Safu Mpya ya Kamati ya Utendaji ya Taifa (Sekretarieti) ya CUF ina walakini kwa kiasi fulani. Ningependa CUF ipanuke zaidi sehemu za Bara lakini ukiona majina ya viongozi ambayo 88% ni wa majina kutoka dini moja ya Kiislamu inatia shaka kidogo. Nilitizamia uongozi uwe ni mchanganyiko wa Kikristo, Dini nyingine na Kiislamu. Vile vile kina mama ni wachache mno. Ningeshauri Chama kiangalieo hili kwa siku za usoni.
Ahsante
Herment A. Mrema
Date: Tue, 1 Jul 2014 23:49:50 -0700
From: hamisznz@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Safu ya uongozi chama cha CUF 2014
WAJUMBE
Wajumbe 10 wanaowakilisha Baraza Kuu Kanda ya Unguja ni Salim Bimani, Nassor Ahmed Mazrui, Fatma Abdulhabib Ferej, Zahra Ali Hamad na Shaaban Iddi Ahmed, Pavu Juma Abdallah, Abdillahi Jihadi Hassan, Hassan Jani Massoud, Moh'd Kombo Ali na Hemed Said Nassor.
Kanda ya Pemba, wajumbe 10 ni Hamad Massoud Hamad, Abubakar Khamis Bakar, Rukia Kassim, Said Ali Mbarouk na Khalifa Moh'd Issa, Omar Ali Shehe, Riziki Omar Juma, Massoud Abdallah Salim, Hijja Hassan Hijja na Najma Khalfan Juma.
Miongoni mwa wajumbe 25 wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa kutoka Bara ni Chifu Letalosa Yemba, Lobora Petro, Fatma Omar Kalembo, Magdalena Sakaya, Thomas Malima, Kapasha wa Kapasha, Bonifasia Mapunda, Abdul Juma Kambaya, Ashura Mustapha, Karume Jeremia, Julius Nyanja Salim Sarwan na Katani Ahmed Katani.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

- Prof. Ibrahim Lipumba - Mwenyekiti
- Juma Duni Haji - Makamu Mwenyekiti
- Maalim Seif Sharif Hamad - Katibu Mkuu
SAFU MPYA YA KAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA (SEKRETARIETI) YA CUF
- Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mhe. Magdalena Sakaya.
- Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
- Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mhe. Omar Ali Shehe.
- Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Chaguzi, Mhe. Shaweji Mketo.
- Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma, Mhe. Salim Bimani.
- Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano na Umma, Mhe. Abdul Kambaya.
- Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Mhe. Kulthum Mchuchuli.
- Naibu Mkurugenzi wa Haki za Binadamu na Sheria, Mhe. Pavu Abdallah Juma.
- Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha, Mhe. Joran Bashange.
- Naibu Mkurugenzi wa Uchumi na Fedha, Mhe. Abdallah Bakari Hassan.
- Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama (hajateuliwa).
- Naibu Mkurugenzi wa Uinzi na Usalama, Mhe. Yussuf Salim Hussein.
- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Mhe. Ismail Jussa.
- Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Mhe. Abdallah Mtolea.
WAJUMBE
Wajumbe 10 wanaowakilisha Baraza Kuu Kanda ya Unguja ni Salim Bimani, Nassor Ahmed Mazrui, Fatma Abdulhabib Ferej, Zahra Ali Hamad na Shaaban Iddi Ahmed, Pavu Juma Abdallah, Abdillahi Jihadi Hassan, Hassan Jani Massoud, Moh'd Kombo Ali na Hemed Said Nassor.
Kanda ya Pemba, wajumbe 10 ni Hamad Massoud Hamad, Abubakar Khamis Bakar, Rukia Kassim, Said Ali Mbarouk na Khalifa Moh'd Issa, Omar Ali Shehe, Riziki Omar Juma, Massoud Abdallah Salim, Hijja Hassan Hijja na Najma Khalfan Juma.
Miongoni mwa wajumbe 25 wa Baraza Kuu la Uongozi Taifa kutoka Bara ni Chifu Letalosa Yemba, Lobora Petro, Fatma Omar Kalembo, Magdalena Sakaya, Thomas Malima, Kapasha wa Kapasha, Bonifasia Mapunda, Abdul Juma Kambaya, Ashura Mustapha, Karume Jeremia, Julius Nyanja Salim Sarwan na Katani Ahmed Katani.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment