Monday, 29 October 2012

Re: [wanabidii] UJINGA WA OIC NA MAHAKAMA YA KADHI


-----Original Message-----
From: Hosea Ndaki
Sent: 10/29/2012 4:20:50 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UJINGA WA OIC NA MAHAKAMA YA KADHI
Kwani lazima OIC kwanini wasifikirie kujiunga ISESCO ambayo sharti kuu lazima usiwe mwanachama wa OIC na ziko faida lukuki kwa waislam, au mwenzetu yuko ka ngiri akielekea huku basi hageuki hata kama anaingia kichakani twende tu.

2012/10/29 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>

kama kuna kikubwa watanzania wanapaswa kuheshimiana,ni masuala yahusuyo imani.Na jambo hili limejidhihirisha hivi karibuni baada ya kuona mambo ambayo yamedhania madogo yamegeuka na kuwa makubwa sana.Masuala ya imani ni magumu na siri yake ni mhusika mwenyewe. Sasa,kuhust suala la Taz kujiunga na Oic,wenzetu waislam watuelewe kuwa,moja ya kipengele cha kulaani taifa la israel na kutotambua uwepo wake ktk ramani ya dunia kinatufunga wakristo.Kukubali Tz ijiunge na Oic kwetu  wakristo ni sawa na kufuru kubwa.Na kama mjuavyo,kufuru ni jambo zito ni heri kufa ndivyo ilivyo kwetu.Jamani,hatueleweki?Ngupula Godfrey



------------------------------
On Mon, Oct 29, 2012 4:30 PM EET Said Issa wrote:

>>Tusiite wazo la wenzetu ujinga. 
>
>Kaka waambie kuwa wao ndio wajinga!
>
>>Kwa nini tusipekue kwanza?
>
>Hapo kaka umeusema ukweli, kwasababu wengine wanadhania kuwa OIC kazi yake ni kutoa misaada tu. Kazi yake kubwa ipo hapo hapo kwenye jina lake - yaani COOPERATION - with capital letters and not misaada. This is the largest inter-governmental organization in the world today second only to the United Nations. Everything today is business - running a country is a big business. Hivyo kukaa pamoja kwenye mkusanyiko mkubwa kama huo hatujui faida zake? Huu ni Umoja wa nchi 57 sasa kama kazi yake ni kutoa misaada tu, sasa hio misaada atapewa nani na ataachwa nani? Kama Tanzania inataka kuingia kwasababu ya ombaomba ya misaada halafu pesa zimalizikie Switzerland basi bora isiingie maanake hizo pesa kwa sasa hazipo. 
>Mozambique ilipopataa maafa makubwa ya mafuriko ile 2000, OIC ndio ilikuwa ya mwanzo kuwafikia. Misaada sio nia kubwa ya OIC though that is one of their aims under their Charter. Nia yao kubwa ni "to enhance and consolidate the bonds of fraternity and solidarity among the Member States" - sasa kama mtu anasema huu ni ujinga basi ni mjinga yeye!
>
>
>...bin Issa.
>
>
>________________________________
> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>Sent: Monday, October 29, 2012 1:37:32 AM
>Subject: RE: [wanabidii] UJINGA WA OIC NA MAHAKAMA YA KADHI
>
>
>
>Jamani Watanzania wenzangu,

>Tusiite wazo la wenzetu ujinga.

>Watanzania tumejijengea tabia ya kwua ombaomba na hoja ya OIC ilianzia Zanzibar kwa madai kwamba kuna misaada ingawa hakuna aliyekwishachambua hiyo misaada kama kweli ina uzito wowote. Ninachojua mimi ni kwamba siku moja OIC ilifanya mkutano wake mwaka 2008 nchini Senegal na ukazua kashfa ya wizi wa hela na Senegal iliumia sana kwenye kuandaa mkutano. Nchi wanachama ni nyingi mno na karibu zote ni maskini na zinayategemea mataifa yaliyomo kwenye The Arab League ambayo nayo ina maslahi yake. Mbaya zaidi matajiri wa OIC ndio hao hao wanaoibeba hiyo ya Waarabu lakini mbaya mbaya mbaya zaidi ni kwamba matajiri wa hiyo ya Waarabu wana maslahi mengine kwenye Umoja wa Ghuba ambako kuna maskini wa kusaidia pia tena kwa mabilioni.

>Sielewi hiyo misaada itatoka wapi? Hivi, Msumbiji inaweza kutuonesha faida iliyokwishapata? Uganda je? Kodivaa je? Kameruni je? Ukweli ni kwamba OIC hakuna misaada kama wengi wanavyodhani; misaada imo kwenye akili zetu na nguvu zetu. Mungu alishatupa, hii tabia ya kuombaomba tuache kabisa!

>Lakini zaidi ya hapo, kama OIC ina sifa zisizokuwa na mgogoro, tuingie kila mtu afurahi. Kwa nini tusipekue kwanza?


>Matinyi.

>
>
>________________________________
>Date: Sun, 28 Oct 2012 22:15:07 -0700
>From: jrtuvana@yahoo.com
>Subject: [wanabidii] UJINGA WA OIC NA MAHAKAMA YA KADHI
>To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>UJINGA MTUPU KAMA KUNA MTU ANATAKA KUJIUNGA NA OIC AANZE KUUNGA MKONO HOJA YA URAIA WA NCHI MBILI TANZANIA, ILI IKIPITA HIYO NA KUWA SHERIA WAKAHAMIE NCHI YOYOTE DUNIANI ILIYO MWANACHAMA WA OIC WAKAKAE HUKO, KWENYE NCHI YOYOTE  YENYE UANACHAMA WA OIC, SIO KULAZIMISHA NCHI NZIMA YA TANZANIA KUWA MWANACHAMA WA OIC AU KUNDI FLANI KUTAKA TANZANIA NZIMA KUWA WANACHAMA WA OIC? NA OIC NI NINI? 
>
>HIVI UNATEGEMEA NCHI MOJA MIRENGO MIWILI YA SHERIA INAWEZEKANA WAPI? NIKUTOKUWA NA FIKIRA NDIO KUNA LETA YOTE HAYO
>.
>IKIANZA MAHAKAMA YA KADHI, BASI PIA MAHAKAMA YA KIRUMI IWEPO, sbb taratibu za usimamizi wa sheria wa tanzania utakuwa hauna maana tena.
>
>
>A SPADE CALL IT BY ITS NAME, NOT A BIG SPOON
>
>
>________________________________
> From: Ellay Mnyamoga <mnyamoga@live.com>
>To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>; "ngupula@yahoo.co.uk " <ngupula@yahoo.co.uk>
>Sent: Sunday, October 28, 2012 4:49 PM
>Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>
>
>
>Tusijadili ujinga wa oic
>----------
>Sent from my Nokia phone
>
>
>
>-----Original Message-----
>From: Godfrey Ngupula
>Sent: 10/28/2012 3:46:25 PM
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>
>kiukweli ni kuwa Tanzania haiwez ikajiunga na OIC shirika ambalo haliamini uwepo wa taifa jingine ktk ramani ya dunia.Kujiunga na shirika au chama fulani ni lazima uamini shirika au chama hicho inachoamini.Na kama ni lazima Tanzania kufanya hivyo basi OIC iondoe
> kipengele cha kulaani na kutolitambua taifa la Israeli.Hakuna mkristo yeyote anayetambua uhalali wa kuwepo taifa la israeli kisha akaafiki Tz kujiunga na shirika la OIC,ni labda awe mkristo jina kama Membe ambaye yupoyupo tu ari mradi mkono unaenda kinywani.
>pili,wakristo hawaping hata kidogo uanzishwaji wa mahakama za kadhi nchini.Wanachopinga ni kuingiza vipengere suppotive kwenye katiba yetu which in fact vitaifanya katiba yetu neutral kuwa sensitive.Jambo hili wakristo hawatalikubali hata kidogo. Ni kwa nini
> wakristo wanapinga mambo hayo mawili kuwemo ndani ya katiba?jawabu rahisi kupita yote ni kwa sababu jamii ya kiislam kihistoria na kimatendo imejihidhirisha kuwa sio jamii ya watu waliostaarabika.All the time handle them with care.Huu ndio ukweli,and that
> is cost waislam have to bare.Nina imani kwa 100% wakristo wako tayari ubaloz wa vatican uondolewa Tz kuliko nchi kujiunga na Oic au mahakama za kadhi kuanzishwa tz chini ya mfumo wa serikali. wakristo wanaamini kuwa upotevu mwelekeo wa nchi kama n4eria,ivorycost,benin
> ni laana ya kimaandiko kwa sababu ya kutokuwa na tahadhali ktk kufanya maamuzi.Hivyo,hiyo mifano ya nch zenye wakristo weng zilizojiunga na oic in fact stand as the negative
> example,the side effect of the decision towards...
>
>Godfrey Ngupula
>------------------------------
>On Sun, Oct 28, 2012 4:58 PM EET Ellay Mnyamoga wrote:
>
>>Acha kuandika ujinga usio na maana kwani wewe ukiishi katika uislam mi inanisaidia nini? Umeambiwa hizi ni mahakama za kikristo?
>>
>>
>>-----Original Message-----
>>From: Abdalah Hamis
>>Sent: 10/28/2012 2:01:10 PM
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: [wanabidii] TAMKO LA WAISLAMU : KUHUSU KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>>BARAZA KUU LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA
>>
>>TAMKO LA WAISLAMU TANZANIA
>>
>>KUHUSU KADHIA YA TANZANIA KUJIUNGA NA OIC NA KUREJESHWA KWA MAHAKAMA ZA KADHI
>>
>>BARAZA KUU LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU TANZANIA
>>
>>I. UTANGULIZI
>>
>>Tanzania inapita katika kipindi cha mivutano mikubwa kati ya Waislamu kwa upande mmoja, na serikali na Wakiristo kwa upande mwingine.
>>
>>Tafauti hizo ni juu ya uhalalali wa urejeshwaji wa Taasisi ya Waislamu ya Mahakama za Kadhi na mchakato wa Tanzania kujiunga na Jumuiya ya misaada ya Waislamu duniani Organization of the Islamic Conference OIC.
>>Historia inaonesha kuwa kufutwa kwa Mahakama ya Kadhi mwaka 1963 kunatokana na maamuzi ya Bunge kupitia The Magistrates Courts Act, 1963.
>>
>>Suala jingine ni uhalali na ubora kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibari (Tanzania) kujiunga na Shirika la misaada la Waislamu duniani OIC.
>>
>>Kutokana na madai ya muda mrefu ya Waislamu ya kutaka kurejeshwa Mahakama ya Kadhi nchini, Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa jukumu kwa Kamati ya Katiba na Sheria kushughulikia suala hilo chini ya uongozi wa Muheshimiwa Arcado Ntagazwa mwaka
> 1994. Mwaka 2004 kamati iliendelea na jukumu hilo chini ya uongozi wa Muheshimiwa Athumani Janguo.
>>
>>Suala hili pia lilijitokeza katika Ilani ya Chama tawala CCM kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2005.
>>
>>Kamati hiyo chini ya uongozi wa awamu zote mbili ilikutana na Jumuiya za Kiislamu kwa uelewa halisi wa suala husika na vilevile wadau wengine kwa faida za kiutendaji.
>>
>>Taarifa tulizonazo ni kwamba waraka wa kamati hiyo uliwasilishwa kwa Spika wa Bunge (wa wakati huo) Mh. Pius Msekwa.
>>
>>Novemba 11, 2007 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika hafla ya 'kusimikwa' Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Alex Malasusa aliwataarifu watanzania kuwa mapitio ya vyombo husika juu suala la Mahakam

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment