Friday, 1 August 2014

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

Misango mbona umehangaika na uandikaji wa huyo mama mara nyingi sana na hajabadilika, ni MAUMBILE yake, lakini taarifa inaeleweka to some extent. Mwache tu MC wangu wa miaka mingi. Ni mimi Best Man wa Kingilawima, aka wa Kimara, etc, etc


Sent from Samsung Mobile


-------- Original message --------
From: misangocharles via Wanabidii
Date:01/08/2014 18:19 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

Dada Katabazi, jitahidi basi kuandika kiswahili kilichonyooka watu wakuelewe. Hoja zako ni nzuri ila huo mwandiko utafikiri unatafuna senene! Haaaaa! Haaaa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 1 Aug 2014 18:04:47
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE

EEH, naona kumekucha sasa na baadhi ya wachangiaji na watumiaji wa mitandao ya kijamii wameishajipa jukumu la kutaja kile wanachokiita madhahifu ya watu wanaotajwa kugombea urais?Je wanaofikiri wanatakanikiwa na mbinu hii? Tusubiri Tuone ila ushauri wangu tu tupate dee Haki Hao wote wanaotajwa kuutaka ukubwa kwa kuanika sifa na mapungu yenye uweki dhidi ya Hao wanaotajwa Kugombea.Ila Tukumbuke sisi wachangiaji Katika siyo wajumbe wa mikutano Maalum ya vyama Vya siasa vinavyopitisha Majina ya wagombea na wala sio Watanzania wote ambao watamchagua Huyo mgombea urais wanaowataka.Kikubwa nashauri tuwajidili KWA Haki siyo kuwadhulia uongo Kwani hata MUNgu halendi.

Sent from my iPad

On Aug 1, 2014, at 3:52 PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

> Bwana Fred,umenifurahisha sana.......inawezekana mtu huyo ni mimi mwenyewe..Ngupula
>
> 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>> Inawezekana Ngupula anaye mtu anayempigia debe kama aliowataja kwa Membe ni vizuri akatuambia huyo mtu anayejulikana sana kwa maamuzi yake magumu yanayolipeleka taifa mbele na si katika madeni ya kutisha. Ni nani huyo, mbona hamsemi? Mtu mwadilifu asiye na kisasi wala haogopi kufanya maamuzi magumu katika mambo ya kuiendeleza nchi yuko wapi watuonyeshe ili tumpime mapema.
>> --------------------------------------------
>> On Thu, 7/31/14, 'Nico Eatlawe' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA BERNARD K. MEMBE
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Thursday, July 31, 2014, 3:36 PM
>>
>>  Hivi CCM mbona ina watu
>> wengi sana wenye sifa lakini hawajadililiwa kuanzia wazee
>> hadi vijana? Wako akina Prof Mwandosya (sijui yuko wapi
>> kwenye anga za siasa; sijui kakolimbiwa), Magufuli,
>> Mwakyembe, Sitta, Nchimbi, Mwinyi mdogo nk. Pili
>> kuna fikra kwamba rais lazima atatoka CCM tu wala siyo CDM,
>> CUF, NCCR au ACT. Hii ni kana kwamba tunaamini kila kitu
>> kitabakia constant miaka yote! Nani ajuaye kitakachotea kati
>> ya leo na 2015? 
>>
>>
>>    On Thursday, 31 July
>> 2014, 10:27, 'Deodatus Balile' via Wanabidii
>> <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>>
>>
>>
>> Ngupula, nimesema mara
>> kadhaa. Juzi nilikemea la Lowassa, leo naona mmeleta la
>> Membe.
>>
>> Urais hautapatikana
>> kwa kutukana wengine, bali tuelezwe wakiingia madarakani
>> watafanya nini. Basi. Tusichafue majina ya watu jamani.
>>
>> Balile
>> Sent
>> from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania
>> Network
>>
>> -----Original
>> Message-----
>> From: "'Godfrey
>> Ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Thu, 31 Jul 2014 10:13:38
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015-MATATIZO YA
>> BERNARD K. MEMBE
>>
>> Nimeleta
>> topic hii ili kwa pamoja pia tujadili matatizo ya mtu
>> mwingine anayetajwa sana kuwa anaweza kuibuka kidedea katika
>> kinyanganyiro cha urais CCM. Kwa mtazamo wangu Membe kwa
>> haya yafuatayo sioni kama anafaa kuwa raisi wa Tz:
>>
>> (a) Kwanza haaminiki: Ili mtu
>> aweze kuaminika na jamii kubwa ya watazania ni lazima
>> ajulikane undani wake na ikibidi madhaifu yake na strengths
>> zake.Lakini Membe anaonekana yupo yupo tu na huku kwa nguvu
>> zote akijitahidi kujificha asili yake, na hiki watu makini
>> hatuwezi kumuamini haswa kwa dhamana ya nafasi kubwa kama
>> uraisi. Binafsi siamini hata kidogo kama Membe anaweza
>> kukemea chochote na kufanya chochote kwa maslahi ya nchi na
>> haswa kitu kinachohusu kuwa na maamuzi magumu na yenye
>> tija.
>>
>> (b) Sio safi. Watu
>> wengi wanadhani Membe ni mtu safi. Lakini, ukweli ni kuwa
>> Membe si safi hata kidogo. Ni huyuhuyu ndiye aliyesema
>> Tanzania inaweza kupokea hela kutoka kokote na kwa masharti
>> yeyote hata kama anayetupatia fedha hizo ni shetani. Uraisi
>> ni suala la values na misimamo. Kama mcha Mungu wa kweli ni
>> lazima kuna mambo fulani mtu utakuwa nayo au basi kukupa
>> hofu kiasi fulani. Sipendezwi na mtu ambaye anaweza
>> fanya chochote ali mradi tu, afanikiwe katika mambo
>> yake.Kwa lugha nyingine Raisi ajae hapaswi kuwa msani msanii
>> kama Membe.
>>
>> (c) Hana
>> maamuzi magumu: Nchi kwa jinsi ilivyo na inavyoenda kwa sasa
>> inatakiwa mtu mwenye uwezo wa kuleta displine katika system.
>> Eti Tanzania nayo ina ugaidi wa ndani, huu ni udhaifu wa
>> kimfumo kutokana viongozi wakuu kufumbia macho  baadhi ya
>> mambo kwa maslahi binafsi. Kwa tunakotaka kwenda Membe ni
>> dhaifu sana  na hawezi kukemea chochote na haswa akijua
>> kundi fulani litampa kura,basi kundi hilo laweza fanya
>> chochote na asifanye kitu. Hebu angalieni watu wanaompigia
>> debe Membe, RidhiOne, Kigangwala,nk, wote ni wasanii sanii
>> tu ambao bado hawajatoshea katika kusimika misngi ya kiinchi
>> labda huko baadae.
>>
>> (d) Hana
>> historia.  Kiukweli kabisa mpaka hapa tulipo nchi imepitia
>> mambo mengi. Binafsi huwa sipendi mtu kuibukia kona fulani
>> na kutangaza nia ya
>> kuutaka uraisi kwa kisingizio unakerwa na kero za
>> watanzania,lkn hata wakati mmoja hujawahi kuwa suluhisho la
>> kero hizo na ni kiongozi. Membe hapo alipo ni kudra tu za
>> familia ya JK na ndio hao wanataka kuendelea kutuongoza tena
>> kwa mgongo wa Membe,nafikiri watanzania tunayo haki ya
>> kuchagua mwingine tunayedhani ana uwezo wa kutusaidia.  na
>> mengine mengiiiiiiii...NGUPULA.
>>
>>
>> --
>> Send
>> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to
>> this Forum bears
>> the sole responsibility for any legal consequences of his
>> or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies
>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>> Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
>> subscribed to the Google Groups "Wanabi
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment