Tuesday, 30 October 2012

Re: [wanabidii] Fuel crissis in Dar

Pole sana mkuu,
 
Wakati twasubiri hayo majibu ya hao uliowaita wadau naomba nikwambie kuwa MIMI NA WEWE ni wadau wakuu. Tunavuna tulichopanda (Kukuza taifa la watu wasiowajibika na wasiopenda kuwawajibisha wengine) Kwangu mimi naona kukosekana kwa mafuta ni uzembe mkubwa sana kwa watendaji husika kama tungekuwa tumejijengea hulka ya kuwajibika na kuwajibisha uzembe huu usingetokea kamwe!!
 
Gonga chini wote wanaohusika... ingewezekana hata sisi raia tungejipiga chini kwani hatuna maana kabisaaa....

Regards,

Mugittu, Zephaniah,

Cell: +255 784 769 481

Skype: Zephaniah N.N. Mugittu

No matter how high one is talented , business acumen still a necessity

"Poverty is a result of attitude ..."

--- On Mon, 29/10/12, lucsyo@gmail.com <lucsyo@gmail.com> wrote:

From: lucsyo@gmail.com <lucsyo@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Fuel crissis in Dar
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 29 October, 2012, 17:23

Wadau;

Wadau wa sekta hii ya nishati tuwekeni wazi tujue kama kuna tatizo la mafuta nchini; au ni janja ya wafanyabiashara ya kuficha bidhaa hii ili wananchi tuteseke??; Nimekwenda zaidi ya vituo 10 vya mafuta nikisaka bidhaa hii; sijui tatizo ni nini jmn; wenye taarifa mtujuze, hapa nilipo sina hata chembe ya mafuta ya petrol
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment