Saturday, 2 August 2014

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA

Magobe,
umeacha psychology. kwenye baccalaurete cycle ya miaka 3
tulisoma,developmental psychology,psycho analisis ya sigmund
freud,principles of councelling,na irrational psychology.

On 8/2/14, Paul Lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
> Huyu mabadiliko CHADEMA ni nani
>
>
> 2014-08-02 11:30 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
>
>> 1. Mawazo mfu kweli kweli! Dr Slaa hajawahi kufukuzwa upadre, ila aliacha
>> upadre na kama alifuata process ya 'laicisation' anaishi kama mlei kwa
>> maana kwamba hayuko tena kwenye 'active ministry'.
>> 2. Masomo ya upadre ni 'comprehensive' - yana'incorcoporate' taaluma
>> nyingi kiasi kwamba padre anakuwa almost 'all knowing' kuhusu mambo
>> mbalimbali ya jamii na namna yanavyoenda.
>> 3. Kwa kukupa kwa uchache: masomo anayosoma padre ni pamoja na: logic,
>> epistemology, philosophical ethics, moral theology, public speaking
>> (homiletics), political philosophy, philosophy of social sciences,
>> cultural
>> and social anthropology, philosophy of languages, counselling,
>> psychology,
>> sociology, a history of philosophy, systematic philosophy, theology,
>> exegesis (hermeneutics), environmental theology, contextual theology,
>> liberation theology, interpretation of cultures, world religions, canon
>> law
>> & civil law, bioethics (+ medical ethics), economic theology, book
>> keeping,
>> genetic engineering, sexual ethics, human rights, etc. Haya ni baadhi tu
>> na
>> siyo yote mapadre wanayojifunza na wanajifunza haya at least kwa miaka 10
>> bila kuweka miaka mingine ya specialisation kwa wale ambao wanaendelea
>> kusoma MA & PhD.
>> 4. Hivyo, padre si kama wewe - amebobea kwelikweli na anaweza kuongea na
>> mtu wa aina yoyote bila kubabaika yawe mambo ya siasa, jamii, uchumi,
>> utamaduni, dini nk. Kuna baadhi ya mapadre wana'specialise' kwenye mambo
>> ya
>> lugha, uchumi, sayansi, siasa, sheria, Uislamu, dini za asili, ICT,
>> umeme,
>> mimea, kilimo, mazingira, ukimwi, utamaduni, muziki, udaktari wa binadamu
>> (medicine),uandishi wa habari, utangazaji wa TV au radio, haki za
>> binadamu,
>> uhusiano wa kimataifa, etc. Pamoja na haya yote padre anafanya pia kozi
>> fupifupi (miezi 9 hadi mwaka 1) kulingana na mahitaji ya sehemu
>> anakofanya
>> kazi kila mara muda wote anapokuwa kwenye 'active ministry'.
>> 5. Unaweza pia kutembelea link hii:
>> http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Roman_Catholic_cleric%E2%80%93scientists
>> ili kuona kwamba kuwa padre si kuwa tu padre ni zaidi ya kile watu
>> wanachofikiri au dhani.
>> 5. Kutokana na haya yote, Dr Slaa ana uwezo ama sawa na wanasiasa wengine
>> au zaidi yao kwa maana kwamba yeye anaelewa mambo mengi zaidi na namna ya
>> kuyachanganua.
>> 6. Kwa hiyo, siyo sahihi kabisa kumbeza kwa sababu huna ground yoyote ya
>> kufanya hivyo.
>>
>>
>> 2014-08-02 9:05 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:
>>
>> Muganda, kati ya mbowe na kingunge yupi akiingia ikulu atawatumikia
>>> wananchi ipasavyo? Katika nchi masikini kama yetu tunahitaji kiongozi
>>> mwenye uwezo na nguvu ya kusimamia maendeleo yetu.
>>>
>>> ----------
>>> Sent from my Nokia phone
>>>
>>> ------Original message------
>>> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Date: Friday, August 1, 2014 2:14:20 PM GMT-0400
>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - UDHAIFU WA DR W P SLAA
>>>
>>> Ronald Reagan aligombea urais akiwa na umri wa miaka 72. Hillary Clinton
>>> hivi sasa ni 68 na ndiye front runner miongoni mwa Demokrats na hakuna
>>> aliyemwambia
>>> \wenzake wamestaafu. Let jingine.
>>> em
>>>
>>>
>>> 2014-08-01 11:39 GMT-04:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
>>>
>>> > Umesahau moja , ana umri wa miaka zaidi ya 60 yaani wenzake
>>> wameshastaafu .
>>> >
>>> >
>>> > On Friday, August 1, 2014 6:27:50 PM UTC+3, MABADILIKO CHADEMA wrote:
>>> >>
>>> >> - Alifukuzwa Upadre wa Kanisa Katoliki
>>> >>
>>> >> - Ni kinganganizi mfano aliposhindwa kwenye kura za maoni
>>> >> mwaka
>>> >> 1995 jimboni karatu akakimbilia CHADEMA
>>> >>
>>> >> - Alibadilisha Katiba ya CHADEMA kuhusu ukomo wa madaraka ili
>>> >> awe madarakani Milele na chaguzi zisifanyike
>>> >>
>>> >> - Ametekeleza Mke wa kwanza na watoto mpaka ameshtakiwa
>>> >> mahakamani
>>> >>
>>> >> - Mchumba ake wa sasa ni Mke wa Mtu .
>>> >>
>>> >> - Ana ulemavu mkono mmoja , alipata ajali mwaka 2010
>>> >>
>>> >> - Ni mtu mwenye hasira na mropokaji hovyo .
>>> >>
>>> >> - Hajawahi kufuta kauli ya kutomtambua Rais Jakaya Mrisho
>>> >> Kikwete
>>> >>
>>> >> - Hana historia nyingine ya kitaaluma zaidi ya Upadre na
>>> Ubunge .
>>> >>
>>> >> - Hashiriki Mchezo wowote .
>>> >>
>>> >> - Amejikopesha mamilioni ya CHADEMA
>>> >>
>>> > --
>>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be
>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> > ---
>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> > "Wanabidii" group.
>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>> >
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment