John,
Bado sijahesabiwa.
Naomba tuzingatie.
1.Madodoso yamepelekwa kidogo sana baadhi ya mikoa na hususani Mara na Lindi, makarani wamepewa chini ya 30 wakati yalistahiki yawe zaidi ya 300.
2.Upi ni ukweli na usahihi wa taarifa za watu waliolazimishwa kuhesabiwa bila kuletewa nyama ya punda na gongo.
Maana ninavyojua hili suala la kuchukua takwimu linahitaji nia njema.
3.Hivi kwanini CHADEMA wamekubali kusimamisha zoezi hili wakati tulikubaliana kwamba zoezi hili haliondoi shughuli za kila siku za watu na walishafanya mikutano mikubwa tu kabla tena wakati wa sensa.
4.Kwanini wengi wenu mna matumaini sana na serikali ya CCM katika hili la Sensa na siyo katika mambo mengine kana kwamba maendeleo tuliyoyakosa kwa miaka 50 sasa suluhisho limepatikana yaani SENSA.
Walewale.
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Cc: Salim Khatri <skhatri@orcis.com>; Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sent: Sunday, August 26, 2012 10:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?
Ndugu yangu Walewale,
Take it from me - a good friend of yours, kama hujahesabiwa basi bora fanya uhesabiwe kwa haraka.
Usimtegemee Tony, kwani hatokuja kukuchukulia dhamana.
Na kama sababu zenyewe za kutohesabiwa ni hizo mlizoziweka kwenye front page ya leo kwenye blog lenu la ZANZIBAR NI KWETU,
basi bora badilisha fikra, kwasababu mgao wa madaraka katika nchi hii hauendi kwa madhehebu kulingana na percenatge ya waumini wake,
bali unakuenda kwa sifa ya uwezo wa mtu kuifanya hio kazi!
I hope I am using my commonsense here!
/Nkumba.
From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, August 26, 2012 3:26:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, August 26, 2012 3:26:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?
mimi sijahesabiwa.
Walewale.
From: Salim Khatri <skhatri@orcis.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 11:05 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, August 26, 2012 11:05 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] SENSA YA MAKAZI NA WATU 2012 : NIMEHESABIWA WEWE JE ?
Faida gani kutumia mabillioni halafu hutaki baadhi ya data... Sawa na uende kwa daktari utake akuambie tu kama ni malaria, kipindupindu ama kifafa lakini asukuambie kama ni Ukimwi ama Gono... Eti ikijulikana kama Ukimwi ama Gono litatia aibu na hata kuleta mfarakano kwenye familia. Kwa hiyo dawa ni kutokujua kabisa hayo maradhi mengine....
On Aug 26, 2012 10:54 AM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
-- Ndugu zangu
Zoezi la Sensa ya Makazi na watu 2012 linaendelea nchi Nzima , Mimi mkazi wa Ubungo nimeshahesabiwa na zoezi lenyewe lilikuwa salama na la amani kabisa kwa maana maswali yanayoulizwa ni ya kawaida tena unamwona anavyojaza au kuweka alama hakuna kinachofichwa na kila kaya ina karatasi lake la kujaziwa .
Sijaulizwa Dini yangu wala kabila langu .
Wengine tujitokeze kwa wingi zaidi kuhesabiwa na kutoa taarifa zetu za ukweli .__._,_.___.
__,_._,___
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment