Inasemekana kwamba jela za Thailand zina watanzania wengi tu na wengiwao ni "punda" wa madawa ya kulevya.
Huko Bangkok kwasababu ya kuwepo kwa viwanda vingi na makampuni ya ujenzi, dawa aina ya "methamphetamine" hupendelewa sana. Baadhi ya vibarua wamekaririwa wakisema hupewa dawa hizo na mabosi wao ili wafanye kazi zaidi.
Adhabu ya juu kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya nchini Thailand ni kufungwa miaka isiyopungua 99.
Hata hivyo, inasikitisha kuona kipaumbele ni "kubadilishana wafungwa" wakati Tanzania haina hata ubalozi wa heshima nchini Thailand na wala Thailand haina ubalozi nchini Tanzania (hata wa heshima basi).
Nimesema inasikitisha kwasababu "serikali" imeona umuhimu wa waTanzania wasiozidi hata 5000 yamkini waliofungwa huko Thailand na kutoona umuhimu wa mamilioni ya waTanzania (wanaohitaji huduma ya ubalozi wa Tanzania chini Thailand - japo ubalozi mdogo wa heshima) kuhangaika na masuala ya visa au mengineyo kwenda Malaysia na Kenya.
On Wed, Jul 31, 2013 at 3:29 AM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Mkataba wa kubadilishana wafungwa na Thailand ukiwekewa saini Ikulu leo. Naona wauza unga wetu waliofungwa Thailand wamepata ukombozi.
em
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment