Ili kulinda ajira kwa watanzania inatakiwa taasisi husika kuomba kibali cha kuajili mtaalamu kutoka nje ya nchi na hapa mtaalam huyo hupewa residence permit ya kumwezesha kufanya kazi ndani ya nchi. lakini hali ni tofauti hadi najiuliza wizara hii ya kazi inayafahamu haya ama la? Maana siku hizi kuna kampuni toka nchi jirani zinaajiri watu then malipo yote yanafanyika huko nje watu wanaingiziwa pesa tu kwenye account, nchi yetu inakosa kodi na masulufu mengine Kama mifuko ya hifadhi ya jamaii na ukifuatilia kama mzalendo jua kuwa utafukuzwa kazi maana unataka kuwaumbua. wengi ya wanaofanya kazi kwenye makampuni haya wanajua hili. suala
2013/6/30 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Lakini sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu ajira? Kwa nini tuwaruhusu wawekezaji wajiwekee sheria zao wenyewe?
em2013/6/30 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Hili ni jambo la kawaida mara nyingi hao wawekezaji wanataka watu wanaoweza kufanya nao kazi pamoja vizuri zaidi , nadhani hili liwe changamoto kwa Watanzania haswa taasisi za elimu zinazoandaa vijana hawa kwa ajili ya ajira za siku zijazo .
On Sunday, June 30, 2013 7:28:38 PM UTC+3, Magafu GMD wrote:Mimi ni Mtanzania mwenzio. Lakini naamini Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana. Karibu kila mtu amekuwa mwizi. House girl anamwibia mwenye nyumba, bank clerk anaibia benki yake, Afisa Mambo ya Nje anaibia serikali kupitia ziara hewa za Rais, Meneja analibia shirika nk nk. Hakuna tender inayotolewa bila 10%. Hatuaminiki tena.Pili, tuna customer service mbovu. Tunawaona wateja kama wasumbufu japo wanatuletea pesa. Mteja si mfalme Tanzania bali mwenye huduma ama bidhaa ndiye mfalme. Huduma mbaya kila sehemu - ofisini, benki, hospitali, polisi, mahakamani, TRA, kwenye ndege, kwenye daladala, nk.Kwa sifa hizi tutalalamika sana. Mwekezaji gani anataka mtu mwenye sifa hizo aongoze biashara yake? Hata mimi ningetafuta meneja mwenye utaifa tofauti kama naweza.
On Sun, Jun 30, 2013 at 4:13 PM, GEORGE MBOJE <mboje...@gmail.com> wrote:--MNawaza tuKwa mtindo huu wengi wameshaingia nchini pasipo kujulikana na wizara ya kaziNadhani hapa mamlaka zatakiwa kuwa makini vinginevyo watanzania hatakuwa na ajira kamweLook at this criteria for an incumbent required http://tz.3wjobs.com/votIIA.html
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment