Hapana bwan Khamis, watu wanatakiwa kujua upana wa tatizo iliwajue tulipofikia sasa wa-Tanzania. So, ingawa picha za matukio ya mauaji zinaweza kua zinawaumiza wafiwa kwanamna moja au nyingine lakini kunafaida kubwa kwakuifungua jamii ya wa-Tanzania kuuelewa unyama huu. Kwahiyo mimi napendekeza hizi picha ziendelee kuonyeshwa kwawingi nimuhimu sana kwa wakati huu.
Alexander
From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, September 10, 2012 8:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Mwangosi aliuawa hivi - Tanzania Daima
Hadithi hii inaumiza sana, ni vipi kwa wafiwa? Nashauri tuiacheeni hii stori kwa faida ya wafiwa jamani! Wenye ushahidi waupeleke kwenye tume iliyoundwa lakini tussizidi kuwaumiza wafiwa
-- Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 10 Sep 2012 04:57:33 +0000
To: Mabadiliko<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Mwangosi aliuawa hivi - Tanzania Daima
| ||
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--

0 comments:
Post a Comment