Wednesday, 31 October 2012

Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

Muganda, Emanuel

Nakushauri kuwa makini katika ubebaji wa mizigo kama hii, kuna siku utabeba gunia limejaa misumari halafu itakuumiza mwenyewe. Waachie wenyewe kama wanao uwezo wa kubeba mizigo yao kama hii wabebe. This is rubbish.

K.E.M.S.

From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 31 October 2012, 22:41
Subject: Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

Upumbavu kama huu siyo wa kuleta humu. Aliyeandika hii orodha ni muhuni maana hata kifupi cha hayo mashirika ya Kijasusi anayodai eti yamesaidia hakiandikiwi hivyo.

Lakini siyo hilo tu, nadhani huyu jamaa kadandia stori kama ilivyo kawaida ya wabongo. Nadhani posting kama hizi ziwe zinahakikiwa kabla ya kuletwa humu.

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 31, 2012 9:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

EM

Ujinga mtupu!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 31 Oct 2012 14:01:34 -0400
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

Wanabidii, mmeiona hii? Kuna mtu aliniomba orodha nimeiona mahali:
em

WALIO WEKA MAMILION USWISS HAWA HAPA

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nc
hi na wanaoingiza fedha haramu nchini.

Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-
China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.

Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;

Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.

Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment