na sisi wote kama kweli tunaipenda nchi
>>> yetu tuwe wazalendo wa kweli si VIBARAKA. CDM kama ilivyo CCM na vyama
>>> vingine vyote si malaika wanaweza wakaanza vema wakamaliza vibaya kama
>>> CCM
>>> wafanyavyo vibaya sana. Sisi vijana tuwe wazalendo tukiitanguliza nchi
>>> yetu
>>> kwanza. Tukiunga mkono mabadiliko ya mifumo kimkakati sio ilimradi tu.
>>>
>>> Hakuna maana ya mtu kuwa msomi halafu unayofanya au kusema haudhihirishi
>>> elimu yako hiyo ni aibu
>>>
>>>
>>>   On Friday, August 29, 2014 8:20 AM, Yona Fares Maro
>>> <oldmoshi@gmail.com>
>>> wrote:
>>>
>>>
>>>  Wakati wa nyerere hakukuwa na vyama vingi na ilikuwa hivyo kwa sababu
>>> maalum , lakini alingatuka mwenyewe kisha akamwachia mwinyi , vyama
>>> vingi
>>> vikaanzishwa , tutambue huu ni wakati mpya na mambo mapya .
>>>
>>> On Friday, August 29, 2014 2:19:02 AM UTC+3, De Kleinson Kim wrote:
>>>
>>> Kaka Bariki.
>>> umeweka mambo. what i think kwa sasa haijalishi mtu apatikanaje au
>>> afanyaje. kinachotakiwa ni muadilifu na mzalendo tu! anatakiwa mtu wa
>>> kutuletea maendeleo. mengineyo ni agenda za kujadiliwa vikao vijavyo.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>>  --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment