Friday 30 November 2012

Re: [wanabidii] M4C inachangisha kwa ajili ya nini

Joe,

Tatizo lako una akili sana! Hivi ni kweli, "not yet uhuru" ilimaanisha unachokisema au kuna maana tofauti Mo?

Ukumbuke pia akili nyingi huunguza fuse! Haaaaa!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: josephludovick@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Nov 2012 17:34:14 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] M4C inachangisha kwa ajili ya nini

Tony P si unajua maana ya not yet uhuru? Uhuru upi sasa unaongelea wakati watu tupo tunapigania uhuru ambao akina Tony P na chama chenu mmetupokonya? Swali ulilouliza liko obvious kama ksema tanzania iko Afrika?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Nov 2012 17:22:30 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] M4C inachangisha kwa ajili ya nini

Emma,

Tanu ilichangisha ili uwe huru na kuweza kuwa na sauti! Uhuru ndio umekufanya leo kujidadavua na uhuru wa kinywa (uhuru wa kujieleza). Tanu unaifananisha na m4c?
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Nov 2012 11:23:19 -0500
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] M4C inachangisha kwa ajili ya nini

Hivi, enzi za TANU tulikuwa tunachangisha kwa ajili ya nini?
em

2012/11/30 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Na Mwanakijiji

Haya maswali yanatakiwa pia kujibiwa kwa kadiri harakati za M4C
zinavyozidi kupamba moto. Ni muhimu kuyajibu ili kuonesha uwajibikaji,
uwazi, na umakini.

a. M4C inachangisha fedha kwa ajili ya nini?
b. Kiasi gani cha fedha kinachokusanywa kinabakia katika maeneo husika
(Mwanza in this case; kanda ya ziwa) - it has to be by percentage.
c. Hadi harakati hizi zilipoanza ni kiasi gani kimepatikana na kiasi
gani kimeshatumika kufikia lengo la (a)?
d. Nani anasimamia fedha za M4C?

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/361583-m4c-inachangisha-kwa-ajili-ya-nini%3B-kiasi-gani-kimepatikana-hadi-hivi-sasa.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment