Dr. Kafumu,
Naomba ninukuu: "Ri hard hayo ndiyo madhara ya kushupalia m4c inayohamasishwa na mabeberu, bila kuona mbele, kila aina ya sababu fitinishi hutolewa juu ya utawala uliopo kumbe ni ukoloni mamboleo unaolenga kupata nafasi ya kuchuma mali za mataifa machanga. Tujiangalie watanzania na demokrasia hii fitishi ya kimagharibi."
Katika maelezo yako hapo juu sijaona neno 'Libya'. Halafu katika sehemu ya mwisho unasema: "Tujiangalie watanzania na demokrasia hii fitishi ya kimagharibi." Hapa umehusisha na Tanzania, ndio maana niliomba kupata ufafanuzi kutoka kwako. Na pia Dr, haya ni majadiliano tu na kupanuana mawazo wala si ugomvi na wala sikulazimishi. Ninavyokuona Dr. umekosa utamaduni kabisa wa kujadiliana na kupingana kwa hoja. Haya ni mjadailiano tu na wala usiyapeleke huko unapotaka kuyapeleka. Mimi sina uwezo kabisa wa kukulazamisha. Ni hiari yako kujibu hoja au la. Ila inanishangaza sana msomi wa kiwango kama chako anapokuwa na attitude kama hizi za kuogopa mijadala na kuona kama ni ugomvi. Katika mijdala kama hii ndio tunapanuana mawazo na fikra na pia ndipo unaposikia fikra mbadala. Nafikiri haya ndio makovu ya mfumo wa chama kimoja. Kasumba ya chama kimoja, kuogopa mijadala.
Leo hii nilikuwa nasoma makala ya Makwai wa kuhenga anasema Tanzania, a national without airline!! nikajiuliza hivi ni nani walioua shirika letu la ndege? ni Mabeberu? au ni sisi wenyewe? nakumbuka enzi za mkapa, alimuona kila mtu mjinga, ila ni yeye tu mwenye akili. Akabinafsisha na kuuza kila kitu. Mpaka kiwanda cha Kiwira. Leo hii viwanda vyote alivyojenga Hayati Baba wa Taifa vimekufa na kuuzwa. Hivi ni nani waliofanya hivi ka sio sisi wenyewe? tumeua reli na kila kitu. Lisy ni ndefu sana.
Huu ni mjadala tu.
Selemani
Date: Thu, 29 Nov 2012 04:42:12 -0800
From: kafumu@yahoo.com
Subject: RE: [wanabidii] JE KAZI YA MAWAZIRI KUJEINGA CCM
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Selemani Samahani kwa yote. Kwanza kabla hujanilazimisha kujibu hoja naomba nitoe maelezo yafuatayo. Mimi sikuwa nazungumzia m4c ya Chadema, nilikuwa nazungumzia m4c ya Libya. When the Libyan war began in Bengazi wapinaji waliita movement yao m4c and helped by the iperialist NATO osted Gaddafi. Naumaini maelezo yangu haya yatatosheleza vinginevyo naomba usinilazimishe kujibu hoja zako kwa mwelekeo huo. Samahani Ngw'izukulushilinde --- On Thu, 11/29/12, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment