Friday 30 November 2012

Re: [wanabidii] Re: SEREKALI YA CCM INATAKA KUWAFUNGA MIDOMO WATANZANIA

Sasa tony P mbona umeanza na mguu mbaya.yaani CCM RIP in advance watumi TBC kana kwamba ni gazeti la uhuru eti vyama vingine si vitumie vyombo vinavyobaki? Hii ni mantiki ya ajabu kabisa.TBC ni mali ya wote inapaswa kuwa fair kwa wote.Tido alijaribu mkamfyekelea mbali
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Nov 2012 16:53:50
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: SEREKALI YA CCM INATAKA KUWAFUNGA MIDOMO WATANZANIA

Mngonge,

Kuanzia January nao TBC wataonekana kwenye ving'amuzi vingine vyote kulingana na taarifa ya TCRA.

Tungesubiri kwanza tuone full digitalization imalizike ndio uweze kulalamika. Channel ya TBC kama haionyeshi vyama vingine si hizo nyingine zitaonyesha? Kama haitaonyesha sasa unalalamikia kitu gani wakati hizo nyingine zitakuwapo? Sijawaeleweni maana mnachanganya maneno.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 30 Nov 2012 19:26:54
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: SEREKALI YA CCM INATAKA KUWAFUNGA MIDOMO WATANZANIA

Mantiki ya anacholalamikia Lengai ipo na ni pale TV ya serikali (TBC)
inapokuwa mpiga debe wa CCM badala ya serikali. Mambo yanayohusu vyama
vya siasa yapewe nafasi sawa kwa vyama vyote kwa sababu TBC inaonekana
nchi nzima kwa kutumia antenna za kawaida lakini channel nyingine
hazionekani. TBC haikughalimiwa na CCM bali walalahoi wote wa nji hii.
Serikali ikivaa kombati na kofia za CCM ipewe nafasi sawa na vyama
vingine.

Ili limekuwa tatizo la kimtazamo viongozi wa serikali wanapotembelea
wananchi kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo waache tabia ya kutumia
nafasi hiyo kuongea habari za CCM wauweke mbele utanzania. TCRA kama
kweli ni chombo cha serikali na kiko fair kwa kuendesha mambo yake
kisimamie balance hiyo tofauti na hapo channel zote ziruhusiwe
kuonekana nchi nzima kama ilivyo TBC.

2012/11/30 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>:
>
>
> Kwa mtizamo kama huu bado kuna safari ndefu ya kufikia uelewa wa kuwasaidia watanzania. Kama mtu mwenye uwezo wa kutumia mtandao kama hivi halafu unakuwa mbumbumbu wa mambo kiasi hiki. Nakushauri utafute habari zaidi kuhusu mchango wako uilioutoa hapa la sivyo wengi tutaendelea kukushangaa kaka Lengai.
>
> KEMS
>
>
> ------------------------------
> On Fri, Nov 30, 2012 07:14 GMT LENGAI OLDOINYO wrote:
>
>>
>>
>>Serekali
>>ya Tanzania
>>pamoja na kutaka kuingia kwenye mtandao wa DIGITAL na kutoka kwenye ANALOG
>>lakini nimekuja kugundua kuwa wanafanya njama na TCRA ili kuwafunge midomo
>>Watanzania ili wasione haya matangazo ya Television kwa aijili ya uchaguzi
>>2015. CCM na Serekali yake inatia aibu sana.
>>Baada ya kuboronga kwenye utawala wake sasa inajaribu kila njia Watanzania
>>wasione matangazo ya Kampeni za vyama vya Siasa (CCM wanaviita vya upinzani) Tanzania vinavyotaka
>>kumkomboa Mtanzania.
>>
>>
>>
>>CCM
>>imeshaona kuwa vyama vya upinzani vinapata nguvu kwa kupita kila mahali
>>kuwaelezea Watanzania mambo wanayofanyiwa, hivyo huo ndio ujanja waliouona
>>wautumie kwa kuwa wanajua Watanzania wengi hawataweza kununua vingamuzi na
>>pengine kushindwa kulipia malipo ya kila mwezi. Huu ni ufisadi wa hali ya juu
>>na Watanzania mnatakiwa mlijue hilo na kuhakikisha mnalipinga kwa hali na mali
>>labda wakubali na channel zingine nazo ziwe bure kama Star TV, ITV Channel 10,
>>nk. Kwa nini Channel ya bure kwenye matangazo haya iwe ni TBC peke yake. Hii
>>inatia mashaka kwani TBC imekuwa ikitoa matangazo yake kwa kulenga zaidi chama
>>tawala cha CCM. Janja yenu nyie CCM na TCRA tumeigundua. Hatukatai Watanzania
>>kwenda na wakati lakini kama hamna nia mbaya
>>basi hata channel za watu binafsi ziwe bure. Alafu wacha nichomekee swala la
>>pesa. Ondoone mapesa yenu ya kifisadi kwenye mzunguko wa pesa. Tunataka kutumia
>>fedha zetu za zamani. Hizi sio fedha ni kero.
>>
>>Mkereketwa,
>>
>>Lengai
>>Ole Letipipi
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment