Mngonge,
Tatizo kubwa la wasomi wetu si kwamba wanataka kuisaidia nchi bali wanachosema sio wanachokifanya. Tumewaona wengi. JK kawapa nafasi sana katika sehemu nyingi, ikiwa ni pamoja na kuongoza mashirika makubwa, taasisi mbalimbali ambazo kama zingefanya vizuri uchumi wa nchi ungeinuka na hata nafasi za ajira zingetengenezwa kwa ajili ya vijana wetu.
LAKINI, la kushangaza angalia taarifa za CAG kuhusu mashirika hayo, utaona aibu, na kama utateuliwa kuwa msemaji wao utashindwa uanzie wapi. Ninaposema haya na mimi ni mmoja wapo wa hao wasomi japokuwa uelewa wangu wa mambo ni mdogo sana.
Mimi nigeweza kushauri kwamba kwa sasa kila mtu Tanzania ni fisadi, hakuna mwenye haki ya kumnyooshea mwingine kidole. Hata wanafunzi ni shida tu. Subili wapewe boom kwa ajili ya vitabu, havitanunuliwa badala yake wewe unajua ni nini kinanunuliwa.
Njoo kwa wasomi wetu sina haja ya kueleza yote yako wazi. Kwa sasa wanatatufta nafasi ya kisiasa tu. Mchango wao katika nyaja ya elimu zao imepungua sana. Waulize wanafunzi wenyewe utashangaa. Mimi niliwahi kumpigia kelele Mhadhiri mmoja (hapa ukumbini mwaka jana) baada ya kuelezwa na vijana wangu wa kuzaa kuwa hafundishi bali ni siasa na kulalamika tu kipindi chote lakini mitihani anatoa hata ambayo hakufundisha na hakumaliza Silabasi. Lakini bado naye anawalaumu wengine kuwa ni fisadi - kwa kigezo kipi hasa?
Wote tumafisadi kama siyo wa mali basi wa mawazo. Tunahitaji kugeuka nyuma tuangalie wapi tulipoangukia halafu tuanze upya kama taifa. Tukiendelea kutafuta nani mchawi, kutakucha hatujampata.
K.E.M.S.
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 1 July 2013, 18:17
Subject: Re: [wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!

Kunyaranyara uelewe elimu inamfanya mtu ajiamini na kuwa analytical kwa mambo mengi. Kuna mwandishi mmoja anayeitwa Paulo Freire aliandika kitabu juu ya education for consciontization and liberation. Nakuomba ukitafute kwenye mtandao ukisome kitakufungua macho. Kwa madudu yanayofanywa na viongozi wetu si rahisi kwa kijana mwenye elimu ya chuo kikuu akae tu na kunyamaza akifanya hivyo basi fedha iliyomsomesha imepotea bure. Msomi kama huyu anatakiwa kuwasemea wengine ambao hawakupata nafasi hiyo. Usiwachukulie kwamba hawaipendi nchi yao bali ni wajibu wao kukosoa na kukaa kimya ndo kuichukia nchi yao wakiiangalia ikiteketezwa na mafisadi. Kwa lugha nyingine kukaa kimya watakuwa wanawasuport wauaji na wafilisi wa nchi yetu
2013/7/1 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
--Mathias,Ukweli ni kwamba wasomi wetu ndio hawawapendi watawala wetu. Ndio maana wamegeuza Vyuo vikuu kuwa viwanda vya kutengeneza vijana kuchukia nchi yao.Ambacho huenda hawajui (wasomi hawa) ni kwamba watakapogundua (wanafunzi wao) kwamba waliwaandaa kuchukia ndugu zao watawageukiwa wao kwa lawama kubwa inawezekana kukawa na kulipiza kisasi. ... sijui ...." But I am not a Prophet"K.E.M.S.From: Mathias Lyamunda <mathias.lyamunda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 30 June 2013, 9:58
Subject: Re: [wanabidii] Msimamo Mkali Wa Vijana Wa Mlimani ( VI)- Nyerere Aliwaita Wajerumani ' Wamasai Wa Ulaya'!
Maggid Mjengwa,Unataka kupendekeza Obama angekuwa na mhadhara Nkurumah Hall? Watala wa sasa hawawapendi sana wasomi sidhani kama jambo hilo linaweeza kuzingatia! South Afrika Obama alikuwa na Mhadhara Chuo Kikuu Cha Jo'berg!On Jun 30, 2013 9:53 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:--
--
Na Born Again Pagan
Mwalimu alikipenda Chuo Kikuu (Mlimani)! Alipendelea kuwaleta wageni wa taifa hapo Mlimani kukutana na jamii ya Chuo Kikuu na kubadilishana mawazo, kwa mfano. Rais Josip Tito wa Yugoslavia na Indira Gandhi wa India.
Mwalimu Nyerere alivutwa na wanafunzi wa Mlimani, hususan, wana-TYL. Wakati alipopata nafasi, hakusita kuwakaribisha wana-TYL nyumbani kwake Msasani. Nakumbuka siku moja alokoshwa sana na baadhi ya michango kutoka kwa kundi lilikwena kumtembelea alasiri moja ya Jumapili.
Akiwa amejawa na furaha, Mwalimu Nyerere alitamka...nasikia kuwa wakati mwingine mnaacha raha za wikiendi na kumalizia, pengine, "homework" zenu alasiri za Jumatano zisizo na madarasa kusaidia....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/3606-msimamo-mkali-wa-vijana-wa-mlimani-vi-nyerere-aliwaita-wajerumani-wamasai-wa-ulaya.html#.Uc_VgpyNCAg
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment