Ruchard,
Ni vyema ukiandika jina kamili IGP Said Mwema.
Haya majina ya kibantu kazi kweli kweli!
2013/7/29 RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
Jeshi liko imara, tukichokozwa tutajibu. Kumbe huku nyumbani jeshi linafanya kazi ya IGP Mwema? Katiba inaruhusu jeshi kutumika katika matumizi kama ya Mtwara? Haya watu hawataki kujadili, ila wanashabikia kauli za hatari za kupigana na majirani zetu. Kaazi ipo.From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, July 29, 2013 10:43 AM
Subject: [wanabidii] MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO
KONGAMANO LA AMANI UDSM LILILORUSHWA NA ITV LASABABISHA BALAA MTWARA, VIJANA WANNE WATEKWA WAPELEKWA KAMBI NDOGO YA JESHI YA UMOJA KWA MATESO.--
Unaweza usiamini haya yanatokea Tanzania au yanatungwa.
Nimemaliza kuongea na Mashuhuda wanne sasa hivi ambao wao wamenusurika baada ya kuwa mita chache katika eneo la tukio.
Makundi mbalimbali ya wananchi yalikuwa yanafuatilia Kongamano pale Mtwara. Majira ya saa 11 jioni vijana waliokuwa kwenye Grocery iitwayo KWATELELA(Glocery hii inaangaliana na lango KUU la mamlaka ya Bandari Mtwara) walishangilia kwa nguvu kuunga mkono baadhi ya hoja zilizotolewa kwenye kongamano, karibu yao alikuwepo askari jeshi aliyevalia kiraia ila hawakujua hilo.
Kongamano lilipokaribia kuisha, askari jeshi yule aliwatolea bastola na kuwaweka chini ya ulinzi. Alipiga simu kuwaita wenzie na mara gari ya jeshi ilifika. Vijana wanne walichukuliwa muda huohuo na kupelekwa kwenye kambi ndogo ya jeshi ya UMOJA iliyopo Mtwara.
Hadi sasa vijana hao hawajaachiwa, na haijulikani hapo kambini wanafanywaje.
Nimejaribu kumpigia waziri Nchimbi na simu yake inaita tu, IGP pia simu zake zinaita tu, nimejaribu kuwatumia ujumbe mfupi. Nafuatilia pia majina ya vijana hao.
Nchi hii inaelekea mahali kubaya sana, utawala wa sheria na kujali haki za msingi za raia sasa umeshaporwa.
J. Mtatiro.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

0 comments:
Post a Comment