Huyu mabadiliko CHADEMA ni nani
2014-08-02 11:30 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
6. Kwa hiyo, siyo sahihi kabisa kumbeza kwa sababu huna ground yoyote ya kufanya hivyo.4. Hivyo, padre si kama wewe - amebobea kwelikweli na anaweza kuongea na mtu wa aina yoyote bila kubabaika yawe mambo ya siasa, jamii, uchumi, utamaduni, dini nk. Kuna baadhi ya mapadre wana'specialise' kwenye mambo ya lugha, uchumi, sayansi, siasa, sheria, Uislamu, dini za asili, ICT, umeme, mimea, kilimo, mazingira, ukimwi, utamaduni, muziki, udaktari wa binadamu (medicine),uandishi wa habari, utangazaji wa TV au radio, haki za binadamu, uhusiano wa kimataifa, etc. Pamoja na haya yote padre anafanya pia kozi fupifupi (miezi 9 hadi mwaka 1) kulingana na mahitaji ya sehemu anakofanya kazi kila mara muda wote anapokuwa kwenye 'active ministry'.3. Kwa kukupa kwa uchache: masomo anayosoma padre ni pamoja na: logic, epistemology, philosophical ethics, moral theology, public speaking (homiletics), political philosophy, philosophy of social sciences, cultural and social anthropology, philosophy of languages, counselling, psychology, sociology, a history of philosophy, systematic philosophy, theology, exegesis (hermeneutics), environmental theology, contextual theology, liberation theology, interpretation of cultures, world religions, canon law & civil law, bioethics (+ medical ethics), economic theology, book keeping, genetic engineering, sexual ethics, human rights, etc. Haya ni baadhi tu na siyo yote mapadre wanayojifunza na wanajifunza haya at least kwa miaka 10 bila kuweka miaka mingine ya specialisation kwa wale ambao wanaendelea kusoma MA & PhD.1. Mawazo mfu kweli kweli! Dr Slaa hajawahi kufukuzwa upadre, ila aliacha upadre na kama alifuata process ya 'laicisation' anaishi kama mlei kwa maana kwamba hayuko tena kwenye 'active ministry'.2. Masomo ya upadre ni 'comprehensive' - yana'incorcoporate' taaluma nyingi kiasi kwamba padre anakuwa almost 'all knowing' kuhusu mambo mbalimbali ya jamii na namna yanavyoenda.
5. Unaweza pia kutembelea link hii: http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Roman_Catholic_cleric%E2%80%93scientists ili kuona kwamba kuwa padre si kuwa tu padre ni zaidi ya kile watu wanachofikiri au dhani.5. Kutokana na haya yote, Dr Slaa ana uwezo ama sawa na wanasiasa wengine au zaidi yao kwa maana kwamba yeye anaelewa mambo mengi zaidi na namna ya kuyachanganua.
2014-08-02 9:05 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:Muganda, kati ya mbowe na kingunge yupi akiingia ikulu atawatumikia wananchi ipasavyo? Katika nchi masikini kama yetu tunahitaji kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kusimamia maendeleo yetu.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 1, 2014 2:14:20 PM GMT-0400
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA
Ronald Reagan aligombea urais akiwa na umri wa miaka 72. Hillary Clinton
hivi sasa ni 68 na ndiye front runner miongoni mwa Demokrats na hakuna
aliyemwambia
\wenzake wamestaafu. Let jingine.
em
2014-08-01 11:39 GMT-04:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
> Umesahau moja , ana umri wa miaka zaidi ya 60 yaani wenzake wameshastaafu .
>
>
> On Friday, August 1, 2014 6:27:50 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:
>>
>> - Alifukuzwa Upadre wa Kanisa Katoliki
>>
>> - Ni kinganganizi mfano aliposhindwa kwenye kura za maoni mwaka
>> 1995 jimboni karatu akakimbilia CHADEMA
>>
>> - Alibadilisha Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa madaraka ili
>> awe madarakani Milele na chaguzi zisifanyike
>>
>> - Ametekeleza Mke wa kwanza na watoto mpaka ameshtakiwa
>> mahakamani
>>
>> - Mchumba ake wa sasa ni Mke wa Mtu .
>>
>> - Ana ulemavu mkono mmoja , alipata ajali mwaka 2010
>>
>> - Ni mtu mwenye hasira na mropokaji hovyo .
>>
>> - Hajawahi kufuta kauli ya kutomtambua Rais Jakaya Mrisho
>> Kikwete
>>
>> - Hana historia nyingine ya kitaaluma zaidi ya Upadre na Ubunge .
>>
>> - Hashiriki Mchezo wowote .
>>
>> - Amejikopesha mamilioni ya CHADEMA
>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment