Thursday 29 November 2012

Re: [wanabidii] RISASI TEGETA

Kusema kweli inasikitisha. Ukipita hiyo njia watu wamepanga biashara, magari garage ya barabarani, lorry za kokoto, mchanga hawataki kusogea. Kama unabiashara nzuri, watu watakufuata ulipo na station ya lorries ikijulikana-watakuja tu!! Mbona mtu unajua hiki kinapatikana soko la Buguruni, Tandale, Kariakoo unakifuata? Nini kukaa barabarani kuwa kadhia? ktk maeneo ambayo ujenzi wa barabara budi uendelee bado wanaotupa magunia na viroba, rambo za matakataka ktk mitaro iliyochimbwa kwa ujenzi wa barabara na maeneo mapya ambayo wameshaweka stormwater drainage system wanaendelea kufanya hivyo.

Kama unaifahamu decentralized system ya sasa ya ukusanyaji na uzoaji takataka hakuna sababu ya taka kutokuzolewa au kutupwa usiku barabarani, mitaroni badaya ya jamii yenyewe kuwa organizr kimtaa na kiubalozi, wakapanga jinzi ya kuzoa, kukusanya hela, kumlipa mkandarasi wa kuzoa, kuondoa kero ya taka zao wenyewe. Bado hao waliounganisha vyoo mitaro ya barabara ya zamani wanavyozidi kububujisha uchafu huo ktk njia mpya inayojengwa. Ni kupiga zege yarudie huko ndani kwake maana wengine ni majumba ya biashara badala ya kuita cess pit emptier tankers au vacuum trucks zipo hapo sayansi kutwa zinapiga usingizi anatiririsha na kuathiri jamii fedha anaweka mfukoni. Hata mahoteli mengine makubwa njia za wakubwa huko Msasani na mitaa mingine utaona wameunganisha mabomba kutupa maji majafu mitaroni. Kiwanda cha nguo nacho hata textiles ambayo maji yake ya kemikali ni hatari nao wanamwagia maji mto Msimbazi kigogo na mito mingine. Bado hiyo mifugo ya mijini-nguruwe, ng'ombe, mbuzi vinyesi vya DSM mto ng'ombe kama ulivyobatizwa kwa kubeba mavituz hayo. Muuza chip anashindwa kuchangia uzoaji takataka kwa wiki shs 500 au hoteli kwa mwezi elfu 20,000 duka 5,000/= angalau gari lizoe taka jumatatu na Jumamosi zikiwa ktk chamber au station iliyokubalika na wao wenyewe wanaunda kikundi cha CBO ya vijana na wakubwa watakao kufagia mtaani na kuzoa taka za majumbani kuziweka mahala husika.  huko mbagala.Garage za barabarani, magari mabovu na lorry za mchanga na uuzaji kokoto za huko tegeta zisipoondolewa barabarani mkandarasi atafanyaje kazi yake? Bila ya wananchi au wakazi kuwa na nidhamu ya namna fulani hatutofika katika maendeleo yetu wenyewe. Nchi nyingine jirani wala huoni hayo magulio ya mbao, malori garage n.k lazima uzungushie uzio wa mbao au ukuta usionyeshe uchafu na mauzo yako ya makorokjoro, mbao etc. Hapa kwetu, na amani, elimu, uhuru wa kujiajiri  etc- ni pa ajabu kiusafi na nidhamu ya maadili yatakiwayo ktk mipango miji, vijiji na usafi wa mazingira kwa afya zetu wenyewe. Watu hugomea vitu obvious vinavyohitaji ushiorikiano na usafi wao. Ila kumvua maiti nguo na kuibia waliopata ajali -Excellent!!

--- On Thu, 29/11/12, deuce cadico <dcadico@gmail.com> wrote:

From: deuce cadico <dcadico@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RISASI TEGETA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 29 November, 2012, 12:08

hapakuwa na za machozi au wako haraka haraka sana.

On Nov 29, 2012 11:43 AM, "samson charles" <samchaz307@gmail.com> wrote:
Breaking News:Polisi wamelazimika kutumia risasi za moto na mabomu ya machozi ili kuyaondoa magari yaliyoegeshwa katika barabara inayoendelea kujengwa eneo la Tegeta

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment