Tuesday, 28 August 2012

Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

lyimo,
Hakuna kilichodaiwa kinacho husiana na idadi.Tunataka tujue tu basi ili ubishi uishe.Kwani ninyi linawakwaza wapi jamani hilo?
Waislam wakifunga mauzo ya baa yanapungua inawezekana ni kweli lakini sicho tunachozungumza sisi hapa.
Hiyo nchi kuwa ya kiislam unalipata wapi wewe?
Kwamba nje ya sehemu rasmi dada zetu,mama na wake zetu hawavai hijabu sawa lakini si anayetaka asizuiwe kama ilivyo kwa Ufaransa.
Hebu zungumzeni ya kujenga na pale kunapokuwa na kukosea twambie hapa jamani si sawa lakini nyinyi mnachojua ni kupinga kila wanachotaka Waislam na kisingizio ni hicho tu.
Mko wachache mara hamjasoma nk japo sijui kama tuko wachache kama Kabila la Wachaga au wasomi wetu wote wanazidiwa na wasomi wa kabila moja tu la Wachaga.
Hebu kuweni makini na mambo haya suala hili hamwezi kulimaliza kwa kututukana wala kutubeza rudi kwenye chanzo chake.
Tunatamani nasi kuwa Watanzania wa daraja lenu ninyi huku tuliko siyo.



Walewale.


From: "flyimo@yahoo.com" <flyimo@yahoo.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 29, 2012 6:12 AM
Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Halafu inakuwaje? Nchi inakuwa taifa la kiislamu? Au kufuga nguruwe inakuwa ni mwiko nchi nzima kama ukirejea hoja ya uwingi wa watu na leseni za biashara! Au inakuwaje? Nyie wenye huu msimamo hamuitakii mema hii nchi. How can religion ideology help a non religious Govt in development planning?

Kama walivyosema waliotangulia kwenye ishu kama za hijabu kukatazwa sehemu rasmi japo hatuoni zikivaliwa kivile sehemu zisizo rasmi lakini pia ni ukweli kwamba wakati wa mfungo bar na biashara ya kitimoto hudorora! Huu ni ukweli! Na ili kukabiliana na hali hii lazima kuingiza sheria kwenye maisha ya jamii pana japo watu wataendelea kufanya kwa kificho kikubwa kama ilivyo Zanzibar kwamba huduma zote zinapatikana baadhi kwa usiri mkubwa - ndio maana inajulikana kwamba swala la udini katika sensa kama linavyosimamiwa na baadhi ya waislam lina lengo moja tu kuu yaani attempt ya kuifanya Tanzania nchi ya kiislam kwa kutumia hoja ta namba kuanzisha machafuko ya kidini. Huu ndio ukweli.


Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 28 Aug 2012 21:08:17
To: aliGaston Mbilinyi<mbilinyi.gaston49@gmail.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: <wanabidii@googlegroups.com>; Omar J. K. ?<ommyj@yahoo.com>; <support@jamiiforums.com>; Prof. Abdul Sherrif DEWJI/Zbar<asheriff@zitec.org>; Abdu Khamis Prof Bukoba<abdu_k@hotmail.com>; Ahmed Rajab Mentor/Internationa Veteran<ahmed@ahmedrajab.com>; Jenerali Ulimwengu UNYUMBU<ulimwengu@jenerali.com>; Comrade patriot & revolutionary s/c Msoma<kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>; aboud.abdalla@ishoejby.dk<aboud.abdalla@ishoejby.dk>; Abdalah Hamis Mzalendo/Znz<hamisznz@gmail.com>; Salim Said Salim Veteran Z'bar Journalis<sssalim47@yahoo.com>; Salma Said Znz Veteran Investigative Journalist<salma.said@omantel.om>; Dr Ahmed Gurnah<gurnah@hotmail.com>; Dr Amur A.Xx Amur/Dsm<dramur2006@gmail.com>; Salum H. MSOMA<shimid2008@yahoo.com>; matinyi@hotmail.com<matinyi@hotmail.com>; jabirgood@yahoo.com<jabirgood@yahoo.com>; Ali Saleh Senior Editor, BBC/Kiswahili<ali.saleh@bbc.co.uk>; Ally/Veteran journalist/Z'bar SALEH<allysaleh126@gmail.com>; Ibrahim Moustafa Saleh/Kfp<silima55@hotmail.com>; SAAD SALEH YAHYA<sya@nbi.ispkenya.com>; Neema binti Saleh Addis Abeba, Ethiopie<neemabbc@yahoo.co.uk>; Abujaafar Saleh<abujaafar@hotmail.co.uk>; Ali Mhamed SAID Ndugu/Jirani<ally.said@gmail.com>; Scorpion<hilali.moussa@yahoo.fr>; Ghassany/Mohammed Khelef Mohammed<mohammedkhelef@talk21.com>; Othman Miraji Othman<mwinjuu@hotmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania

Kama nimekuelewa vyema ni kuwa wanokataa kuhesabiwa ni Waislam.
Waislam hawajakataa kuhesabiwa ila wanakataa kuhesabiwa bila ya dini
yao kutambuliwa katika dodoso.

Serikali hofu yao ni kuwa ikiwa kipengele cha dini kitawekwa
itabainika ukweli kuwa Waislam ni wengi.

M

On 28/08/2012, Gaston Mbilinyi <mbilinyi.gaston49@gmail.com> wrote:
> "..........HOFU YA UISLAM HOMA YA SENSA/Tanzania" ni hii hapa "sisi
> wengi wao wachache!"
>
> Swali: Kama ndivyo ujuavyo, kwamba nyie ni wengi wao ni wachache,
> kwanini unakataa kuhesabiwa?
>
> On 8/25/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
>>
>> Dear Sheikh Mhamed,
>> As always! Your presentation abides by the rules: both ethical and
>> historical
>> I wish further courage, wisdom & perserverance  in this vital quest for
>> TRUTH,
>> in the interest of all Eastern Africans: Christians, Cannibals, Muslims,
>> Pagans , Agnostics, Atheists ...
>> There's no avoidance on this issue, if we all have PEACE & HARMONY within
>> communities of our
>> Lands/Nations/States.
>> With my warmest support & respect,
>> Salim H. M. Bwanatosha
>> Perpetual Student of History, Social Anthropology and Comparative
>> Swahili.
>> Paris, France
>> +33-6-33071051.
>>
>>> Date: Sat, 25 Aug 2012 07:07:50 +0300
>>> From: mohamedsaid54@gmail.com
>>
>>> Hii makala niliiweka jana usiku katika JF.
>>>
>>> Hawakuwa na ustahamilivu wameiondoa jana hiyo hiyo.
>>>
>>> Sasa sijui kama na wao ni sehemu ya mfumokristo kama TBC1, ITV, gazeti
>>> la Mtanzania na mfano kama huo lililoghushi tangazo la sensa au vipi.
>>>
>>>
>>> M.
>>                       
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment