umesema ukweli
On 10/31/12, Markus Honorius <lundunyasa@yahoo.com> wrote:
> Abdallah Hamis,Jitahidi kuwa na heshima. Kwa jina lako la kiislamu najiuliza
> why are always shouting about christianity/Roman Catholic? Mnafundishwa nini
> katika misikiti yetu? Stpo crying, stop blaiming. rekebisheni nyumba zenu,
> nendeni shule, the go and read again.
> 1. JE, ulichoandika hapa na matamshi ya Dr Slaa yanahusiana vipi na kanisa
> katoliki?2. je iliidhinishwa na Ridhiwani Kikwete huu utetezi wako?3. Wewe
> ndio Ridhiwani Kikwete hadi usemee? U nani mpaka uzijua ratiba za Ridhiwani
> Kikwete au yeye hawezi kuzungumzia?4. kwamba Ridhiwani ninayemafamua amekuwa
> kipofu au bubu siku hizi, haongei au hajui kuwa nini madhara ya
> kilichosemwa?5. Wewe ndio mtengeneza ratiba za Rais Kikwete, je unajua
> ratiba yake ya kupenga kamasi au kukohoa? Unaijua ratiba yake ya kwenda
> maliwato?6. Abdallah Hamis, acha utoto, rudi kasome histoaria asili ya
> wmanadamu nini sio dini ya ukristo au uislamu. nafssi ya mtu haina dini.
> Jielimishe tena.7. Ndoa ya Dr Slaa inahusikaje na hoja unayozungumzia hapa?
> wangapia wanaishi na vimada(sina uhakika kama unajua kiswahili maana sijui
> VIMANDA ndii kitu gani kwako.8 USHAURI suala kama hili huhitajiki kutukana
> au kukejeli. Ridhiwani ni mtu mzima, anaelewa siasa ni kitu gani. Ni vema
> ungempa nafasi
> azungumzie, ili kuondoa uzushi. Unajua wakati mwingine akili zetu
> tunaziumiza kwa ghadhabu kwa mambo ambayo hayapaswi kuwekewa ghadhabu. najua
> kama ni uongo basi ilitakiwa kusema kibinadamu na kumsuta Dr Slaa.
> Haipendezi watu wazima tunapoongelea jambo tunatanguliza KEJELI ili
> kumshinda mshindani. Nadhani tunaweza kumsuta Dr slaa kwa heshima, ambavyo
> NINAVYOKUHESHIMU HAPA.
> JIFUNZE: WHY ARE JEWS SO POWERFUL AND MUSLIM SO POWERLESS? Mwanazuoni DR
> FARRUKH SALEEM wa IDARA YA ULINZI YA PAKISTANI ANATUFUNDISHA MENGI. NENDA
> GOOGLE, ISOME, TAFAKARI kwanini nimesema stop shouting(sababu umedokeza
> kulihusisha kanisa katoliki na dini ya ukristo).
> MUHIMU JITAHIDI TU KUWA NAHESHIMA HOJA YAKO ITASIKILIZWA muungwana ni
> kitendo.
> Markus Honorius MpangalaDSM.
> --- On Mon, 10/29/12, Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com> wrote:
>
> From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA MADAWA
> YA KULEVYA CHINA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, October 29, 2012, 5:22 AM
>
> Inawezekana Abdalah, kwenye maeneo fulani ya kumtetea Rais na Ridhiwan
> alikuwa na hoja kwa maana ya kutoa uthibitisho wa kuwa habari hiyo si ya
> kweli lakini mfumo wake wa uandishi na chuki zake binafsi dhidi ya Dr. Slaa,
> vinaleta kinyaa unapoisoma. Maana imeandikwa kwa lugha za mipasho, lugha za
> mitaani ambazo si rahisi mtu makini na mwenye hoja makini anaweza
> kuitumia. Utetezi wa Abdalah kama ilivyo kwa aliyeileta hoja unaweza kuwa ni
> wa uwongo au ni wa kweli kwa kuwa hakuna uthibitisho unaoilinda habari
> yenyewe au utetezi. Kusema kwamba Ridhiwani hajawahi kufika Hong Kong au
> amewahi kufika, sioni kama kuna mahali kuna uthibitisho wowote maana mtu
> yeyote awe amewahi kufika au hajawahi kufika anaweza pia kutamka hivyo. Kwa
> hiyo riwaya ya Abdalah haina nguvu ya utetezi
> licha ya kuonesha kuwa ana ratiba zote za matembezi ya Rais na Balozi wa
> Tanzania nchini China, alistahili kwenda mbali zaidi hapo. Kumshambulia Dr.
> Slaa kwa lugha ya kejeli na matusi nayo ni upungufu mkubwa wa umakini
> wa Abdalah. Ifahamike kuwa Dr. Slaa siyo chanzo cha habari hii. Hii habari
> imeonekana katika mitandao mingi, kama siyo ya kweli, basi Dr. Slaa angeweza
> kushutumiwa kwa kutoifanyia utafiti kabla ya kuitamka kwenye mkutano. Ukiwa
> katika nafasi fulani muhimu katika jamii, mara nyingi unaletewa
> habari/taarifa, zinaweza kuwa si sahihi au zinaweza kuwa sahihi. Habari
> ambayo kiongozi aliyeletewa isipokuwa sahihi, si sahihi kumtwisha kiongozi
> tabia ya uwongo au uzushi. Abdalah, kama una kumbukumbu ya kiasi fulani,
> unaweza kukumbuka ni mara ngapi ambapo serikali na Rais wamewahi kutoa
> taarifa zisizo za kweli? Ni mara ngapi umewahi
> kusikia serikali au baadhi ya viongozi wa serikali wakieleza kuwa 'Mh. Rais
> alipotoshwa na watendaji wake'?. Hivi unakumbuka wakati Dr. Slaa
> alipoongelea wizi wa EPA, serikali, Rais na viongozi waandamizi wa serikali
> walijibu nini? Kati ya Rais, Dr. Slaa na viongozi wengine ndani ya serikali,
> nani alikuwa mkweli? Je, kwa tukio hilo tu moja la kuukataa ukweli wa kashfa
> ya EPA, tuna uhalali wa kumsema Rais, serikali na viongozi waandamizi kuwa
> ni mabingwa wa kuzua mambo au waongo? Nijuavyo mimi, ukiwa kiongozi wa ngazi
> ya juu kama Rais au Dr. Slaa, habari nyingi unaletewa, kujua kama ni sahihi
> au siyo sahihi, itategemea sana vyombo vyako vya uchunguzi wa
> taarifa. Abdalah, pia umekosa sana hekima kwa kutaka kuhusisha kauli ya Dr.
> Slaa na umakini wa ukristo na kanisa Katoliki. Dr. Slaa ni mtu, kanisa ni
> taasisi, seminari ni shule za kulelea wanafunzi na kuwapa mafunzo ya elimu.
> Kwenye hili sijui
> niseme nini lakini kwa vile si mwumini wa hoja za kidini, sioni busara ya
> kuendelea nalo. Bart
> From: Charles Misango <misangocharles@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent:
> Monday, October 29, 2012 1:31 PM
> Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA MADAWA
> YA KULEVYA CHINA
>
> Mtu
> kama Slaa – mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi
> kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya
> mfumo huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC)
>
> Haya ni maneno ya Abdallah aliyoyaandika katika ufafanuzi wake juu ya jambo
> hili. Hivi Kanisa Katoliki linaingizwaje katika suala hili? Yaani watanzania
> tumefikia kuwa na mawazo ya chuki za dini kiasi hicho!
>
> Slaa ama mtu yeyote akikosa ahukumiwe kivyake hata kama alikuwa na cheo
> kikubwa kuliko vyote ndani ya dini yake. Abdallah futa kauli hii MARA MOJA!
>
>
> --- On Mon, 10/29/12, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA MADAWA
> YA KULEVYA CHINA
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Monday, October 29, 2012, 9:57 AM
>
> Bariki, Kuna mantiki.
> Aliyeandika ripoti hiyo amejitaja kuwa
> alikuwemo kwenye msafara. Na kama alikuwemo basi lazima awe afisa
> mwandamizi Ikulu aka usalama wa taifa. Sijui Slaa amehusishwaje na ripoti
> hii. em
> 2012/10/29 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
> Mimi sioni mantiki ya kuhusisha kilichoandikwa na Afisa Mwandamisi wa
> Usalama wa Taifa. Jambo la msingi ni kupata maelezo ya Dkt Slaa kama yapo
> kwani aliyeandika anaweza kuwa hata ni mwendawazimu tu wala sio mtumishi wa
> Serikali.
>
>
> 2012/10/29 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>
> Abdallah,
> Kabla ya kumhukumu Dr. Slaa nakushauri uangalie uwezekano kwamba hii story
> kama imetungwa, basi imetungwa na afisa mwandamizi katika idara ya usalama
> wa taifa. Hapo ndipo ninaona kuna tatizo. Ndio maana nimeuliza katika
> bandiko
>
>
>
> langu la awali, watu wenye akili watujulishe, ilikuwaje wakati Ikulu
> inaungua, kilichochukuliwa ni mafaili kuhusu biashara za Mkapa ambayo
> yalikuja kutumiwa na Kikwete na Rostum kumshinikiza Mkapa ampitishe Kikwete
> mwaka 2005. The problem is bigger than shutuma zako kuhusu uwongo wa
> Mheshimiwa Slaa.
>
>
>
> em2012/10/29 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>
>
> Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi
>
>
>
>
> WAHENGA
> waliamini kuwa tabia na hulka ya binadamu haibadiliki hata akiwa na
> umri mkubwa kiasi gani. Chukulia mfano wa Katibu Mkuu wa Chama cha
> Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Wilbroad Slaa. Huyu kwa umri
> wake, kwa asili yake ya kupitia mifumo ya dini ya Kikristo madhehebu ya
> Kikatoliki, asingekuwa mtu wa kutunga, kusema na kuwaaminisha watu
> ukweli. Huyo ni mtu ambaye alikuwa padre, kiongozi mkubwa wa kiroho.
> Usingemtegemea kabisa kutunga na kuwaambia watu uongo. Kwa hakika, tabia
> yake hiiya kutunga na kusema uongo inazua maswali kuhusu mfumo mzima wa
> kulea watoto katika Seminari na kufundisha mapadre katika Kanisa hili.
>
>
>
>
> Mtu
> kama Slaa – mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi
> kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya
> mfumo huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC). Nasema
> haheshimu watu kwa sababu mtu anayetaka watu wamchangue awaongoze,
> hawezi tena kushiriki katika tabia ya kuwadanganya na kuwafanya
> wapumbavu. Lakini Bwana Salaa hili halimnyimi usingizi. Majuzi, Ijumaa,
> kule Sikonge, Tabora amezua na kutunga jipya. Amedai kuwa Julai 2, mwaka
> huu, 2012, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya
> Mrisho Kikwete alisafiri kwenda Hong Kong kumwokoa mtoto wake wa kiume,
> Ridhiwani Kikwete ambaye anadaiwa kuwa alikuwa amekamatwa na mihadarati
> siku moja kabla, yaani Julai Mosi.
>
>
>
>
> Huu ni uongo wa dhahiri kwa sababu ratiba ya Mhe. Rais Kikwete katika siku
> hizo anazozitaja Slaa iko wazi.
>
>
>
> Julai
> Mosi, akitumia Ndege ya Rais, alisafiri kwenda Rwanda ambako
> alihudhuria Sherehe za Miaka 50 ya nchi hiyo na akalala mjini Kigali.
> Julai 2 alisafiri kwenda Bujumbura kuhudhuria Sherehe za Miaka 50 ya
> Burundi. Alirejea Dar es Salaam Julai 3 na Julai 4 alikutana na ujumbe
> wa Kampuni ya IBM na Mjumbe Maalum kutoka Zimbabwe. Julai 5, alikwenda
> Dodoma ambako aliendesha Kikao cha Baraza la Mawaziri na kurejea Dar es
> Salaam siku hiyo hiyo. Sasa alikwenda Hong Kong lini? Ama alikuwa
> Burundi na Hong Kong siku hiyo hiyo? Slaa anadai pia kuwa alipowasili
> Hong Kong, Mheshimiwa Rais Kikwete alipokelewa na Balozi wa Tanzania
> nchini China, Mheshimiwa Philip Marmo ambaye alimpeleka kwenye mkutano
> na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Hu Jintao. Huu ni uongo
> mwingine wa dhahiri na ambayo sijui unamsaidia nini Slaa. Slaa anasema
> uongo kuhusu Balozi Marmo kwa sababu ratiba ya Mheshimiwa Marmo kwa siku
> sita za mwezi Julai nayo iko wazi na siyo kificho.
>
>
>
>
> Kwanza,
> Ubalozi wa Tanzania katika China hauko Hong Kong bali uko mjini Beijing
> na Mheshimiwa Marmo hajawahi hata kufika Hong Kong. Taarifa kutoka Hong
> Kong amekuwa anazipata kutoka kwa Balozi Mdogo wa heshima wa Tanzania
> Mheshimiwa Clement Chan. Hata juzi, Ijumaa, Oktoba 26, Balozi Marmo
> alikutana na Bwana Clement Chan. Balozi Marmo anapanga kutembelea Hong
> Kong kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwezi ujao, Novemba, 2012. Angalia
> ratiba ya Mheshimiwa Marmo katika wiki ya kwanza ya mwezi Julai mwaka
> huu:
>
>
>
>
> Julai
> Mosi, Balozi Mamro alikuwa ofisini Beijing. Julai 2, Balozi alihudhuria
> Sherehe za Siku ya Mongolia mchana na usiku alihudhuria Sherehe za Siku
> ya Djibouti kwenye Hoteli ya Lengedane mjini Beijing. Siku nzima ya
> Julai 3 alishiriki katika warsha ya Kampuni ya China Chemicals
> Techonologies Group ambayo inataka kufungua viwanda cha madawa na
> mbolea nchini Tanzania. Asubuhi ya Julai 4, Balozi Marmo alikutana na
> ujumbe wa Kampuni ya Sichaun Honda Group inayowekeza katika miradi ya
> Mchuchuma na Liganga na jioni ya siku hiyo alikutana na ujumbe wa
> Kampuni ya Mawasiliano ya ZTE. Julai 5, Balozi alihudhuria Sherehe za
> Siku ya Venezuala Day na Julai 6 alijiunga na Mabalozi wa Nchi za Jumuia
> ya Afrika Mashariki katika mkutano wa Forum on Trade na Cooperation na
> jioni alihudhuria Sherehe za Rwanda Day. Sasa, Balozi Marmo alikwenda
> lini Hong Kong kumpokea Mheshimiwa Rais kama siyo uongo?
>
>
>
>
> Katika
> siku zinazotajwa, Bwana Ridhiwan alikuwa Dar es salaam muda wote. Kwa
> hakika, Ridhiwan hajapata kufika Hong Kong ama China katika maisha yake
> yote. Nchi pekee inayokaribia China ambayo amewahi kuitembelea ni Dubai
> kwa sababu hata India hajapata kufika. Ratiba hizi za Mhe. Rais na
> Mheshimiwa Marmo na ukweli kuwa Ridhiwan hajapata hata kufika China ama
> Hong Kong ni ushahidi usiopingika kuwa Mzee Slaa kwa mara nyingine
> ametunga, yeye amekuwa bingwa wa goofing. Huyu ni mtu anayezeeka vibaya.
> Tunaamini kuwa ameanza kuchanganyikiwa pengine kwa kuzidiwa na jukumu
> ya kulea mtoto-mjukuu na kumtunza mchumba Bi Josephine ambaye wanaishi
> kama vimanda kwa sababu huyo mama bado anayo ndoa halali. Pole sana Mzee
> Slaa kama Josephine na mwanae amekushinda mrudishie mwenye mali yake.
>
>
>
> --
>
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
>
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
>
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> -- Bariki G. Mwasaga, P.O. Box 3021, Dar es Salaam, Tanzania+255 754 812 387
>
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment