Thursday, 2 August 2012

Re: [wanabidii] tamsha la kutafuta vipaji vya muziki na Sanaa via Imuka singers

Asante sana dada Julieth kwa busara na kazi zako zote! Mungu Akutangulie . Am very proud of you 

Sent from my iPad
COSAD Centre, Bukoba



On Jul 20, 2012, at 7:49 PM, mulungi Mutabiilwa <mulungim@yahoo.com> wrote:

Wandugu na Jamaa,
 
Nawakaribisha pia kwenye tamasha la uimbaji Diamond Jubilee jumapili 22/07/2012 kuanzia saa nane mchana, kwaya ya Uinjilisti kijitonyama itakuwepo katika tamsha hili ili kumwimbia mungu na kuendeleza vipaji vya waimbaji wa injili, mgeni rasmi atakuwa waziri wa utalii mh. balozi Kagasheki
 
 
Angalia attachment
 
Nawatakia Week end njema sana,

Julieth Mulungi Mutabiilwa P. O. BOX 13755 TEL 255 22 754 279974 DAR ES SALAAAM TANZANIA EAST AFRICA

<TANGAZO.doc>

0 comments:

Post a Comment