Tuesday, 29 July 2014

Re: [wanabidii] MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA STEVEN WASSIRA UBUNGO PLAZA

Muganda, unachosema ni sahihi, si tu ujamaa ulitupiliwa mbali, bali waliacha hata kushiriki kwenye jumuia ya wajamaa ya Socialist International ( si.org ) kumbe walikuwa wanajipalia mkaa kwani kuutetea ubepari katika nchi masikini kama yetu ni shughuli pevu, na sasa wamerudi kimya kimya, mkutano wa si uliofanyika canada ccm ilipeleka wawakilishi na mwaka huu ujumbe mzito wa si ulimtembelea mkuu wa kaya. Lakini ccm inaweza kuwapungia mkono mabepari wa CDU? Hakika hawawezi ndo maana sasa wanapiga kwata namba tatu wanahesabu moja mbili tatu moja.

Lakini kumbuka tunazo ''jungle politics'' biashara ya kununua wajumbe, mawakala shahada na takrima mbalimbali na kuchezea daftari la wapiga kura ndo zimekuwa siasa zetu. Bila pesa huziwezi. Sasa hivi siasa ni biashara watu wanawekeza. Wajamaa kama kafulila ndo hawanenepi, muda wote wanawaza namna gani watapambana na mafisadi.

Muganda, usiamini ccm haiwezi kugawanyika, la hasha! Hakuna aliyejua kuwa dr.machir na salva kiir wangeweza kutifuana kiasi hicho. Nikwambie kuimarika kwa cdm ndo uhai wa ccm kwani hakuna mwenye uhakika wa kuhimili vishindo vya cdm nje ya ccm.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 29, 2014 11:56:43 AM GMT-0400
Subject: Re: [wanabidii] MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA STEVEN WASSIRA UBUNGO PLAZA

Ndaki,
Naamini kwamba dhana ya Mwalimu ni kwamba CCM ingemeguka, kati ya wale
wanaopendelea ubepari na wajamaa lakini kilichotokea ni kwamba mabepari,
kuanzia
utawala wa Mwinyi, walikikamata chama sawa sawa na wajamaa wamenywea. Sasa
hivi ukizungumzia ujamaa ndani ya CCM unaonekana kama mwendawazimu vile.
Mabepari/ mafisadi wamekishika chama mpaka wanashindwa kujivua magamba.
That was Mwalimu's hope.
em


2014-07-29 11:20 GMT-04:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:

> Muganda, ulichosema ni sahihi, lengo la vyama vya upinzani kama mwalimu
> alivyoainisha ni kukikosoa chama tawala kirudi kwenye mstari na kuchukua
> dola kitakapotetereka, je hayo malengo yanatimizwa? Au tunasaidiana na
> chama tawala kuyumbisha nchi? Mbatia atakosoaje serikali wakati yuko kwenye
> payrall ya nkuu wa kaya? Lipumba ataikosoaje ccm wakati wanandoa ya jinsia
> moja ya SUK kule Zanziber? Mbowe ataikosoaje ccm wakati anandoa ya mitaala
> na CUF kupitia UKAWA!
>
> Kwa upande mwingine nakubaliana na mgonge, Kelele zote hizi kwa sababu
> chama cha centre party cha Norway kimepigwa mweleka na walioingia
> madarakani wamekuja na sera mpya wanahangaikia ya kwao zaidi.
>
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, July 29, 2014 10:29:24 AM GMT-0400
> Subject: Re: [wanabidii] MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA STEVEN WASSIRA
> UBUNGO PLAZA
>
> Mngonge,
> Naomba kutofautiana na wewe. Mwalimu aliamua uwepo wa vyama vya upinzani
> baada ya kuona CCM inakwenda mrama bila kuwepo chombo chochote cha
> marekebisho
> au kuikemea. Ukifuatilia hotuba zake tangu alipostaafu, ukianza na ile ya
> Singida 1986 alipokuwa anatembelea matawi ya CCM utatambua hayo. Katika
> ule mkutano wa Februari 1992 Mwinyi alitaka utawala wa chama kimoja
> uendelee, na Nyerere akasema mkiamua kuwa na utawala wa chama kimoja
> mtaganda nao hata kama chama hicho kimegeuka kuwa kibovu. Huo ndio ulikuwa
> msukumo wa Nyerere na wala si shinikizo ya "wanaume tunaowaomba."
> em
>
>
> 2014-07-29 8:17 GMT-04:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:
>
> > Hosea Nyuma ya mambo kama haya ya ujio wa vyama vingi na uundwaji wa
> > katiba kwa nchi kama ya kwetu yenye budget tegemezi huwa yana shinikizo
> la
> > wanaume tunawaomba. Na si raisi kuwa wawazi katika hili huwa tuanjitahidi
> > kutoa sababu za hapa na pale huku tukizikwepa sababu au mashinikizo
> yenyewe.
> > Kimsingi serikali yetu ya CCm kupitia waziri wake pamoja na wabunge wa
> CCM
> > tangu nyuma walikataa kuundwa katiba mpya kulingana na wakati wa sasa
> > walisema iliyopo inatosha. Hivi mbona hawakutwambia sababu za kurejea
> tena
> > na kukubali kuifanyia marekebisho katiba yetu? Hapa unagundua kuna
> > shinikizo fulani la chini kwa chini lililowafanya na kugeuka kukubali kwa
> > shingo upande kuifanyia marekebisho katiba yetu.
> >
> > Binafsi huwa nauliza swali moja kubwa kuhusu muundo wa serikali, hivi ni
> > kweli muundo wa serikali mbili una gharama kidogo kuliko hizo tatu
> > zinazopendekezwa? Utamsikia mtu akisema muundo wa serikali tatu una
> gharama
> > kubwa bila kutufafanulia ni kwa namna gani? Nijuavyo mimi ukiondoa mambo
> ya
> > muungano ukayapeleka kwenye muungano, serikali mbili za Zanzibar na
> > Tanganyika zitabaki na mambo mache ya kushughulikia hivyo gharama
> zitakuwa
> > zimegawanywa tu.
> >
> >
> > Kwa sababu bado tuna nafasi ya kurekebisha muundo na uendeshajiwa
> serikali
> > za Tanganyika na ile ya Zanzibar. Ni swala la kupitia rasimu na tukaja na
> > muundo mpya utakao wapunzia madaraka na matumizi ya fedha hawa viongozi
> > wawili wa Tanganyika na Zanzibar. Watuletee proposal inayoonyesha mipaka
> na
> > matumizi ya huo muundo wa serikali tatu huku tukifananisha na haya
> matumizi
> > ya muundo uliopo tuweze kuwa na informed decision. Siyo kutuhubiria
> uzushi
> > na kutukaririsha maneno ya uwongo kwa maslahi binafsi. Dunia ingekuwa na
> > watu wenye mawazo mgando tusingekuwa na ndege, gari, neno demokrasia,
> meli,
> > computer na vingine vingi tu. Tuepuke kuwa dogmatised na wanasiasa wenye
> > nia ya kujilimbikizia mali na madaraka
> >
> >
> > 2014-07-29 6:30 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:
> >
> > Hamis, tusilete siasa za pilato za wengi wape, ikumbukwe mwaka 1990
> wakati
> >> wa kuanzisha mfumo wa vyama vingi maoni ya wananchi wengi yaliukataa
> lakini
> >> busara ikatumika. Hata hapa busara zinaweza tumika pia.
> >>
> >> Hamis, unasema shein ni amiri jeshi mkuu wa jeshi lipi? Ni command base
> >> gani iliyoko zanzibar? Na kama ni wimbo wa taifa hata tff wanao, kama ni
> >> mizinga hata kwenye mazishi ya koplo tunapiga tatizo liko wapi, kama
> >> unadhani ni nchi huru dodoma wanatafuta nini? Siwakae hukohuko.
> >>
> >> Huyo mpemba wa uamsho aliuliza swali chokonozi wasira akaliona
> akalikwepa
> >> kwa kujifanya hajalisikia. Kwanza ukumbi ulijaa wahuni huo mdahalo
> kwanini
> >> hawa kuupeleka nkurumah hall? Wakamwalika na nape?
> >>
> >> Kama ni mapato 90% ya mapato yanatoka dar es salaam mbona mnyika hajadai
> >> 90% yatumike dar es salaam? Kimara msewe hakuna maji, kawe barabara
> mbovu
> >> sijui hata mkapa anaishi kawe au alishahama. Kuna mikoa ina barabara
> nzuri
> >> umeme hadi migombani na ndio maarufu kwa ukwepaji kodi.
> >>
> >> 70% ya exports ni dhahabu na inatoka geita na kahama, kaone vituko huko
> >> barabara zinajengwa kwa beleshi, lami inamwangwa kwa vikopo, bodaboda
> >> zikipita inabanduka, barabara ya geita kahama haiwekewi lami na ndiyo
> yenye
> >> maroli makubwa yaliyobeba sumu za migodini, badala yake inawekewa ya
> geita
> >> nyanhwale yenye costa moja tu!
> >>
> >> Kaone lami inayozunguka stendi ya kahama ukikanyaga inabonyea kama
> >> umekanyaga godoro la banco. Hayo hatuyaoni tunaona muungano tu.
> >> ----------
> >> Sent from my Nokia phone
> >>
> >> ------Original message------
> >> From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> >> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >> Date: Monday, July 28, 2014 8:13:31 AM GMT-0700
> >> Subject: [wanabidii] MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA STEVEN WASSIRA UBUNGO
> >> PLAZA
> >>
> >>
> >>
> >> MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA
> >> STEVEN WASSIRA UBUNGO PLAZA HAYA HAPA:
> >>
> >> Swali la Kwanza;
> >> Kama unaukataa muundo wa muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa na
> >> wananchi kupitia Tume ya Jaji Warioba kwa uchache wa Takwimu, wewe
> >> unapendekeza uwepo wa Serikali mbili kwa Takwimu zipi?.
> >>
> >> Swali la Pili;
> >> Je, gharama za kuuendesha muungano huu wa Serikali mbili za sasa ni
> >> Shilingi ngapi, wananchi wa pande zote mbili tunataka ufafanuzi wa
> >> Serikali
> >> maana ni haki yetu ya kikatiba kufahamishwa gharama tunazotumia katika
> >> kuiendeshea Serikali yetu kama walipa kodi, ili tufahamu na tulinganishe
> >> na
> >> gharama zilizoainishwa na Tume ya Jaji Warioba kwenye muundo wa Serikali
> >> mbili kwa lengo la kupata ukweli wa hoja hii ya gharama.
> >>
> >> Swali la Tatu;
> >> Awadhi alimuuliza Wassira kwamba, kama mgao wa mapato ndio kikwazo cha
> >> muundo wa Serikali tatu kwamba Zanzibar watadai 50% ya mapato ya
> muungano
> >> kama CCM wanavyotoa hoja, Kwani ni lini Zanzibar ilipewa 50% ya mapato
> >> yote?
> >> Mbona miaka yote Zanzibar inapewa 4% (asilimia nne) ya mapato yote ya
> >> muungano?.
> >>
> >> Swali la Nne;
> >> Kama muungano huu ni wa Nchi moja yenye Serikali mbili, ni kwa nini Rais
> >> wa
> >> Zanzibar ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Serikali ya mapinduzi ya
> >> Zanzibar na ni kwa nini apigiwe mizinga ishirini na moja kama Rais wa
> >> muungano?
> >> Na kama hayo ni ya kweli, ni kwa nini hamtaki kukubali kwamba Tanganyika
> >> ndiyo iliyovaa koti la muungano baada ya Zanzibar kutambuliwa na Katiba
> >> yao
> >> kama Nchi yenye mamlaka kamili?
> >> Pia ni kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi hata kwenye hoja za kweli na
> zenye
> >> ushahidi wa wazi hata inafikia hatua hamtaki kukubali kwamba muungano
> huu
> >> ni wa Nchi mbili zenye Serikali mbili badala ya muungano wa Nchi moja
> >> yenye
> >> Serikali mbili?
> >>
> >> Hapa hakuna muungano bali hiki ni kiini macho, tunaitaka Tanganyika yetu
> >> sasa, na wazanzibar wanaitaka Zanzibar yao huru, maana nusu karne ya
> >> unafiki na uongo wa CCM umefika mwisho sasa.
> >>
> >> Swali la Tano;
> >> Kama mnaukataa muundo wa Serikali tatu, ni kwa nini Katiba hii iliyopo
> >> hivi
> >> sasa ya mwaka 1977 inatambua uwepo wa muundo huo wa Serikali tatu na
> hata
> >> kufikia hatua ya kuwataja mawaziri watatu kwa kila Wizara, ikiwa na
> maana
> >> kwamba, Waziri anayeshughulikia mambo ya muungano kwenye Wizara husika
> >> ndani ya Bunge la muungano, Waziri wa Wizara husika na Waziri
> anayehudumu
> >> kwenye Bunge la wawakilishi Zanzibar?
> >>
> >> Swali la Sita;
> >> Tume zote zilizowahi kuundwa ili kukusanya maoni ya wananchi tangu uhuru
> >> mpaka leo, nikiwa na maana ya Tume ya Jaji Kisanga, Tume ya Jaji
> Nyalali,
> >> kundi la G55 na hii ya sasa chini ya Jaji Warioba, zote zimeleta maoni
> na
> >> mapendekezo ya wananchi yenye muundo wa Serikali tatu.
> >> Licha ya kwamba michakato yote hii ya Katiba mpya tangu enzi hizo mpaka
> >> leo
> >> imekuwa ikiwagharimu walipa kodi wa Taifa hili mabillioni ya Shilingi,
> ni
> >> kwa nini kwa miaka yote hiyo mpaka leo Serikali hii ya CCM mmekuwa
> >> mkiikwepa hoja hii ya msingi inayopaswa kufanyiwa kazi kwa maslahi ya
> >> Taifa
> >> zima.
> >>
> >> Lakini pia, mbona tunazo timu tatu za Taifa za mpira wa miguu?
> >> Kwani Zanzibar Hilloes ni ya wapi kama sio ya Zanzibar?
> >> Kwani Kilimanjaro Stars ni ya wapi kama sio ya Tanganyika?
> >> Kwani Taifa Stars ni ya wapi kama sio Timu ya muungano?
> >>
> >> Kuna hoja gani nyuma ya pazia, inayowafanya muendelee kuifanya Zanzibar
> >> kama koloni la Tanganyika?
> >>
> >> Nusu karne ya uongo ubabe na unafiki wa CCM na vibaraka wao, imefika
> >> mwisho
> >> sasa kwa sababu hiki sio kizazi cha analogia tena bali ni kizazi cha
> >> digital.
> >> Tunautaka ukweli na uwazi katika masuala nyeti na ya msingi kama hili la
> >> kuivua Tanganyika Joho la muungano.
> >>
> >> Mwisho!
> >>
> >> Imeandaliwa na;
> >>
> >> Francis Boniface Garatwa,
> >> Mwanaharakati wa CHADEMA,
> >> Kanda ya Ziwa Mashariki,
> >> Mkoa wa Mara,
> >> Wilaya ya Serengeti.
> >> 28/07/2014.
> >> Email:francisboniface50@gmail.com
> >> 0785881009/0767881009.
> >> *********************
> >>
> >> Naomba kuwasilisha!
> >>
> >> Ahsanteni sana!!!
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >>
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment